utitiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

    Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine. Huko PM yupo Mkuu wa Majeshi yupo Mawaziri wapo Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya...
  2. JamiiForums Tanzania PC yako inahitaji nafasi ya kupumua, ondoa makorokoro! kwa wale tulio na utitiri wa videos, hii ndiyo njia nayotumia kuzifuta chapchap na kuzihakiki

    Unaweza kuwa na lundo la videos ambazo huwezi kuja kuziangalia tena, huwa ni sawa na makorokoro, Pc ama hata simu yako ni sawa na chumba, ni muhimu iwe na nafasi ya kupumua, toa makorokoro hayo chini ya uvungu ili kuwe na sehemu ya kupumua na kuwe na urahisi wa kuperuzi karibu kusoma post za...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa Malori umekithiri barabara ya Morogoro, hatua za haraka zahitaji kuchukuliwa, tusisubiri hadi janga litokee

    Ile wikiendi ya sikukuu ya Nane Nane niliendesha gari kutoka Dar hadi Morogoro na kugeuza baada ya siku kadhaa, na Jumamosi ya juzi pia niliendesha kutoka Dar hadi Chalinze, nilichokiona barabarani nyakati zote, wakati wa kwenda na hata wakati wa kurudi, kilinishtua na kunishangaza sana, idadi...
  4. I

    JamiiForums Tanzania utitiri wa biashara ya miwani

    Wakuu. Huko Instagram kumezagaa kurasa zinazotangaza kuuzwa kwa miwani ya matumizi mbalimbali lakini hasa kuna ile inayobainishwa kuwa inadhibiti miali itokanayo na vioo vya computer. Je, wanaofanya biashara hii wamethibitisha kwenye mamlaka za afya kuwa bidhaa zao zinafaa kwa afya ya macho?
  5. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ongezeko la Wahamiaji na Usalama wetu: Je, Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania vimelala Usingizi wa Pono?

    Wasalaam nyote! La mgambo likiliia ujue kuna jambo. Mnisamehe kwa kuanza na utangulizi wa jazba yote ni maumivu ya uzalendo. Tanzania ni nchi ya ajabu sana kila Jambo lipo kimazoea, nitoe rai na angalizo uhamiaji haramu kupitia mipakani hasa Mipaka na Malawi, Rwanda, Burundi, Kenya, Uganda ni...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini tusiwe na maduka ya hadhi nchini ili mawaziri na viongozi wakubwa wasiagize kutoka nje ya nchi?

    Biashara zinaendeshwa Kariakoo kwa sasa hazina tofauti na biashara zilizokuwa zinafanyika miaka ya 1990 za ulanguzi. Soko linazidi kudorora, maduka yenye hadhi yanazidi kupotea na kuzaliwa vibanda vidogo vidogo visivyo kidhi. Mpangilio wa biashara nao unachangia soko kukosa mvuto huku bidhaa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari na utitiri wa APPS za mikopo mtandaoni

    Hivi sasa kumekuwapo na utitiri wa APPS za mikopo mitandaoni ambazo kwangu naamini ni za kitapeli na au zitaleta utapeli. Apps hizi hazina usajili Wala address ya uhakika. Wengine wanakuambia ingiza pesa ya usajili kiaasi kadhaa kwa mujibu wa kiwango unachotaka kukopa,Kisha ukisha tuma ndio...
  8. JamiiForums Tanzania Eti Makamba nae ameshtushwa na utitiri wa vituo vipya vya mafuta! Adai hana majibu

    Waziri wa Nishati, January Makamba ameshtushwa na utitiri wa vituo vipya vya mafuta vinavyojengwa nchini huku akiwaomba NEMC na Ewura taarifa imekuaje? Kama Waziri mwenye dhamana hana majibu tukamuulize nani? Vituo vimeanza kujengwa mpaka vimemalizika na vinafanya kazi hadi leo hajui kwanini...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa malori barabarani yanayoendelea kukatisha maisha ya Watanzania

    Ndugu wana bodi habari ya leo. Niende kwenye mada. Malori ya mizigo yamekuwa mengi sana barabarani kuliko magari ya aina nyingine. Ukibahatika kusafiri kutoka DSM kwenda Mwanza, malori haya yamejaa. Ukisafiri kwenda Mbeya mpaka Iringa malori haya yamejaa. Ukisafiri kutoka Ruvuma kwenda Lindi au...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Utitiri wa TOZO, PAYE kubwa n.k, wa kulaumiwa ni sisi Watanzania wenyewe

