Wakuu,
Huyu Nchimbi na mgombea mwenza wa Samia ni ndugu au majina tu?
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses...
Kwanza umefanyika kimkakati, lakini pia umefanyika kwa muda muafaka kama surprise, lakini kwa kuzingatia sheria na katiba ya CCM, bila kuathiri kwa namna yoyote ile sheria na katiba ya nchi kuhusiana na masuala ya uteuzi wa wagombea uongozi na uchaguzi wenyewe.
Azimio la kumuidhinisha Dr...
Ndugu zangu Watanzania,
Hakukaliki wala wananchi hawataki kabisa kutulia .wananchi wamegoma kabisa kusubiri muda wa kuchukua Fomu ufike, wananchi wamegoma kabisa kujizuia furaha zao zilizo jaa katika vifua vyao, wananchi wameshindwa kabisa kuvumilia na kusalia majumbani mwao kuendelea na kazi...
Hivi hiki kilichofanyika Mkutano mkuu wa ccm Dodoma leo ni uchaguzi , uteuzi au kuthibitisha jina la mteuliwa ?
Uchaguzi ni kuchagua mtu au vitu zaidi ya kimoja sasa mtu yupo mmoja hapo unakuwa umechagua nini?
Wapiga kura wamepiga kumchagua mzee Wasirsa na nani alikuwa mpinzani wake? Kura za...
👉🏾Safari ya kuwa padre ni mchakato wa kiroho na kihistoria unaohitaji kujitolea, imani, na mafunzo ya kina. Kuanzia mwito wa ndani hadi uteuzi rasmi, kila hatua inajumuisha changamoto za kiroho, masomo ya teolojia, na mafunzo ya uongozi. Padre si tu kiongozi wa ibada, bali pia mwelekeo wa roho...
https://www.youtube.com/shorts/e-h8zzRwB44?feature=share
RC Chalamila nazani madaraka yamemlevya ..amekua akiwadharau sana watu wa kipato cha chini ,hana lugha mzuri kundi ili la watanzania wenye kipato cha chini .amewashambulia sana wanaume wauza uduvi na kuwaambia wataolewa .
Kumbuka...
ACT WAZALENDO TUNAMTAKA DR. MWINYI ATENGUE UTEUZI WA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA, NA IDARA MAALUM ZA SMZ
Chama cha ACT Wazalendo, tumepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kuuliwa kwa watu wawili na Kikosi cha KVZ cha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na mtu mmoja...
Tarehe 01 Desemba, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokutana na viongozi wa kimila na jamii ya kimasai wanaoishi eneo la Hifadhi ya Ngorongoro alitangaza uamuzi wa Serikali kuunda Tume mbili ambapo Tume ya Kwanza itafanya tathmini kuhusu masuala ya...
Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku...
anafanya
chadema
fedha
fundi
hizi
kucheza
kuisha
kupanda
kupanda na kushuka
kushuka
mheshimiwa
mwaka
naona
samia
tena
upepo
uteuzi
waziri
waziri wa fedha
Kamati Kuu ya CHADEMA, katika kikao chake kilichofanyika tarehe 14 Desemba 2024 jijini Dar es Salaam, ilitangaza uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kwa Kanda ya Kaskazini na Kati.
Uteuzi huo umefanywa kwa mujibu wa Katiba ya chama, ibara ya 7.7.16(s), ambayo inatoa jukumu kwa...
Wakuu,
Rais Samia anawaapisha Viongozi Wateule Ikulu Ndogo ya Tunguu Zanzibar, leo tarehe 10 Disemba, 2024.
Akiwa anazungumza katika uapisho wa mawaziri, Rais Samia amedokeza kuwa ni viongozi tu ndo wamebadilishiwa majukumu lakini serikali ni ile ile.
Pia Rais Samia alitumia hotuba yake...
Salaam Wakuu,
Nasikitikia Nchi yangu Tanzania. Nadhani na hii ndo sabababu hatuendelei.
Suzani Kaganda aliteuliwa kuwa Commissioner for Administration and Human Resources of Police badala ya kuwa IGP. Ameenda amefanya kazi nzuri, amefunga Mirija yote. Polisi wastaafu walikuwa wanasikilizwa kwa...
TAMISEMI kipindi kingine angalieni namna ya kuwasaidia kujaza form wapinzani.
Ukiangalia tu elimu ya Mwenyekiti, uje kwa viongozi wa kanda unaweza pata picha mgombea wa kitongoji au mtaa
https://www.youtube.com/live/hM2imb4c6lE?si=k17W_0YvvGSkfLRI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka wagombea wote ambao hawajaridhishwa na uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa waweke pingamizi...
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Mheshimiwa Mohammed Chande Othman, Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, kuwa Kiongozi wa Misheni ya Uangalizi ya Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa...