uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Kwa kuangalia historia na matendo ya Mbunge wako unadhani 2025 anaweza kutoboa?

    Wakuu mko vyede? Uchaguzi Mkuu unakuja 2025, tumeshaanza kuona vimbwanga, ukifika mwaka wenyewe wa uchaguzi itakuwa balaa. Sasa hivi wabunge ndio wanakumbuka kurudi majimboni kwao, sasa hivi ndio wanapiga picha na watu wa hali ya chini, sasa hivi ndio wanajifanya wanajua sana kutetea haki za...
  2. SoC04 Ushirikishwaji wa wananchi katika uandaaji na mapendekezo ya bajeti namna unavyoweza kuchochea uwajibikaji nchi

    Katika nchi nyingi za kidemokrasia raia wana jukumu kubwa katika mchakato wa kupanga bajeti ya nchi, kuhakikisha uwazi, uwajibikaji, na mwitikio kwa mahitaji ya Umma. Miongoni mwao nchi hizo ni ICELAND, USWIS,URENO, BRAZIL na AFRICA KUSINI. Hapa nitaeleza 1. Njia zitakazo pelekea uwajibikaji...
  3. T

    Nani ni genius kati ya Mpina vs Bashe au Tulia vs Mpina

    Naomba tutafakari nani genius kati ya hawa; Mh. Mpina vs Mh. Bashe Au kati ya; Mh. Tulia vs Mh. Mpina. Uwanja upo wazi. Pesa mbaya! ==== Pia soma: Spika Tulia amburuza Luhaga Mpina Kamati ya Maadili Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge...
  4. Hatua za kikanuni za Bunge zitakazochukuliwa dhidi ya Luhaga Mpina ziambatane na hatua muafaka za kikatiba za CCM kumng'atua

    Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma. Wakati kamati ya maadili ya bunge ikiendelea na majadiliano, kufanya uchambuzi wa kina na kujiridhisha mbivu...
  5. Hivi rais kuhidhinisha pesa ili zifanye kazi ni hisani au ni wajibu?

    Wakuu Heshima mbele kwanza. Msikilize hapa mbunge wa makambako Deo sanga👇 Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema kuwa wanamekuwa wakimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa sababu yeye ndiye anayeidhinisha fedha kwenda kutekeleza miradi mbalimbali kwenye majimbo. Sanga amesema hayo wakati...
  6. PreGE2025 Upuuzi kuifungia Twitter, kama tunachukia tabia chafu, tuifungie Serikali

    Nchi yetu imejaa watu wanafiki, ama wanaotafuta sifa za kijinga au wanaoishi kwa hadaa. Wanaotamka 1 lakini wanamaanisha 5. Hivi karibuni kumeibuka kelele za kinafiki toka kwa baadhi ya wanafiki kuwa mtandao wa X (zamani Twitter) ufungiwe eti unahamasisha ushoga. Ukiwauliza umehamasisha wapi...
  7. SoC04 Ushirikishwaji wa Wananchi katika Uandaaji na Mapendekezo ya Bajeti: Njia ya Kuimarisha Uwajibikaji Nchini Tanzania

    Utangulizi Ushirikishwaji wa wananchi katika uandaaji na mapendekezo ya bajeti ni mchakato muhimu unaoweza kuboresha uwajibikaji wa serikali na taasisi za umma. Kwa kushirikisha wananchi, serikali inaweza kuhakikisha kuwa bajeti inaakisi mahitaji na vipaumbele vya wananchi, na hivyo kuongeza...
  8. Ufafanuzi kuhusu Gawio la Tsh. Bilioni 153.9 lililotolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA kwa Serikali

    Ufafanuzi kuhusu Gawio ka TSH. Bilioni 153.9 lililoyolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA kwa Serikali. Katika Mitandao ya Kijamii na makundi sogozi, zinasambaa taarifa potofu kuhusu uhalisia wa Gawio la Shilingi Bilioni 153.9 lililotolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari...
  9. Uvinza: Halmashauri yachukua hatua kupitia video iliyosambaa lakini yashangazwa na aliyechukua video ikidai ameleta taharuki

    Halmashauri ya wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma imechukua hatua ya kumpumzisha daktari wa zamu ili kupisha uchunguzi baada video ya Mwanamke anaedaiwa kujifungua na kukosa huduma kwa zaidi ya saa moja katika Kituo cha Afya Kata ya Basanza kusambaa mtandaoni. Halmashauri baada ya kufatilia...
  10. DOKEZO Responded TPA imesifiwa sana kwa kutoa Gawio la Bilioni 153.9 wakati 2018/19 Gawio lilikuwa Bilioni 480. Je, Rais Samia kasahau?

