uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Meya ashuhudia unyama unaofanyika uwanja wa fisi

    Mstahiki Meya wa Kinondoni, Songoro Mnyonge ametoa wito kwa jamii kuacha kutumia ngono kama kazi, akisema ni kinyume na sheria za nchi. Akiongea kwenye kipindi cha SupaBreakfast, Meya Mnyonge amesema asilimia 30 tu ya kondomu zinazowekwa kwenye maeneo ya biashara zinachukuliwa na kutumiwa na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya aliyekuwa anagawa fedha za umma akiwa kwenye gari na anayegawa uwanja wa mpira?

    Magufuli alikuwa anagawa fedha za umma akiwa kwenye gari la wazi. Kununua kuku kwa malaki etc etc. sasa kaja mwingine ananunua/anagawa mamilioni ya umma uwanja wa mpira. Wana tofauti gani, wakati huo hakuna madawati, dawa, na shida nyingi kibao kwa walalahoi?
  3. JamiiForums Tanzania KWELI Uwanja wa Mkapa kufungwa kwa muda baada ya CAF kushauri uboreshwe

    Asubuhi ya leo, Februari 22, 2023, kumekuwepo taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikisema kuwa Shirikisho la Mpira Afrika (CAF) limeufungia uwanja wa Mkapa kutokutumika kwa mwezi mmoja ili kuruhusu kufanyika kwa maboresho ya sehemu ya kuchezea (Pitch) ambayo imeharibika na kukosa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa kilichotokea leo uwanja wa Mkapa, uongozi wa Simba walikurupuka

    Leo Robertinho kaonesha waziwazi kuwa hajui cha kufanya (kaishiwa mbinu) na kumuomba Mgunda ushauri. Hatua ya kwanza camera zikamnasa kuomba ushauri na kisha akaonekana Baleke kuingia nafasi ya Boko. Kadri muda ulivyozidi kwenda alionekana yupo frustrated na hajui afanye nini. Camera kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mlioapa kutofanya mapenzi hadi ndoa mwaka 2001 pale uwanja wa mashujaa Moshi, mlifanikiwa?

    Ilikuwa siku ya Ijumaa, tarehe 01, desemba 2001, katika uwanja wa mashujaa mjini Moshi tulipokutanika wanafunzi wa kidato cha pili katika kilele cha siku ya ukimwi duniani. Shughuli zilikuwa nyingi pale lakini mojawapo ya mambo yaliyoweka alama mpaka kesho katika waliokuwepo ni kile kiapo cha...
  6. JamiiForums Tanzania Gari la zimamoto kwenye Uwanja wa Mpira la nini

    Kwa kweli nimekuwa nashangazwa sana kuona gari la zimamoto hapa bongo kila wakati mechi zikiwa zinachezwa, sasa najiuliza la nn badala ya kuweka ambulance nadhani ni chombo husika. Nasikia kuna timu iliwahi kususia mechi kisa hapakuwa na gari la kuzima moto. Tubadilike wabongo
  7. J

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Mkapa kufanyiwa maboresho makubwa kwa michuano ya Africa Super League

    Uwanja wa Mkapa kufanyiwa maboresho makubwa kwa michuano ya Africa Super League Serikali imeahidi kufanya marekebisho makubwa yanayohitajika katika uwanja wa Benjamin Mkapa ili kukidhi viwango vya kimataifa vinavyohitajika katika michuano ya Africa Super League ambayo Klabu ya Simba ndio...
  8. JamiiForums Tanzania Mtaalam wa Nyasi asema asema nyasi za Uwanja wa Mkapa zina 'Fangasi' lakini bado zina ubora wa mechi kuchezwa

    Erick Mpoki ambaye ni mtaalamu wa masuala ya nyasi za uwanjani ambao kitaalamu wanajulikana kwa jina la “Football groundsman” amesema amekuwa akifanya kazi hiyo tangu mwaka 2012 “Elimu hiyo ameipata kwa Wachina na Wazungu kwa vitendo, tukiwa kwenye kazi ndipo tumejifunza hapohapo...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ni ngome ya underground Yenye uwanja wa ndege chini ya Ardhi ya Jeshi la iran.

