uvccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shamira akabidhi printa kwa UVCCM mkoa wa mjini Zanzibar

    Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana CCM na kuhamasisha ushiriki wa vijana kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Shamira alitembelea ofisi ya UVCCM Mkoa wa Mjini Unguja kufanya kikao...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Kagera wachangisha Shilingi Millioni 12 kwa ajili ya mradi wa vijana Mkoa

    Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Bwana Leodger Kachebonaho amechangia shillingi millioni Tano katika harambee iliyoongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, kuweza kuchangisha fedha kwa ajili ya mradi wa vijana Mkoa huo. Ikiwemo mradi wa fremu za biashara uliopo katika soko la CCM Zam Zam. Kupata...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohammed Kawaida azindua Hostel na fremu 73 ambazo ni vitega uchumi vya UVCCM

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida ametoa maagizo kwa Viongozi wa UVCCM Mikoa yote na Wilaya zote Tanzania kuwa na vitega uchumi ili kuondoa utegemezi. Kawaida ameyasema hayo jana March 24, 2025 Mkoani Singida alipofanya ziara ya kufungua vitega uchumi vya UVCCM ikiwemo fremu 73 za...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Singida wafanya dua ya kumuombea Rais Samia

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kaiwada ameongoza maelfu ya vijana mkoani Singida katika dua ya kumuombea Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Singida wakabidhiwa gari lilotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amekabidhi gari kwa ofisi ya UVCCM mkoa wa Singida ili kusaidia shughuli za kila siku. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Mara: Kuwa kijana wa CCM siyo kigezo cha kuvunja sheria

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mara, Mary Joseph amewataka vijana kuacha kujihusisha na vitendo vinavyochafua picha ya umoja huo, badala yake wawe sehemu ya ulinzi wa amani na mshikamano. Mary ametoa kauli hiyo leo Machi 24, 2025 alipokuwa akizungumza na vijana katika Wilaya ya...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Mara, Mary Daniel amewataka vijana kuacha kujihusisha na vitendo vinavyochafua picha ya Umoja

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mara Mary Daniel amewataka vijana kuacha kujihusisha na vitendo vinavyochafua picha ya Umoja huo badala yake wao wawe sehemu ya kutetea na kusaidia wanapohitajika ili kujijengea heshima Wakati wote. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Babati Wafanya Matembezi Kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu kwa Utekelezaji wa Miradi Mikubwa ya Kimkakati

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) mjini Babati umefanya matembezi maalum katika viunga vya mji huo, wakimpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati na mingine katika kila kata, wilaya, na mkoa ndani ya kipindi cha miaka minne ya uongozi...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Sengerema waonywa dhidi ya kuunga mkono wagombea wa "Mfukoni

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Sengerema wameaswa kutojihusisha na wagombea wa "mfukoni" wanaojipitisha majimboni na kata kutafuta nafasi za uongozi kabla ya wakati rasmi wa mchakato wa chama. Katibu wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Ibrahim Kandumila, alitoa kauli hiyo wakati...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Ruvuma awahimiza vijana kugombea nafasi za juu katika Uchaguzi Mkuu

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Ruvuma, Kelvin Charles, amewahimiza vijana wa mkoa huo kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu. Soma pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Dodoma: Wana CCM msiogope kuitwa chawa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amesema vyama vya upinzani vimekosa msimamo kwa kubadilisha hoja zao mara kwa mara, kutoka kudai Katiba Mpya hadi kaulimbiu ya "No Reform, No Elections" (Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi). Kupata...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM kuandaa Kongamano Kuu kueleza Mafanikio ya Rais Samia

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Idara ya Uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo vikuu unatarajia kufanya kongamano kubwa litakaloshirikisha vijana kutoka maeneo mbalimbali nchini ikiwa ni katika kuelezea mambo mbalimbali yaliyofanywa na rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne ya...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shamira akabidhi kompyuta na printa kwa UVCCM Mkoa wa Shinyanga

    Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana CCM na kuhamasisha ushiriki wa vijana kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Shamira alitembelea ofisi ya UVCCM Mkoa wa Shinyanga kufanya kikao...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu UVCCM Dar Athuman Egobano aongoza maandamano ya kuhamasisha vijana kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura

    Katibu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam ndugu Hussein Athuman Egobano Amepokelewa kwa shangwe na Hamasa Kubwa ndani ya Kata ya Kisukuru huku akiongoza maandamano ya Hamasa Kwa Vijana wa Kisukuru na Kutembelea Vijiwe na Vikundi mbali kuhamasisha Kujiandikisha katika...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu UVCCM Dar atembelea Vijiwe na Vikundi kuhamasisha Kujiandikisha katika Daftari la Mpiga Kura

    Mapema jana tarehe 15.03.2025 Katibu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam Hussein Athuman Egobano Amepokelewa Kata ya Kisukuru huku akiongoza maandamano ya Hamasa Kwa Vijana wa Kisukuru na Kutembelea Vijiwe na Vikundi mbali kuhamasisha Kujiandikisha katika Daftari la...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Geita: Tutawalinda na Kusaidia Viongozi Wanaojenga Chama

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita umeeleza dhamira yake ya kuendelea kuwalinda na kuwaunga mkono viongozi wanaojitolea kujenga na kuimarisha chama, ikiwemo kusaidia ujenzi wa ofisi za chama katika maeneo mbalimbali. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania UVCCM Vyuo na Vyuo Vikuu kufanya Mkutano Mkuu maalum Machi 16, Dodoma

    Jumuiya ya Umoja wa vijana wa CCM Taifa chini ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Ndg. Mohammed Ali Kawaida inatarajia kufanya Mkutano mkuu maalum wa UVCCM Vyuo na Vyuo vikuu utakaokutanisha Viongozi wote wa mikoa yote wa vyuo na vyuo...
  18. Inside10

    JamiiForums Tanzania Faris Buruhan Mwenyekiti UVCCM Kagera: "Mtaa Hautaki Digrii Unataka Ujuzi".

    https://www.instagram.com/p/DHI1LhfoRuR/?igsh=MTB5bGZnMjRteTR0ag== My take: CCM wametuamulia naona kauli ya waziri mkuu inazidi kusisitizwa.
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kijana wa UVCCM anasema bila CCM Kariakoo isingekuwepo kama ilivyo sasa, kulikuwa na vibanda vya nyasi

    Akizungumzia maendeleo yaliyoletwa na chama cha mapinduzi (CCM) tangu tupate uhuru, kada wa chama hiko - Antipas Pamba ambaye ni Katibu wa umoja wa vijana chama cha mapinduzi (CCM) tawi la Milenia 3 kata ya Kimara, anasema Kariakoo zamani ilikuwa na vibanda vya nyasi tu. Pia soma: Pre GE2025...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Dodoma: CCM ndicho chama chenye uchungu na maendeleo ya Watanzania

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma Abdulhabib Mwanyemba amewaasa Watanzania kikupigia kura Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu ujao kwa kuwa ndicho chama chenye uchungu na maendeleo ya Watanzania. Pia amesema umoja huo hauko tayari kuona...
Back
Top Bottom