uvccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    Waziri wa vijana weka utaratibu maalum ulio wazi wa kusajili vijana platform online kila mkoa Ili kuepuka kujaza UVCCM tu ambao ndio wanakupokea

    Waziri wa vijana elewa kitu kitu kimoja SI kwamba serikali haitoi fedha kwenye HALIMASHAURI la hasha, Ilikuwa inatoa tuliisha kwambia fedha hizo zililiwa na mchana uvccm na wake na ndugu wa madiwani Sasa wewe ni waziri wa vijana wote weka utaratibu mzuri wa kuwasajili vijana platform kila mkoa...
  2. Halaiser

    Ni zipi hasa sifa za kuwa Kiongozi ndani ya UVCCM?

    Kumekuwepo na maneno ya sintofahamu toka kwa Viongozi wa UVCCM kwa nyakati tofauti. Hawaangalii umri wala nafasi ya mtu kwenye Jamii.
  3. Just Pray

    UVCCM Moshi yawaonya viongozi wa dini na wastaafu wanaofanya uchochezi

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetoa onyo kali kwa viongozi wa Chama, Serikali na Dini watakaobainika kuchezea au kupuuza maslahi ya Vijana, ukisisitiza kuwa hatua za kinidhamu zitachukuliwa kwa maslahi mapana ya Chama na Taifa. Onyo hilo limetolewa...
  4. McLaren

    Ukweli wazidi kujulikana. Dada aliyejitambulisha kama Mkatoliki ni Katibu wa UVCCM Tawi la Dovya

    Wakuu, Wakatoliki feki wazidi kuumbuka. Huyu dada kama mlivyomsikia hapo kwenye video ni anaitwa Lucy Mikaeli, huyu ni Katibu wa UVCCM huko Yombo Dovya. Hivi mlishindwa kabisa kuchukua watu wenye weledi waje kuwasemea? Mtu ambaye hata alishindwa kutamka neno PETITION akasema PETROL STATION...
  5. mr mkiki

    Kuna UVCCM kule Facebook: Amehoji kwanini Serikali ya Tanganyika iliamua kuwapa Zabuni ya kujenga SGR Yapi Merkez (Waturuki) na kuwaacha Wakandarasi

    Bila shaka huyu UVCCM anahofia Performance ya Yapi Merkez katika Ujenzi wa Miradi mikubwa, na Bilashaka anataka kuwatupia zigo la mavi juu ya uharibifu uliotokea. Ngoja nimwambie: - Mradi wa Tanzania Standard Gauge Railway una Phase 6, Katika hizo phase 6 Yapi Merkez walishinda zabuni ya Ujenzi...
  6. Allen Kilewella

    Usiku ambao jeshi la Malawi lilipomalizana na UVCCM wa Malawi

    Zama za mfumo wa chama kimoja nchini Malawi chini ya chama cha Malawi Congress Party (MCP) kilichokuwa kinaongozwa na Hastings Kamuzu Banda, siasa za nchi hiyo zilikuwa za kuogofya sana na zilijaa kila aina ya ukatili na uovu. Katikati ya vurumai hiyo, kulikuwa na jumuiya ya vijana ya chama...
  7. Q

    Kuwa makini na UVCCM, ndio wanaochomesha watu

    UVCCM kimekuwa kikundi hatari sana ndicho kinacho tekeleza operation nyingi za utekaji kikishirikiana na task force. Kikundi cha utekaji kikimtaka mtu huwasiliana na UVCCM wa eneo husika, kwa sababu UVCCM ndio wanaowajua viongozi wa upinzani walio mikoani, wengine ni marafiki zao wa karibu...
  8. R

    UVCCM Manzese wamvaa Heche kauli ya kuundwa kwa serikali ya mpito na kuongozwa na wageni ni uhaini

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Manzese wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam, wamekosoa vikali kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuhusu madai ya kutaka Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29 urudiwe wakisema kauli hiyo inapaswa kupuuzwa kwani hakuna...
  9. S

    PostGE2025 Samia, Mwigulu, UVCCM na machawa wote, mbona wako kimya kuhusu mashitaka ya ICC?

    Tangu mauji ya October 29, 2025 mpaka November 3, 2025 yatokee yaliyopelekea watawala kushitakiwa katika Mahakama ya ICC, hatujamsikia Samia, Mwigulu, UVCCM na hata Msemaji wa Serikali akisema lolote. Swali: Ni kwanini? Je, wanaona aibu? ICC ikiridhika kuwa wana kesi ya kujibu na kutoa...
  10. Q

    Kuna UVCCM wamelipwa kuleta fujo kesho tumalizane nao on the spot maana maandamano ni ya amani

    Tumekubaliana maandamano ni ya amani, sasa kuna UVCCM wamepanga kuanzisha vurugu ili polisi wapate kisingizio cha kuua waandamanaji. Hao tunawamudu nawashauri waage kabisa familia zao kabla ya kufikiria kitu kama hicho.
  11. Sifi Leo

    Gerson Msigwa anatakiwa kutambua kuwa Serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa fedha kwa vijana ila zinaliwa na UVCCM

