utotoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vien

    Malezi magumu ya utotoni ndiyo yaliyonijenga kuwa mtu wa kanuni na utaratibu mpaka leo

    Mimi ni Mchaga kwa asili, japo nilizaliwa Same na kukulia kijiji cha Same. Nimekulia kwenye familia ya kawaida sana ya wakulima na wafugaji. Utoto wangu haukuwa wa anasa wala uhuru mkubwa kama watoto wengi wa sasa. Maisha yetu yalijengwa kwenye kanuni, utaratibu na nidhamu kali sana. Mtu...
  2. Surya

    Utotoni dalili ya kwanza kuwa wewe ni wa kiroho or chosen one

    Dalili moja wapo ambayo ni sign tosha kwamba muhusika ni mtu ambae Dunia inamtalajia kumtumia kama Mtendakazi au kiongozi wa mambo muhimu ya Kiroho ni hii KUKOJOA KITANDANI. i. Mtu wa kiroho ni mtu anapokea nguvu na maagizo rohoni na kufanyia kazi mwilini. Kwanza Tafsiri ya ndoto kuwa unaota...
  3. ELI COHEN

    Kama wewe ni 80s na 90s kid na haukuangalia hizi movies utotoni wakati unakuwa basi labda ulikulia msituni

    1: Rambo (1, 2, 3) 2: Predator 3: Commando 4: Sarafina 5: Neria 6: Blood sport 7: Enter the dragon 8: Drunken master 9: Rocky 10: Tai chi master 11: Lion king 12: Titanic 13: Anaconda 14: Coming to america 15: Blade 16: Friday 17: Scarface 18: Terminator (1, 2) 19: Deadly prey...
  4. Dalton elijah

    Hivi ni sahihi kumutafuta mzazi wako aliyekutelekeza utotoni?

    Ni sahihi kabisa kumtafuta mzazi wako aliyekutelekeza utotoni, ingawa uamuzi huu ni unaweza kuchukuliwa kama ubnafsi na unategemea mambo mengi. Watu wengi huchagua kuwatafuta wazazi walio watelekeza kwa sababu mbalimbali ikiwemo kutaka kufaham historia yao ya kifamilia, kupata majibu kuhusu kwa...
  5. haszu

    Watoto wengi hasa waliokulia mjini hawatakua na kumbukumbu nzuri ya utotoni.

    Kwa tuliobahatika huwa kuna muda unakaa, unakumbuka nyumba yenu/ kijiji chenu utotoni wakati unakua, watoto wenzio uliokua ukicheza nao na maisha ya ujumla ya utotoni. Kwa bahati mbaya kwa sasa watoto wengi wanalelewa kwenye nyumba lakini hawana nyumbani. Wazazi wanahama nyumba za kupanga mara...
  6. Mwachiluwi

    Hivi utotoni hasa wanaume hamjawai fanya hii kitu

    Kuna ile una ambiwa kapime mchele vikombe 2 wewe unaweka 3 ili ubaki ule na kiporo kesho yake mchana au asubuhi ili tu usile ugali 😂😂 dah nimekumbuka mbali
  7. W

    Nchini Denmark watu huzoeshwa kutumia usafiri wa baiskeli kuanzia utotoni

    Nchini Denmark, watoto hujifunza kuendesha baiskeli wakiwa na umri wa takriban miaka 3. Baiskeli hizo huwa na magurudumu ya mafunzo hadi atakapoweza kushikilia usawa wake. Kisha, wanapokuwa tayari kwenda shule, huendesha baiskeli hadi huko. Ni njia rahisi na salama ya kusafiri - na Wadenmaki...
  8. Expensive life

    Kama ulizila hizi pipi enzi kwa utotoni na bado umeganda tu hapo kwenu, hutaki kutoka upewe kesi ya uhaini

    Wakuu, kama mada inavyojieleza, kuna wamba, huwezi kuamini licha ya umri kwenda bado tu wameng’ang’ana makwao wakigombea vijiko na wadogo zao. Kuna mwamba mmoja huyo, kwao zipo za kutosha. Wazazi wake walijaribu kumpushi wakampa na mtaji wa kuuza magari, wakamwambia atoke nyumba akajitafutie...
  9. L

    Furaha ya kusherekea Sikukuu ya Kumwagiana Maji ya Kabila la Wadai yarejesha kumbukumbu za utotoni

    China ni nchi yenye historia ndefu sana pia ikiwa imesheheni utamaduni wa aina mbalimbali. Sikukuu zote za jadi zinazofanyika huwa zinaakisi mila na desturi zake nyingi. Kwa wageni wanaoishi China kama mimi ama hata watalii wanaokuja kutoka nje, kusherehekea sikukuu hizi za jadi za China huwa ni...
  10. secretarybird