    Sasa hivi mitandaoni ni kilio cha tozo na hii ni kwasababu tozo imetugusa wote na si kundi moja katika jamii, otherwise kilio kingekuwa si kikubwa kiasi hiki na huu ndio ujinga mkubwa wa sisi watanzania. Kwanini nasema hivi? Wakati wa Mwendazake, watumishi ambao walikuwa ni wafaidika wa Bodi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kulamba Asali, Mbowe alaani utitiri wa magari, msafara wa Rais hauendani na kubana matumizi

    Adai ni matumizi mabaya ya pesa za umma. Mwigulu Nchemba auchuna. Mbowe ahoji utitiri wa magari msafara wa Rais ======= Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema utitiri wa magari katika msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan hauendani na dhana ya serikali ya kubana matumizi. Amesema...
  12. JamiiForums Tanzania Kinana akerwa na Utitiri wa Traffic barabarani. Atoa maagizo mazito kwa Afande IGP Camilius Wambura

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinanana amemshauri Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura kufanya tathimini ili kuona uwezekano wa kupunguza idadi ya Askari wa usalama barabarani ambao wanalalamikiwa na Wananchi...
  13. JamiiForums Tanzania Nishati; Utitiri wa Miradi, (Mnaonaje tukimaliza Mmoja kwanza kabla ya Kuanza Mwingine)

    Nimesikia hapa Makamba akiwasilisha miradi inayopangwa kufanywa katika bajeti ijayo na pesa lukuki iliyotengwa, kwa ajili ya miradi, (yaani ni miradi bandika bandua). Ni Vema na Haki..., ila swali, si bora tungemaliza kwanza mradi mmoja kuliko kushika shika hapa na pale..., Wahenga walisema...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali punguzeni utitiri huu wa Taasisi ni mzigo kwa walipa kodi

    Nawasalimu kwa jina la JMT..na Kazi iendelee. Ifike wakati serikali ichukue maamuzi magumu na yenye tija kwa Taifa kwa kupunguza utitiri wa Taasisi zake zilizo chini ya Wizara mbalimbali. Ukiacha kwamba hazina tija kwa Nchi bali ni mzigo mkubwa sana wa walipakodi wa Tanzania kwani zinaongeza...
  15. JamiiForums Tanzania Kinachosababisha mafuta kupanda ni huu utitiri wa kodi

    Mtu mwenye Makato ya Zanzibar naomba utuwekee unaoni hapa tafadhali
  16. JamiiForums Tanzania Uhusiano wa utitiri na misiba wafugaji wa kuku hasa wakienyeji wataelewa

    Utitiri ni wadudu wadogo sana weupe hutokea kwenye mabanda ya kuku. Unapookota mayai au kufagia banda wanakurukia. Sijafahamu wanatokana na nini lakini huwa wanakera sana. Ukitokea msiba, ukienda tu msibani ukirudi utitiri umetoweka. Hili ni fumbo lililonisumbua sana utotoni.
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Sisimizi na utitiri wananisumbua, dawa yake ni nini?

    Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kinavosema, Hapa nyumbani Kuna utitiri wa sisimizi ndani haukatiki, ukiweka samaki tu hata kabatini unawakuta sisimizi wamevamia hatari, sisimizi wanazagaa hadi kwenye unga imefika hatua hadi chumbani wapo tu; kinacho niudhi zaidi jana sijalala kwani hawa...
  18. JamiiForums Tanzania Profesa Adolf Mkenda mulika vyuo vikuu vyenye utitiri wa programmes ambazo ni irrelevant, unmarketable

    Mhe.waziri wa elimu ukiwa kama mwanazuoni, saidia kumulika vyuo vikuu vimekuwa hodari kubuni programs ambazo ni sawa na chuma ulete ... Yaan wanakwapua pesa za wananchi / wasaka elimu ya juu (degree level) programs wanazo anzisha unakuta hazina soko ktk soko la ajira kabisaa yaan ni aibu ata...
  19. JamiiForums Tanzania Utitiri wa One za point 7: Je, wa zamani tulikuwa vilaza au elimu imekuwa rahisi?

    Mtakua mmeshuhudia kwamba kuna shule karibia asilimia 90 wamepata 1.7, means karibia darasa zima kila mtoto ana A masomo yote. Nimejiuliza maswali kadhaa nimekosa majibu: 1. Je, zamani tulikua vilaza? Kiasi kwamba nchi nzima div. 1 point 7 unakuta hazifiki hata 20, na utazikuta chache Ilboru...
  20. JamiiForums Tanzania Video ya Aliyekuwa Rais awamu ya Tano hakikataa utitiri wa Mikoa, Awamu ya Sita anaweza kuipitia kama Funzo

    Wana Jf Kwa mara nyingi Marehemu JPM alisistiza na kukataa utitiri wa Mikoa, akadai wakati wananchi wanateseka na kodi kuzalisha, wao wanazunguka zunguka tu na matumbo. Ona wenyewe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…