uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu ifanyikie uwanja wa Uhuru Ili kutoa Nafasi kwa umma kushuhudia

    Salaam! Kwa kuwa Mahakama imeona ni vyema mtuhumiwa wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu lissu isikilizwe mahali pa wazi na umma wa watanzania umeruhusiwa kuhudhuria, Na kwa kuwa uhaini ni jambo baya, ungetumika uwanja ule wa uhuru Ili wananchi wahudhurie na kujua uhaini ni nini Ili waogope...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya kuona shinikizo la kupeleka Mchezo Wa Maafande vs Mwamposa FC Uwanja Wa mkwakwani kubuma, Sasa Wanamsumbua mchezaji mwandamizi (Kona goli)

    Uwanja Wa Kambi ya jeshi unalindwa hakuna mtu(shabiki) anayeweza kwenda usiku kuuchimba chimba kama wafanyavyo kwenye viwanja Vingine. Hawa mabwana hawaishiwi mbinu, za ndani kabisa tena za moto kutoka kwenye vyanzo vyangu kuntu (sitomtaja) toka majuzi wanamtafuta mchezaji Wao captain Fantastic...
  3. JamiiForums Tanzania Netanyahu Ameapa Kuchukua Hatua Dhidi ya Houthis Baada ya Shambulio Kwenye Uwanja Mkuu wa Ndege wa Israeli

    Waziri mkuu wa Benjamin Netanyahu ameahidi Israel itawashambulia Wahouthi wa Yemen na baada ya kombora ambalo limerushwa na wanamgambo wa yeman kugonga eneo la uwanja mkuu wa ndege wa Israel. Kupitia chapisho lake kwenye mtandao wakijamii wa x zamani twiterr amenukuliwa akisema kuwa ameapa...
  4. JamiiForums Tanzania Kila uwanja zikicheza ni kama ziko nyumbani...why?

    Kwaini hizi timu 2 za kariakoo kila zinapocheza zinakuwa kama zipo uwanja wa nyumbani popote pale Tanzania?...babati unakuta timu ya kariakoo inashangiliwa kuliko mwenyeji...hii imekaaje?.. Watu wa mikoani kwa nini hawashabikii timu za kwao?... Hii hali inaua mpira kabisa
  5. JamiiForums Tanzania Makombora ya Houthi yatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben Gurion nchini Israel uwanja umefungwa

    Wanaukumbi. Vyombo vya habari vya Israel vinaripoti kuwa mifumo ya Arrow-3 na THAAD inayotolewa na Marekani ilishindwa kuzuia kombora la Houthi. Licha ya mashambulizi makali ya anga yanayoendelea, uwezo wa makombora na ndege zisizo na rubani za Houthis unaonekana kubaki bila kuathiriwa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wenye connection ya kazi hapa ndio uwanja wenu

    Hii ni kwa ajili wenye connection ya kazi
  7. JamiiForums Tanzania Hersi uwanja uliotuahidi kutujengea wakati wa kampeni, umefikia asilimia ngapi?

    Nasikia uko mbioni kukamilika wote, hivyo GENTAMYCINE kama mwana Yanga SC lia lia naomba kujua ulikofikia kwa sasa.
  8. JamiiForums Tanzania Irizar ya Simba itafika lini? Au ndio changa la macho kama la uwanja?

    Ukiona mtu anaongea sana bila kutoa detailed information ujue ni mpigaji. Hizo issues alizozisema aliye win tenda ya jezi za simba 80% ni porojo tu. Hatukuambiwa lini Irizar itafika bongo ili tufuatilie, hatukuambiwa ni model gani. Vitu vyote vilivyosemwa ni ahadi hewa. Aka Virtual issues.
  9. JamiiForums Tanzania Hizi nyasi kubwa katika Uwanja wa JNIA zina faida gani kwa Utalii na Taswira ya Tanzania na Watanzania?

    Tafadhali naomba Uongozi wa TAA uzikate ziwe ndogo ili Kuupendezesha kwani kwa jinsi zilivyo sasa zinatia Aibu hasa Kimandhari. Nikirejea tena Likizo fupi Tanzania naomba nisizikute kwani haziwaaibishi tu TAA bali hata Watanzania wote kuwa ni Wachafu na Watu tusiojali. Asanteni wana Dar es...
  10. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Mkapa uandaliwe mapema,fainali isifanyike nje ya kwa Mkapa.

