uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania yaiangalia Tume ya Uchunguzi wa Vurugu za Uchaguzi 2025 kama kipimo cha uwajibikaji

    Geneva, Uswisi. Tanzania imeangazia juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan, katika kuimarisha uwajibikaji, maridhiano na kuendelea kuzijenga taasisi za umma kupitia kuundwa kwa Tume Huru ya Uchunguzi kuhusu vurugu zilizohusishwa na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Hayo yaliwasilishwa katika tukio...
  2. Msigwa amshukia Zungu, amwambia kulalamika kuhusu ATCL kuchelewesha safari ni uvunjifu wa sheria!

    Wakuu, Nacheka ka mazuri🤣🤣🤣 kwahiyo mtu akitoa povu lake taasisi/shirika linapozingua ni uvunjivu wa sheria? Nakojoaaaaaa😆😆😆😆. Chawa kafikiwa 😆😆 Kelvin Raphael (Zungu) alitoa povu lake jana baada ya ndege za ATCL kudelay safari, ambapo ATCL imekuja kuomba radhi muda si mrefu! Gerson Msigwa...
  3. Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol alimwa kifungo cha maisha jela kwa jaribio la uasi

    Wakuu Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kuamuru hali ya kijeshi kwa muda mfupi mwezi Desemba 2024. Jaji Jee Kui-youn amesema amempata Yoon na hatia ya uasi baada ya kuhamasisha wanajeshi na polisi katika jaribio lisilo halali la kuliteka...
  4. Wasira: Hatukuunda tume ya jaji Chende ikaichunguze serikali, uwajibikaji hauwezi kuwa mikononi mwa serikali pekee

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amepuuza madai kuwa Tume ya Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman inaweza kuwa na upendeleo kwa Serikali, akifafanua kuwa lengo la tume hiyo si "kuichunguza serikali" bali ni kuchimbua chanzo cha ghasia zilizotokea wakati na...
  5. H

    Pendekezo la Mfumo wa Action Plan na Uwajibikaji kwa Viongozi Wakuu wa Serikali.

    Katika kuimarisha utawala bora, uwajibikaji wa viongozi, na ufanisi wa utekelezaji wa sera za maendeleo, inapendekezwa kuanzishwa kwa mfumo rasmi wa Action Plan Governance Framework utakaoweka wajibu wa wazi kwa viongozi wanaoingia madarakani, hususan Rais au Mawaziri. Mfumo huu utalenga...
  6. Bungeni tunataka kusikia uwajibikaji na kero za watanzania zinatatuliwa hata tukisifia wananchi au rais haiwezi kuleta maendeleo

    Bungeni tunataka kusikia uwajibikaji na kero za watanzania zinatatuliwa hata tukisifia wananchi au rais haiwezi kuleta maendeleo. Suala la sifa halina msingi ya maendeleo kwa wananchi wala maendeleo kwa rais wala kwa wabunge wala kwa washirika ni la kipumbavu sana.
  7. H

    Tunapozungumzia utendaji Serikalini, msisitizo ni uadilifu na uwajibikaji wa Serikali kwa wananchi waliotuchagua ili - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Tunapozungumzia utendaji Serikalini, msisitizo ni uadilifu na uwajibikaji wa Serikali kwa wananchi waliotuchagua ili kuhakikisha wananchi wananufaika na rasilimali za nchi pamoja na kupata huduma wanazostahili - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 27, 2026...
  8. M

    Tanzania inahitaji watumishi kwa kigezo cha uwajibikaji kuzidi elimu, Hawa wenye elimu kubwa wengi sana wamekuwa viburi na jeuri

    Watumishi wengi walioelimika sana wamegeuza elimu kuwa kama taji la kunyanyasa wengine, kuwaona wengine si chochote, kuwapelekesha wanavyotaka, n.k, Wanaona elimu kama status symbol ya kunyanyasa wengine,
  9. M

    Wageni wapewe miradi ya kijamii kwa mkataba, Watanzania wengi wakiwemo wasomi wanawaza mishahara, posho, rushwa na upigaji, uwajibikaji Zero kabisa

    Watanzania wengi wakipata ajira hawataki kujisumbua, kwanza kumekuwa na malalamiko mengi ya dharau, muda mwingi hawapo maofisini, kazi ya siku 1 inafanywa mwezi, kupenda kitu kidogo (Rushwa), n.k. Pesa za marekebisho ya miundombinu zinapigwa sana. wengi wapo kwenye ajira kama kitega uchumi...
  10. M

    Kuwe na sheria ya kuwahimiza au kuwalazimu viongozi wetu wawemo kwenye mitandao ya kijamii, ili Kuimarisha Mawasiliano na Uwajibikaji kwa Wananchi

    Pamoja na mchango wake mkubwa katika kuunganisha jamii, bado kumekuwepo na baadhi ya viongozi ambao hawajatambua kikamilifu umuhimu wa mitandao ya kijamii kama chombo cha kuwasogeza karibu na wananchi wanaowaongoza. Mitandao ya kijamii imeondoa mipaka kati ya kiongozi na mwananchi, dunia sio...
  11. Hivi kazi ya wabunge hapa Tanzania ni nini?

