uwakala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Tunaofanya biashara ya M-Pesa, Tigo-Pesa, Airtel Money, ..., na Uwakala wa Bank Tukutane hapa

    ????
  2. Mashine za Uwakala NMB & CRDB zinahitajika Dodoma

    Habari wadau, ninahitaji mashine hizo za Wakala (CRDB na NMB) kwa aliyenazo zote au mojawapo na amesimama kutumia tafadhali tuongee biashara. Location: Dodoma
  3. KAZI YA UWAKALA WA SOLA

    KAZI YA UWAKALA WA SOLA Kama unaishi wilaya ya Morogoro vijijini na unahitaji kazi ya uwakala wa sola , naomba tuwasiliane PM
  4. L

    Namna ya kujiunga na uwakala wa Betting (Betting Point)

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza. Naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie namna naweza kuwa wakala wa betting (Betting Point). Nataka uwakala sabab nina kibanda changu cha kuonesha mpira kimechanganya sana, nikapata wazo la kuwa wakala (Agent) kabisa wa betting. Nitashukuru kwa msaada kutoka...
  5. Nauza laini ya uwakala ya Tigo pesa

    Nauza laini ya uwakala ya Tigo pesa Bei elfu 50 (50,000/=)
  6. Kuweza kutumia line moja ya wakala kwenye simu zaidi ya moja

    Habari za muda huu wadau, kama kichwa kinavyojieleza, nataka kujua iwapo kama kuna namna ya kutumia akaunti moja ya uwakala wa simu mf. Tigo Pesa, M pesa, Airtel Money n.k na kuweza kutumia kwenye simu zaidi ya moja. Kwa sasa ninavyoelewa kwenye upande uwakala lazima line iwe imechomekwa...
  7. S

    Fursa ya uwakala wa mauzo kampuni ya M-GAS

    Baada ya kutangaza nafasi za uakala wa mauzo ya kuuza majiko ya gesi ya kampuni ya M Gas tumepokea simu nyingi kila mmoja akitaka kuijuinga. Tumeona tuweke sawa hapa ili kama hauna kigezo au kuelewa utaratibu usihangaike kupiga simu. SIFA ZA WATU TUNAOHITAJI Mtanzania Umri kuanzia miaka 18...
  8. Nani anaweza kuniwezesha kupata laini za uwakala

    Ningefurahi sana kama ningeshikwa mkoni. Ili niweze pata laini za uwakala bila changamoto
  9. O

    Nawezaje kupata uwakala wa gesi za kupikia?

    Habarini za muda huu wadau wa Jamii Forums. Ninatamani kuanza biashara ya kuuza gesi za kupikia nawezaje kupata uwakala wa haya makampuni ya gesi na vigezo vipi vinahitajika!?
  10. Inahitajika mtaji kiasi gani ili kuweza kufanya shughuli za uwakala wa mabenki?

    Habari wadau, Kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ya uwakala wa kibenki, yaani unakuwa na kibanda chako lakini unafanya shughuli za uwakala wa mabenki mbalimbali, kama vile NMB na CRDB inahitaji mtaji wa Tsh ngapi Ili kuifanya biashara hii bila kutetereka? Na pia ni vitu gani muhimu vya...
  11. Mwongozo wa uwakala wa M-pesa na Tigo pesa

    Salaam kwenu wakuu, ninaomba mwongozo wa namna ya kupata uwakala wa mpesa na tigo pesa.
  12. Nauza laini za Uwakala wa mitandao yote

    Niko mkoa wa Singida nauza laini zote tano za uwakala na zimesajiliwa kwa TIN number na leseni ni ya biasharaa ya nyumbani. Na pia Nina mashine ya CRDB. Kwa atakae itaka labda awe ndani ya Singida ila nje ya singida itabidi awe na connection itakayo msaidia kuihamisha mkoa. Bei maelewano...
  13. Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

    Habari, Naomba kuuliza biashara ya uwakala wa M pesa, Airtel money, Tigo pesa, Halo pesa na uwakala wa CRDB(fahari huduma) pamoja na Nmb wakala. Hivi mtaji wake unaweza kufikia kiasi gani na pia changamoto za hiyo biashara zikoje? Naombeni ushauri wenu nina mpango wa kuja kufungua hiyo...
  14. Uwakala wa NMB bila kutumia mashine ya kutolea risiti

    Habari za leo wakuu: Siku hizi mawakala wapya wa NMB wanasajiliwa bila ya kupewa zile mashine za kutolea risiti badala yake wakala anafanya kupitia simu yake ya mkononi hivyo mteja anaondoka na ile risiti moja ambayo ameijaza na wakala atagonga mhuri . Kwa wazoefu hii haileti changamoto kwa...
  15. Mrejesho kwa huduma mpya za uwakala kwa Benki ya NMB kupitia simu ya mkononi maarufu kama (NMB Pesa Fasta)

    Salaam Naomba kutoa maoni yangu kwa huduma mpya ya uwakala wa NMB maarufu kama NMB pesa fasta Binafsi ninafanya biashara ya uwakala nina miliki mashine ya NMB kwa ofisi moja pia nilifungua biashara nyingine ya uwakala kama sehem ya kuongeza mapato knilifanikiwa kupata pos ya CRDB na nyinginezo...
  16. TFF unautambuaje umeneja na misingi yake na unafanya kazi vipi tofauti na uwakala?

    Baada ya ujio wa Taarifa ya TFF kuhusu mawakala wanaotambulika nimeona watu wanakuja na umeneja vs uwakala HEBU TUPENI ELIMU JAMANI. Ila je umeneja ni mtu ama taasisi? Je, TFF inautambuaje umeneja na misingi yake ni nini na unafanya kazi vipi tofauti na uwakala? TUNACHAMBUAJE WAJOMBA. Sent...
  17. B

    Nina mtaji wa Milioni 4 natafuta banda/frame ya uwakala

    Kama kichwa cha mada mie mdau nimebangaiza kitaa nina 4m hapa nataka nifanye biashara ya uwakala wa pesa kwa simu na mabank, natafuta frame ya kufanyia biashara hiyo iliyopo maeneo yalochangamka iwe Kinondoni, Mwananyamala, Kigogo nk. Nikiipata nianze kufuatilia lines za miamala na leseni ya...
  18. Kuhusu line za uwakala wa miamala ya simu

    Naombeni uzoefu jamani..hizi laini za uwakala wa miamala ya simu unaweza kutumia muda gani kuipata baada ya kuwa umeshapeleka vile viambatanisho wanavyovitaka mfano leseni ya biashara, TIN namba na namba ya nida? .....Naomba kuwasilisha.
  19. Msaada wa kupata eneo zuri la biashara ya uwakala wa benki Iringa Mjini

    Habari zenu wakuu, msaada wa eneo zuri kwa ajili ya kufanya biashara ya uwakala wa benki kwa hapa Iringa Mjini. Kama wanaoufahamu mji vizuri ni wapi naweza pata eneo na pakavutia hii biashara. Asante. PM iko wazi pia!!
  20. CRDB Bank rekebisheni internet upande wa huduma za uwakala

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa Benki ya CRDB kwa hasara mnazotupatia sisi mawakala kutokana na mtandao wenu kuwa wa hovyo kushinda benki zote Mimi ni Wakala natoa huduma za uwakala wa kifedha upande wa mabenki binafsi kutokana na uzoefu kidogo katika kazi hii, nimegundua Benki ya CRDB...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…