    Kusije kuwa tena na visingizio tarehe ikifika na kulazimika kuipeleka mechi kwingine.Maandalizi na marekebisho yafanyike sasa na ikiwezekana uwanja ufunikwe kwa turubai hizi mvua zisiuharibu na kusiruhusiwe shughuli yoyote ile mpaka siku Berkane waje kukutana na kiama chao mbele ya Watanzania...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Simba hawajatumia uwanja wa Azam Compex, wakachagua kwenda Zanzibar kwenye mechi ya nusu fainali CaF?

    Uwanja wa Azam Complex unakidhi viwango vya kuchezewa mechi za kimataifa Na Simba ni timu ya Dar es Salaam, mashabikk wake wengi wapo mkoa wa Dar es Salaam na Tanzania bara, nadhangaa kwa nini Simba ikachagua kwenda Zanzibar ambako ni mbali na kugumu kufikiwa na mashabiki wake wengi? Pia...
  12. JamiiForums Tanzania VIDEO: Ufungaji wa Viti vipya 62,000 Uwanja wa Mkapa unaendelea, vitakuwa na muonekano wa bendera ya Tanzania

    Zoezi la ufungaji wa viti vipya 62,000 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa linaendelea, ambapo viti hivyo vitakuwa na muonekano wa bendera ya Taifa la Tanzania ambazo ni rangi za Njano, Nyeusi, Bluu na Kijani. Hatua hiyo ni sehemu ya maboresho makubwa yanayotekelezwa kwa lengo la kuboresha...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tupazeni sauti zetu ukarabati hewa uwanja wa Mkapa

    Salamu kwenu wadau wa mpira. Imethibitika rasmi Simba sc atalazimika kutumia uwanja wa Aman Zanzibar kwenye mchezo wake wa mguu wa kwanza. Oneni sasa nchi inaenda kuwa homeless kwenye michezo kwa vilabu vyake bila sababu za msingi kabisa. Hela zimeidhinishwa, zikatoka, watu wamekula...bilion...
  14. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba SC na Stellenbosch kupigwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar

    Mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho CAF kati ya Simba SC na Stellenbosch Aprili 20, huwenda ikachezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Taarifa zisizo rasmi zinaeleza maandalizi yanaendelea, ingawa bado hakuna uthibitisho kutoka CAF wala klabu ya Simba.
  15. JamiiForums Tanzania Houthi waongopa kuhusu shambulizi la uwanja wa ndege wa Ben Gurion na mbeba ndege-vita USS Harry Truman.

    Waasi wa Houthi wanadai kwa uwongo kuwa waliweza kuushambulia uwanja wa ndege wa Israel Ben Gurion, mbeba ndege-vita USS Harry Truman ya Marekani madai hayo ya uongo yalitolewa kama ifuatavyo; Msemaji wa jeshi la Houthi Yahya Saree alijigamba kwamba usafiri wa anga katika uwanja huo wa ndege...
  16. JamiiForums Tanzania Mbogamboga uwanja ni wetu - hakuna tena kelele za No reform no election!

    Mwali tunae Oktoba na tunatamba nae. Hivyo kuanzia sasa hadi Oktoba Media zote, Wasanii, wananchi wote wapi upande wetu. Tupewe nini tena?
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ihakikishe mechi zote za Simba za kimataifa zinachezwa uwanja wa Mkapa

    Wasalaam, Hongera kwa jamii yote ya wapenda maendeleo ya mpira nchini kwa mafanikio ya Simba SC kutinga nusu fainali ya CAFCC 2024-25. Bila kusema mengi, baada ya mechi ya marudiano ya Simba vs Al Masry, serikali ilitoa tamko kuwa uwanja unafungwa kwa matengenezo na kwamba Simba itafute uwanja...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Simba na Yanga wanashindwa vipi kuwa na uwanja kama huu wa jkt

    Nikiangalia huu uwanja ni standard sana japo ni WA kawaida kabisa Sasa hizi team zinashindwa vipi kupata uwanja mzuri kama huu!?
  19. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Benjamin Mkapa wafungwa kwa muda kupisha marekebisho ya Pitch

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inatangaza kuufunga uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kuanzia leo tarehe 9 Aprili 2025 ili kupisha marekebisho ya eneo la kuchezea (Pitch) lililopata athari kubwa kufuatia mvua zilizonyesha na kufuatiwa na mchezo wa Robo Fainali wa Kombe la...
  20. JamiiForums Tanzania Uwanja Wafagiwa na vibrashi vya elfu tatu

    Sisi Tunaona ni kawaida ila huko nje tunaonekana ni watu waajabu sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…