utulivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je nyumbani kwenu, walipo wazazi au ndugu zako, ni sehemu salama ambayo ukipigwa unaweza kukimbilia na kupata utulivu?

    Je nyumbani kwenu, walipo wazazi au ndugu zako, ni sehemu salama ambayo ukipigwa unaweza kukimbilia na kupata utulivu kabla ya kurejea tena kwenye mapambano; Au ni heri ufie ugenini kuliko kuthubutu kurudi huko? Kuna kitu nataka kufundisha kuhusu hili.
  2. W

    LGE2024 Iringa: Wananchi na viongozi mbalimbali washiriki kupiga kura

    Wananchi na viongozi wa kada mbalimbali wameendelea kujitokeza katika upigaji kura kwenye vituo mbalimbali kuanzia majira ya saa 2 asubuhi Akizungumza muda mfupi baada ya kupiga kura Mkuu wa mkoa wa Iringa Peter Serukamba amewasihi wananchi kuimarisha utulivu wakati wote wa zoezi hilo
  3. U

    Iran yapinga vikali hatua ya Marekani kupeleka ndege hatari za B-52 kwani kinatishia hali ya utulivu na amani mashariki ya kati

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Esmaeil Baghaei amekosoa kile anachokiita uwepo wa Marekani unaotishia kuvuruga amani baada ya kutumwa kwa ndege za B-52 katika eneo hilo. "Siku zote tumekuwa tukiamini kuwa uwepo wa Marekani katika eneo hilo ni uwepo wa kudhoofisha utulivu," Baghaei...
  4. M

    Hiki chombo cha usafiri kinaninyima utulivu

    Wakuu nilikuwa na ndoto za kumiliki angalau pikipiki kwasasa ili kunipungizia gharama za daladala na boda pia kunipungizia michosho itokanayo na kutembea Kwa miguuu. Nikaliweka hilo swala kwenye mipango yangu ya muda mfupi (short-term plan) ili kuhakikisha naipata as soon as possible. Nikaanza...
  5. U

    Mstaafu Dkt. Kikwete: Amani na Utulivu nchini kwetu ni matokeo ya msingi imara uliowekwa Hayati Mwalimu Nyerere

    RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema amani na utulivu ambayo nchi nyingi duniani na bara hili wanayaona nchini ni matokeo ya msingi imara ambao umejengwa chini ya uongozi wa Baba Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere na kuongeza kuwa ni jukumu la kila Mtanzania kulinda...
  6. Utulivu wa watanzania baada ya pause ya vitendo vya utekaji ni meseji kubwa kwa taifa .

    - Japo kuna makumi ya watanzania wenzetu walotekwa na hawajulikani walipo, wako hai au wamekufa. Na reaction Kali ya hamaki na hasira ya raia wakati vitendo husika vikiendelea, Utulivu ulipo wa watanzania baada ya vitendo husika kukoma unatoa somo kubwa; -kwamba, watanzania ni wastaatabu, wasio...
  7. Mapenzi ni matamu sana ukiyapenda tufanye mapenzi ni rutuba ya akili, utulivu na amani

    Acha tuambiane ukweli usikose mapenzi na kufanya mapenzi uko hatarini kuwa mwehu na kukosa afya akili, unapungukiwa furaha na amani, unakuwa zobe, zuzu, bwege, unakuwa kichaa unajawa na hasira hasira, kununa, kususa, umbea mwingi, unakosa focus na concentration ya kufikiria vizuri. Damu inakosa...
  8. Siku Muhimu ya Kuliombea na Kulipongeza Jeshi la Polisi Tanzania kwa Kudumisha Amani na Utulivu Nchini

    Mpaka sasa umoja, amani na utulivu wa wananchi katika kila kona na pembe ya nchi, ni imara na kuna usalama wa kutosha na wa uhakika sana. Hii ni ishara kwamba vyombo vingine vya ulinzi na usalama nchini, viko tayari kujitolea kulinda wananchi na viko imara zaidi. Hakuna kitisho cha vurugu...
  9. Kituo cha Demokrasia (TCD) na Wadau wanajadili Tathimini ya Hali ya Demokrasia nchini, leo 19/09/2024

    https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Tukio...
  10. Amani ni kubwa kuliko Utulivu, utulivu ni muhimu kuliko Demokrasia, na Demokrasia ni kubwa kuliko vyama vya siasa

    Tunahitaji amani sio utulivu, lakini ni heri ya utulivu kuliko demokrasia yenye vurungu, na bila kusahau kuwa demokrasia kwa watu hata wasiokuwa na vyama; ni zaidi ya vyama vya siasa kurahisishiwa kuwa viongozi na kwenda Ikulu. Amani: Ni kuwa na uhakika wa kuwaona wajukuu zako kutokana na...
  11. Kuwa na uvumulivu na utulivu sio ishara yakuwa tuna amani

