Kuna swali najiuliza daily maze… hivi tuko na wasomi wangapi kwenye hii nchi? Yani unaweza kuangalia youth wa Bongo, watu wamesoma mbaya, wako sharp, wako ready kufanya kazi, lakini guess what? Hawa jamaa hawajawahi kabisaa kukalia kiti cha decision making. Ni like system imekuwa pre-set kuwa...
Nilidhani Edward Snowden angetumika katika Mbinu alizotumia ili Wapuuzi wengine yasiwakute, ila ikawa ni Kinyume huku tukiwa na maneno ya Ujivuni kuwa NINAJIAMINI na NIMEPIKWA vyema na kwamba HAKUNA wa KUNIFANYA lolote.
Ni System ya Kipumbavu pekee duniani ndiyo itanyamaza pale hali ya Usalama...
Jezi mpya ya ugenini ya Yanga iliyozinduliwa leo imeandikwa “Walisepa 08.03.2025”
Huu ni utoto wa hali ya juu. Wameweka makusudi ili kuwavutia mashabiki wao wanunue jezi hizo ambazo kimsingi sio jezi nzuri.
Motra the future tofauti na diss track ukisikiliza nyimbo zake zingine huwezi kumuelewa kabisa, katoa diss trck mwenyewe nadai kuwa ni east africa diss track, ukiisikiliza kachana utoto mtupu ukianzia kuchagua mdundo na punchlines zake kiufupi bado kabisa hana kiwango cha east africa kama...
I salute you kinsmen
Hii team yenu ya simba imejaa utoto
Walifanya kukaa kimya eti ili yanga wakose mapato.
Nani kawadanganya kuwa watu hawataoingia?? Msipoingia basi wanayanga wataujaza na hivi wana ugwadu na nyie
Mkiingia tu tunafunga mageti hatutaki mkimbie tena.
Hamna tofauti na malaya...
Kwamba Simba kutotokea kwenye press ni jambo linaloweza kuwatoa yanga mchezoni?
Kwamba Simba kutotokea kwenye press ndio wanawaaminisha mashabiki wao awapeleki timu uwanjani?
Hiki ni kisa cha yule bwana aliyesikika akisema Mimi situmii samaki lakini mchuzi wa samaki nakunywa!
Unashindwa...
“Kuzuia uchaguzi au kuwapinga wengine wasishiriki katika kupiga kura si tu utoto wa kisiasa, bali ni kiashiria cha ugonjwa wa kijamii unaohitaji tiba ya haraka. Demokrasia isiyolindwa ni ishara ya jamii inayopoteza dira yake. Ni wajibu wa wale waliopewa dhamana kutunza dira ya jamii kwa kutimiza...
Gwajima na mapungufu yake mengi tuu lakini this time around kaongea kitu kikubwa sana kilichogusa mamilioni ya watanganyika kwenye swala zima la utekaji
Wengi tulitegemea ndani ya chama chake apate support kubwa ama ajibiwe kwa hoja ..
Kinyume chake kuanzia uduvi, dagaa, kambale na sharubu...
Hii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye...
Mimi nikiwa mdogo nilikuwa najua baba na mama mzazi wao ni mmoja
.
Mimi nilijua baba alikuwa mzembe kutojenga ghorofa mbona wenzake wamejenga?
Mimi nilikuwa najua baba hatupendi kwanini hanunui nyama kila siku?
Nilikuwa nawalaumu baadhi ya NDUGU kwanini hawarutembelei?
Nilikuwa nawaonea wivu...
1.Nilipokua mdogo, nilikua naona watu wakubwa Wana Raha sana ktk Maisha wanafanya Kila watakacho. Baada ya kua mtu mzima mambo ni Tofauti.
2. Nilipokua mdogo nilikua najua Askali awafi....
3.Nilikua mdogo nilikua najua Nesi akikuchoma sindano Hapo Hapo unapona, pia Nesi akikuchoma sindano...
Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge wa Arusha mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto na tabia za kike.
Watoto ndo wanatabia za kusemana hadharani ili mmoja aonekane bora kuliko mwenzake
Wanawake ndio wanatabia ya kuchambana mbele za watu ili kuaibishana
Makonda ni mara...
Laana na kifo cha rafiki
Yesu akiwa na miaka mitano alicheza kando ya mto, akakusanya maji kwenye dimbwi na kutengeneza ndege za udongo. Mvulana mwingine alipougia dimbwi lake, Yesu alimlaani na mara moja mwili wa mvulana huyo ukaanguka na kwenda maji – alikuwa amekufa kwa papo hapo. Wikipedia...
"Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe msamaha mkuu watu wa mkoa Paul Chacha."- Christiana Mwagala (
@mwagala.christina) Afisa Habari wa...
"Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe msamaha mkuu watu wa mkoa Paul Chacha."- Christiana Mwagala (
@mwagala.christina) Afisa Habari wa...
Wazee na wanachama wa klabu ya Yanga leo wakiwa Makao Makuu ya klabu ya Yanga Jangwani wametoa msimamo wao juu ya mchezo wa Dabi dhidi ya Simba ulioahirishwa mnamo tarehe 8/3/2025.
Pia, Soma
Bodi ya Ligi: Kama Yanga wameenda CAS ni kichekesho, busara itumike sio kanuni
Bodi ya Ligi Kuu...
Kiukweli kitendo cha kupeleka timu uwanjani wakati Bodi walishatoa taarifa kuwa mechi haipo ulikuwa utoto wa kiwango cha kimataifa.Bodi ndio wenye mamlaka, wameshasema mechi haipo wewe unatumia page yako kwenye insta unawaambia wanayanga twendeni uwanjani, wewe unabandika listi ya kikosi kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.