    Leo nimemsikia Gerson Msigwa akiwa kwenye chombo Cha habari kimoja wapo anadai Mh RAIS Samia ameishatoa bilioni 200 kwenda kwa vijana Anachotakiwakutambua kuwa Serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa fedha kwa vijana ila zinaliwa na UVCCM na vibaka wengine ndugu wa madiwani na wabunge feki wa...
  12. toriyama

    PostGE2025 Imeandaliwa Task force maalumu kuwaandaa vijana waseme walilipwa kufanya maandamano Oktoba 29

    leo tarehe 25 november Samia kaanzisha Task force maalumu kuwaandaa vijana waseme walilipwa kufanya maandamano October 29 taskforce imehusisha TISS, kamati ya CCM nitaweka majina soon vijana hao watakuwani UVCCM wameandaa waandishi wa habari, viongozi kila kanda kuratibu vijana...
  13. Mafyangula

    PostGE2025 Mwenyekiti UVCCM Dar: Maandamano yana misingi yake. Haya tunayoyaona yakipangwa mitandaoni hayana uhalisia wa madai ya msingi

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed, amewataka vijana kuepuka kujiingiza katika wito wa kufanya maandamano yaliyopangwa kufanyika tarehe 9 Desemba 2025, akisema kuwa maandamano hayo hayana msingi na yanachochewa na watu wenye malengo...
  14. Rungwe88

    Watanzania wapuuzieni UVCCM wanaojiita Wahaziri wa Kiislam ila (Wazingatieni Shura ya Maimamu inayoongozwa na Sheikh Issa Ponda)

    Naandika haya baada ya kuona Kuna upotoshaji mkubwa unaofanywa na UVCCM wakijiita masheikh au wahaziri wa kiislamu, UVCCM hao wamekua wakitoa shutuma nzito kwenda kwa Baraza la maaskofu Tanzania - TEC kwamba TEC ndio wanahusika na kuandaa maandamo yaliyofanyika siku ya uchaguzi mkuu 29 October...
  15. M

    CCM idhibiti makada wake hasa kutoka UVCCM wanaofanya press conference zinazokiharibia zaidi chama kwa wakati huu

    Anachokiongea huyu Muhsin Ussi ni upumbavu mtupu kwa wakati huu tuliopo. Hii haimsaidii Rais Samia zaidi ya kuongeza hasira kwa wananchi. Yeye Muhsin anavyosema atashughulika na watakaomkwamisha Rais ni kwa kutumia mamlaka yapi aliyo nayo? Yeye ni chombo cha dola? Muhsin ajue hata wanaCCM wengi...
  16. Carlos The Jackal

    UVCCM na TISS mmepanga Maandamano yenu Dec 9 eeh, tunawakaribisha sana, Sisi kwetu Mbwai na Iwe Mbwai !! no way !!.

    Tunawakaribisha sanaaa kwenye MAANDAMANO ya Tuliouliwa Ndugu zetu, karibuni sana kwenye MAANDAMANO ya sisi tunaowatafuta Maiti zetu, Karibuni sana kwenye MAANDAMANO ya Sisi ambao Maiti zetu zimechomwa na kuyeyushwaaaa hata zisionekane. Karibuni Sanaa sanaaaaa . Na sisi Maandalizi yetu...
  17. Mlalamikaji daily

    Hiyo Wizara ya Vijana itakuwa na tofauti gani na UVCCM?

    Sote tunajua shida ya nchi hii sio Wizara ... Shida ya Nchi hii ni CCM Tatizo kubwa nchi hii ni CCM Tu wala sio wizara.. Kwanini? Kwasababu kwa CCM wao ni chama kwanza, Utu/watu baadae... Hiyo ndio slogan yao.. Kwa maana hiyo hiyo wizara itajazwa mavijana ya CCM Tu na ili kuhudumiwa itakupasa...
  18. Kimbesa11

    UVCCM tupo wengi tukilinde chama chetu kwa nguvu zetu zote

    UVCCM tukilinde chama chetu Cha MAPINDUZI kwa nguvu zote. Tunategemea kuona ma press yakutosha kutoa makanusho mbalimbali Kama huu udini unaoenezwa KAZI na UTU TUNASONGA MBELE 🇹🇿
  19. Just Pray

    Mwenyekiti wa UVCCM anasema vijana walichoma zahanati wakakosa huduma ya kwanza na kusababisha kupoteza maisha kwa makosa yao

    "Waliposhiriki vurugu, wengine walipoumia, ilitakiwa wapelekwe zahanati zilizopo jirani, lakini zilikuwa zimeshachomwa hali iliyopelekea kupoteza maisha kwa makosa yenu wenyewe" - Mwenyekiti wa UVCCM Mohamed Kawaida Je, kuna zahanati au kituo chochote cha afya kilichomwa moto siku ya maandamano?
  20. funaku

    Pongezi nyingi kwa Vijana wa CCM Mwaka huu hawajamletea mtu yoyote vurugu

    CCM ni kubwa na inao vijana wengi ndani yao ni vijana korofi katika jamii. Lakini hadi sasa wameonesha kiwango kikubwa sana cha ustahimilivu pengine kuliko miaka yote iliyopita.wametulia na wamejikita kwenye hoja za siasa ...kamwe hawajajiingiza kwenye vurugu,kejeli au matusi. It is a new era...
Back
Top Bottom