    Marafiki wa utotoni ni wabaya sana, wala siwapendi

    Marafiki wanutotoni Wana sifa zifuatazo:- 1. Wenye wivu mkali japokuwa hawana unafiki, ukifaulu masomo watakuambia unaringa. 2. Ni wachomaji wakubwa, yaani rafiki yako anaweza kumfikishia taarifa zako mwalimu ili tu uchapwe wafurahi. 3. Wanafurihia matatizo ya wengine kwa mfano ukichapwa basi...
  11. LIKUD

    Video: Imenikumbusha utotoni miaka ya Tisini

    I can pay any amount of money to back to the 90s and early 2000s.
  12. Mwachiluwi

    Nikitu gani wazazi wako walikukataza toka utotoni lakin mpaka sasa ujakiacha umeshindwa kuacha kabisa

    Hello kuna vitu wazazi walikuwa wanatukataza kabisa kuvifanya na ikibidi ata fimbo utapigwa ila wapi ujaacha Mimi kula nimelala au nikiwa na kula situlii sehemu moja nitatembea tembea mpaka namaliza kula naweza chukua lisaa kabisa Kingineni engeezee ni kunywa maji nikiwa nimelala...
  13. ELI COHEN

    Muda mwingine unapokuwa unahitaj extra motivation chukua picha yako ya utotoni, then iangalie kwa kina huku uki-reflect kwa kina jambo linalokusumbua

    The goal haswa ni kukujenga katika upya maana utoto unafanania na una respresent mwanzo. Jiulize huyu dogo naemuona hapa angefanya unyama huu naotaka kufanya? Jiulize hivi huyu dogo namtendea haki kweli yeye na wale waliomlea kwa hatua hii ndogo niliofika? Jiulize hivi huyu dogo angejua kuwa...
  14. Manyanza

    Tabia za mtu ambaye utotoni mwake amedekezwa sana

    Mwanaume ambaye utotoni amedekezwa sana -Anakuwa na misimamo mikali sana (rigid), mwengine anakuwa legelege sana kiasi kwamba kila kitu anamtegea mama yake na dada zake -Hawezi kudumu na Mwanamke,kwa maana anakuwa anapenda sana ulevi kupindukia, uvutaji bangi,kutumia fedha nyingi sana bila...
  15. Mr Why

    FEMINA HIP popote mlipo uzi wangu uwafikie, rudisheni program yenu ili muwaokoe vijana na janga la ngono, mimba za utotoni na mapenzi ya jinsia moja

    https://feminahip.or.tz/ FEMINA HIP mmepotelea wapi ndugu zetu? Zamani mlitoa elimu kwa vijana juu ya maambukizi ya magonjwa ya ngono, mimba za utotoni nakadhalika. Vijana wengi tulivutiwa sana na Magazine za Femina Hip kwasababu tulifahamu njia zote mbaya za kutuingiza kwenye vishawishi vibaya...
  16. JamiiCheck

    Swali la Siku: Jambo gani uliloambiwa utotoni unalohisi ni Upotoshaji ungehitaji kujua Uhalisia wake?

    Utotoni ni kipindi ambacho watoto hupokea taarifa mbalimbali, zikiwemo Potofu na Sahihi, na mara nyingi huziamini hadi ukubwani. Je, kuna Taarifa yoyote uliyoambiwa utotoni inayokupa shaka sasa, na ungependa kupata Uhalisia wake?
  17. Lady Whistledown

    UNICEF: Ukame na Mafuriko huchochea ongezeko la Ndoa za Utotoni

    Ripoti ya Mei, 2023 ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), imeonesha jumla ya watoto milioni 640 wa mataifa mbalimbali chini ya miaka 18 wamebainika kuolewa, Tanzania ikiwepo. Ripoti hiyo imebainisha kuwa katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini hali ni mbaya zaidi...
  18. M

    Mambo makubwa uliyowahi kuyafanya utotoni wazazi wakasena wamepata mtoto

    Wasee mko musuri! Mada iko open, taja mambo unayoyakumbuka makubwa ya kipekee uliyowahi kuyafanya utotomi mpka wazazi au wakubwa kiujumla wakajivunia wewe. Nianze namimi. 1. Nakumbuka hili tukio lilitokea nikiwa darasa la tatu kama siyo la nne, nilikuwa chalii sana. Ilikuwa pumziko saa nne...
  19. Yoda

    Bunge la Iraq lajadili mpango wa kuruhusu ndoa za utotoni, kushusha umri wa mabinti kuolewa hadi miaka 9

    Vyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka miaka 18 hadi kufikia miaka 9. Wanaharakati wa haki wanasema muswaada huu ni mbovu mno na huku ni...
  20. LIKUD

    Nadharia ya Likud kuhusu ndoto za utotoni ina make sense, nimeweka hoja kueleza kwanini

    Nilisema ndoto ina definition tofauti. Moja kati ya definition za ndoto ( my personal definition) ni : 👇 Ndoto ni ' kioo cha kiroho' kinacho tumika kukuonyesha wewe ni nani katika ulimwengu wa roho. Kwa maana ya kwamba unayoyaona kuhusu wewe katika ndoto unazo ota usiku ni reflection ya...
Back
Top Bottom