    Nauliza tu kazi ya wabunge Tanzania ni nini? Sisi kwenye Civics tuliambiwa kazi kuu ya Mbunge ni kuwawakilisha wananchi, sasa mbona kero za wananchi hatuoni zikijadiliwa kwa wingi bungeni? Wananchi wanadai Katiba Mpya, Uchaguzi Huru na wa Haki, wanataka waweze kukosoa serikali kwa uhuru bila...
  12. PostGE2025 THRDC: Maridhiano yafanyike katika njia za ukweli, haki na uwajibikaji

    Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, ametoa wito kwa taifa kuanzisha mapema mchakato wa maridhiano na uponyaji baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu yaliyotokea kuanzia Oktoba 29 na siku zilizofuatia. Kwa mujibu wa Wakili...
  13. A

    KERO Maandamano ya Amani dhidi ya Uongozi mbovu na kukosakana uwajibikaji pale Open University (Chuo Kikuu Huria) yatakuwa tarehe 18 December 2025

    Kama tulivyojadiliana maandamano ya kupinga udhembe na kukosekana uwajibika miongoni ya walimu wetu na viongozi wa chuo pia yatafanyika 18 December 2025 kama tulivyokubaliana. Kero kwa miaka na miaka zimekuwa zikilalamikiwa na kupelekwa kwa viongozi husika ila kumekuwa hakuna mabadiliko imekuwa...
  14. Nani wanaoharibu nchi kati ya utawala wa CCM na vijana wanaodai haki na uwajibikaji?

    Ni kujitoa ufahamu na kukosa akili viongozi wa CCM, watawala, BAKWATA na machawa wao wengine wengi kupayukapayuka kwamba vijana wanaharibu wanaharibu nchi na kufuata mkumbo tu kwa kurubuniwa katika harakati zao za kudai haki, kupinga dhuluma na kutaka uwajibikaji. Wanaoharibu nchi hii ni CCM na...
  15. PostGE2025 Jinsi Serikali ya Samia inavyotumia damage control kuepuka uwajibikaji

    Damage control ni neno linalotumika kumaanisha juhudi zinazofanywa ili kupunguza madhara, kudhibiti hali mbaya, au kuokoa taswira/nafasi baada ya jambo baya kutokea. Baada ya mauaji ya halaiki kipindi cha uchafuzi wa Oktoba 29 , serikali ya samuya inatumia mbinu hizi kufanya damage control...
  16. Siku zote mifumo ya kijamaa ina tatizo la uwajibikaji. Tume za Uchunguzi hazisaidii kitu

    Tukubali tukatae, kisiasa na kwa upana wake hata kwenye masuala ya usalama, Tanzania bado ipo katika mfumo wa kijamaa. Ndiyo maana unasikia kelele zisizoisha za Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi. Ni kwa sababu kimsingi, nchi ina mfumo tofauti na ule ambao watu wanaaminishwa unaendesha maisha...
  17. Uongozi uliopo unakuta mtu anaongea tu lolote ili mradi tu mtu kama Mwigulu hii inafifisha uwajibikaji na sio misingi ya kiongozi bora

    Uongozi uliopo unakuta mtu anaongea tu lolote ili mradi tu mtu kama mwigulu hii inafifisha uwajibikaji na sio misingi ya kiongozi bora. Mtu anaye ongea ongea tu ili mradi anaonekana, anaongea chochote kile hata kama ni uongo yeye anaropoka ropoka tu. mtu kama huyu sio kiongozi bora.
  18. PostGE2025 Viongozi wa Serikali kilichotokea Oktoba 29 siyo janga la asili, hatuitaji pole tunahitaji uwajibikaji

    Inauzi sana kuona kiongozi wa serikali anakuja mbele ya camera ooh pole tuvumiliane sijui nini maneno kibao yote hayana maana zaidi ya kutonesha vidonda na kupandisha hasira upya wananchi Kilichotokea octoba 29 siyo tetemeko, siyo radi, siyo kimbuga wala ajari iliyosababisha watu kufa ni jambo...
  19. Tusiyasingizie mataifa ya nje, ukweli na uwajibikaji ndiyo mwarobaini wa kutuvusha hapa tulipofikia na tukavuka salama

    Matatizo ya nchi yetu ni sawa na jipu lililolelewa na muda wake wa kupasuka umefika na sasa halikwepeki kutumbuliwa. Inasikitisha sana, kuona viongozi wetu wakiendekeza propaganda na wakati ukweli unaujua na wanajua wazi Dunia inajua na wananchi sote tunajua, Kweli kwa dhama hizi, na katika...
  20. Ujumbe kwa Mwigulu Nchemba: Haiwezi kuwa kwa Kauli ya kisiasa tu jukwaani. Tunataka uwajibikaji wa kisheria na kisiasa kwa serikali yote!

    1. Imeandikwa humu jukwaani na kuona kupitia social media huyu anayeitwa PM wa serikali isiyo halali kisiasa na kimaadili, iliyoji - force kutawala Watanganyika, Mwigulu Nchemba akiagiza Waziri wa mambo ya ndani kulifungulia kanisa la GCTC - UFUFUO NA UZIMA linaloongozwa na Askofu Josephat...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…