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya hivi vitu vitatu UVUMILIVU, UTULIVU NA AMANI, huenda vikawa na muonekano sawa katika umbile la nje kimtazamo ila kuna cha kujifunza katika kuelewa hasa hasa tunaposema tuna Amani.
  12. Sheikh Mkuu wa Tanzania: Muislam hajiendei endei tu,bila amani na utulivu hatuwezi kufanya Ibada zetu na kuishi vyema

    Amani na utulivu.. Ametuasa TUSIJIENDEE ENDEE tu....tusifuate mambo bila kujua undani wake..... Tusipelekwe pelekwe tu kwani Uislam unataka tutumie vyema matumizi ya akili..... Amesema ,tufahamu UMUHIMU WA AMANI na UTULIVU katika nchi. #Nchi Kwanza😍 #Uwe na uchungu na nchi yako 😍
  13. Njia ya kwenda mbinguni ni nyembamba inahitaji utulivu, umakini na utilivu! No shortcut!

  14. Hongera sana Jeshi letu imara sana la Polisi

    hongera sana Jeshi letu imara sana la polisi. mmefanya kazi nzuri sana iliyotukuka kwa niaba ya wananchi, na waTanzania wote kwa ujumla. teknologia, intelijensia na weledi mliotumia kuyabaini, kuyashughulikia na kuyadhibiti magenge ya kihalifu yanayo panga na kukusudia kuvuruga amani na utulivu...
  15. Ushauri wangu juu ya utulivu wa vijana kwa serikali ya Tanzania

    Maoni yangu tu kwa serikali na nchi yangu pendwa Tanzania. Kumekua na Sintofahamu kubwa sana haswa kwa vijana wanaokesha mitandaoni, au watanzania wanaotumia mitandao. Kuna uhuru mkubwa sana wa Mitandao sasa, ambao ni safi kabisa. Ila siintofahamu zimekua nyingi saana. Leo huyu kakamatwa...
  16. NATO na SCO zinatofautiana katika kudumisha amani na utulivu

    Mkutano wa 24 wa Baraza la Viongozi wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) umefanyika hivi karibuni huko Astana, Kazakhstan, ukiwa na kauli mbiu ya “Kuimarisha Mazungumzo ya Pande Mbalimbali na Kutafuta Amani na Maendeleo Endelevu”. Mkutano huo umezingatia usalama wa...
  17. Kanuni Tano za Kuishi Pamoja kwa Amani zachangia utulivu na amani duniani

    Huu ni mwaka wa 70 tangu China kutoa Kanuni Tano za Kuishi Pamoja kwa Amani. Miaka 70 iliyopita, aliyekuwa Waziri Mkuu wa China Zhou Enlai alipendekeza kwa mara ya kwanza kanuni tano za “kuheshimiana mamlaka na ukamilifu wa ardhi, kutovamiana, kutoingilia mambo ya ndani, usawa na kunufaishana...
  18. Upatikanaji wa Sukari na utulivu wa Bei ya sukari umeimarika sana Chini ya Bashe!

    Wakuu wote salaam! Kwa wanaonisomaga humu watashangaa Sana nikisimama na Bashe leo kwenye sakata la sukari! Ila Leo ntasimama nae tena kwa hoja na sio vihoja! Kwanza kabisa Bashe ni moja ya mawaziri vijana ambaye utendaji wake unapaswa kutufariji vijana na kutupa motisha kuwa tunaweza kugeuza...
  19. Hakuna kitu kinanipa utulivu kama Quran

    Kuna vijana mimi nimeshuhudia walikuwa watukutu sana wakilewa 24 hours wakaacha uhuni ghafla baada ya kuanza kusikiliza Aya za Quran yaani ina njia fulani hivi sahihi sahihi sana walioandika Quran na biblia ni watu wa Mungu waongofu... Hahaha me mkristo ila Quran naona na yenyewe ya kisomi sana...
  20. Maoni na Ushauri kuhusu kuzingatia jambo ninalolifanya kwa wakati husika

    Wadau habarini za uchana huu wanajamii. Natumaini mu wazima wa afya. Niende kwenye mada moja kwa moja,nipo hapa kuuliza na kuomba Ushauri nawezaje kufocus na kuzingatia (concentrate) kwenye jambo nalofanya kwa wakati husika. Nimekuwa na changamoto ya kushindwa kufocus na kunconcentrate kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…