    Maswali chechefu: 1. Je, kwanini Mhe Rais Samia jana aliisifu TPA na kuimwagia minyama kwa "Gawio kubwa ambalo halikuwepo huko nyuma" baada ya kupokea Gawio la Tshs 153.9 toka kwa Mkurugenzi Mkuu, Bw. Mbossa na Mjumbe waBodi, Bw. Minja? 2. Je, Mhe Rais hajui kuwa kuna miaka TPA ilikuwa...
  11. D

    SoC04 Uwajibikaji Bora wa Viongozi kwa Maendeleo Endelevu

    "Tanzania Tuitakayo: Uwajibikaji Bora wa Viongozi kwa Maendeleo Endelevu" Utangulizi Tanzania, kama nchi inayoelekea katika siku zijazo, inahitaji uwajibikaji bora kutoka kwa viongozi wake ili kuwezesha maendeleo endelevu katika kipindi cha miaka 5 hadi 10 ijayo. Uwajibikaji huu wa viongozi...
  12. D

    Try Again anajiuzulu vipi ajatoa majibu? Shida ya team?? Mo makazi Dubai?

    Mashabiki wa simba mbona siwaelewi 1. Mtu anajiuzulu vipi ajatoa progress ya team akitoka? How will things run? 2. Shida ya simba nini?? majibu? 3. Wakati huu wa usajili na mipango ya mwakani?? nani atatoa orientation?? au mna za upya?? 4. MO makazi yake ni dubai?? vipi?? chairman via...
  13. Rais Samia: Waliosema nimeuza Bandari na Bahari faida yake ndio hii

    My Take Mlisema Samia ameuza Bandari Kuna bango lenu hili hapa, ni spana tuu Kwa kwenda mbele. ======= Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imevunja rekodi kwa kutoa jumla ya Shilingi za Kitanzania 153.9 Bln kama gawio kwa Serikali kuu kwa mwaka wa fedha Mwaka 2023/2024. Gawio...
  14. L

    Rais Samia: Wananitukana wakitaka niwajibu, sasa siwajibu..

    Ndugu zangu Watanzania, Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua shangwe kwa watanzania mbalimbali waliokuwa wakifuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka ikulu...
  15. S

    SoC04 Tanzania tuitakayo inatakiwa iwe ya uwajibikaji

    Tanzania ni mojawapo ya nchi chache zenye kila aina ya rasilimali ila bado imekua masikini na inasua sua kiuchumi,yafwatayo yanatakiwa kurekebishwa ili taifa hili liendelee. Uhuru wa vyombo vya habari: Bado sijaona uhuru wa kuhabarisha uma kwa vyombo vyetu vya habari, huenda ikawa ni utashi wa...
  16. K

    Serikali iondoe dhulma na uonevu Tanzania

    Pamoja na matumizi ya kidigitali serikalini na kufutwa kwa analojia ni aibu Kwamba bado system za serikali hazitendi haki na zinaruhusu dhulma,rushwa na kupendeleana. Serikalini kunawatu wameajiriwa miaka ya karibuni lkn wamehonga na kupewa madaraja wasiyostahili. Mfano unakuta mwalimu...
  17. Viongozi na kuhangaika kurekebisha mambo wanapotembelewa na viongozi ngazi za Juu

    Ukistaajabu ya Mussa utaona ya viongozi wakiwa na hekaheka za kurekebisha mambo yao wakijua watatembelewa na viongozi ngazi ya juu, utajionea vituko vya mahangaiko yao wakati siku zote walikuwa wamekaa kama hawaoni kuna kasoro au hawahusiki na kurekebisha. Utapigwa butwaa kama ni barabara...
  18. P

    Viongozi wa manispaa ya Temeke kuweni wabunifu

    Kwanza ni wape pole kwa kazi kubwa mnayoifanya ,viongozi wangu wa manispaa ya Temeke.Ninaimani kubwa na nyinyi ,hasa katika kuwaletea maendeleo wana Temeke wote. Pili,niipongeze manispaa ya Temeke ya kujenga kituo cha mabasi kwa kata ya Buza .Kwa kweli ni jambo la maana na lakupigiwa makofi...
  19. I

    Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traore awapa wananchi ruhusa ya kumuadhibu waziri kwa ufujaji wa fedha za umma

  20. DED Manyoni uwe na utu katika utendaji wako wa kazi, afya ni nguzo kuu ya mtu

    Habari wanajf, DED Manyoni uwe na utu Kwa watumishi walio Chini yako haswa ukizingatia afya ndiyo msingi wa rasilimali watu, Kipi kinakufanya kushindwa kumruhusu mtumishi wako Kada ya Uchumi ambaye anasumbuliwa na maradhi ya mapafu tena Kwa uthibitisho wa Medical Report ya Daktari kutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…