    Iran imeonyesha pic picha za Uwanja wa ndege wa chini ya ardhi .
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi madai ya Uwanja wa Mkapa kutia aibu kwa uchafu

    Uwanja wa Mkapa kabla ya kuanza kwa mchezo wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya Al Hilal, Februari 5, 2023. Pia soma: Uwanja wa Mkapa unatia aibu, nani awajibike?
  11. JamiiForums Tanzania Uhamiaji uwanja wa mwl. Julius Nyerere naombeni maelezo

    Nchi za SADIC ukitembelea huna haja ya visa.Inakuwaje sisi tukienda kule kwa shughuli yeyote hatuulizwi visa ila mgeni akitoka huko anaambiwa alipe dala 200.
  12. JamiiForums Tanzania Kampuni zafungua kesi kudai haki za kipekee katika uwanja wa ndege wa Zanzibar

    Sakata la mgogoro wa kimkataba wa utoaji huduma katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume umeiweka matatani Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) baada ya mwekezaji katika uwanja huo kufungua maombi mahakamani akiomba ridhaa ya kuishtaki. Mwekezaji huyo kampuni ya Transworld...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yadai Ndege zinazotua viwanja vya ndani ya Hifadhi zinabeba Watalii

    WIZARA ya Maliasili na Utalii, imesema ndege zinazotua na kuruka katika viwanja ndani ya hifadhi zinasafirisha watalii kutoka Uwanja wa Ndege Dar es Salaam (JNIA), Kilimanjaro (KIA) na Abeid Amani Karume, Zanzibar. Ufafanuzi huo unatokana na taarifa zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi KADCO: Ndege ilibeba watalii

    Mbona kama ufafanuzi umekua mwingi, siku zote hua najisemea ukiona ufafanuzi umeanza kua mwingi ujue kuna kitu hakipo sawa === "Wananchi waelewe kuwa ndege ile sio mara ya kwanza kutua kwenye uwanja wa KIA, ilishatua huko nyuma, nilivyoona ile taarifa mitandaoni nilishanga sana kwa sababu hawa...
  15. JamiiForums Tanzania Mpira wa miguu ni mchezo unaokutanisha msiba na harusi kwenye uwanja mmoja

  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani haingii peke yake uwanja wa vita anavyovianzisha?

    Mara zote nimesikia na kuona kupitia vyombo vya habari Marekani akianzisha chokochoko kwa nchi kadhaa lakini ikifikia hatua ya mapigano ya kivita anashawishi nchi nyingine hasa za Ulaya kumuunga mkono kwenye uwanja wa vita?
  17. JamiiForums Tanzania Nabii na Mtume Mwamposa karibu hapa Zanzibar uujaze uwanja wa amani

    Nitakuwepo hapa Zanzibar kwa majukumu unguja na pemba kwa wiki kadhaa. Nimegundua wengi wa wakazi wa hapa walienda uwanja wa Mkapa Dar es salaam kwa ajili ya ibada ya vuka na chako. Ni dhahiri watu wengi hapa wanaihitaji sana huduma yako hivyo fanya hima uweze kuja na kuujaza uwanja wa amani...
  18. JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu Bara: Mtibwa Sugar 0-1 Yanga : Uwanja wa Manungu : 31/12/2013

    Huu ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Manungu Mkoani Morogoro, Mtibwa wakiwa wageni. Kikosi cha Mtibwa Sugar Kikosi cha Yanga kwa ajili ya mchezo huo Mchezo unatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia sasa Mchezo umeanza 3' Umeanza kwa kasi ndogo, Yanga...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ipo siku tutaandaa mechi siku za sikukuu ya Christmas au Idd el Fitr Uwanja wa Taifa

    TUJIULIZE MAMLAKA ZINAZOHUSIKA ZINAFAHAMU UNYETI UNAOENDA NA WATU WENYE IMANI KATIKA DINI Shirikisho la cha Mpira Tanzania TFF kuamua kuendelea na ratiba zake bila kujali imani za wachezaji wake kuadhimisha imani zao katika katika siku muhimu kiimani ni bahati mbaya au ni muelekeo wa kudumaza...
  20. JamiiForums Tanzania Mpishi alifjikaje katikati ya uwanja Qatar

    Mpishi maarufu kutoka Uturuki Nusret Gokce amewatia kizunguzungu viongozi wa FIFA kwa kumkuta katika ya uwanja huko LUSAIL siku ya mechi ya finali wiki iliyopita.. Hatimae wakati wa kutangzwa mshindi na kukabidhiwa kombe alionekana akikumbatiana na akina Messi na kulibeba kombe la dunia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…