uteuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

    Zaidi soma: 1) Vigogo watano akiwemo Mataragio wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) wafikishwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka 2) Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio
  2. M

    Tunahitaji mjadala mpana wa kitaifa juu ya timu ya watu inayounda 'Mamlaka za Uteuzi' nchini

    MADA HII IMEJIKITA KATIKA TEUZI ZA MAKATIBU WAKUU ULIOFANYIKA TAREHE 4/4/2021 Mimi kama raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye anaishi katika nchi inayoongozwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninayo haki ya kutoa maoni juu ya mustakbali wa nchi hii. Katiba yetu inatambua...
  3. Gerson Msigwa kaondoka Ikulu nafasi ipo wazi, Pascal Mayalla ana nafasi ya kulamba uteuzi

    Heshima sana wanajamvi, Msemaji/Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Mheshimiwa Gerson Msigwa hatimae kaondoka Ikulu. Mheshimiwa Msigwa kapelekwa Idara ya Maelezo kama Mkurugenzi na Msemaji Mkuu wa Serekali. Sijui kama ndio kupanda cheo huko au kushuka,muhimu kaondoka Ikulu. Mwanajamvi mwenzetu...
  4. Kwa huu uteuzi, Rais mpya wa Tanzania amedhamiria kurekebisha uhusiano, tumesigana vya kutosha

    Kwa kweli ndani ya awamu ya tano Tanzania ilivuruga sana kwenye mahusiano ya kimataifa na baina yake na majirani, nakumbuka hadi Ma-DC wa wilaya za mipakani walikuwa na jeuri ya kuita vikao vya wanahabari na kuzomea na kuibuka na kauli za kwamba wamezuia wakenya kuingia Tanzania, jameni...
  5. Bashiru Ally kuondolewa ikulu kama katibu kiongozi kunatupa picha gani? Wahafidhina hawakufurahia uteuzi wake?

    Hii sio kawaida kabisa katibu mkuu kiongozi kuhudumu kwa muda wa mwezi mmoja tu. Japokuwa aliyemteua aliaga dunia kwa mapenzi ya Mungu hii sio kawaida, ni sawa na mtu alikuwa anaviziwa itokee bahati mbaya ili avurumishwe nje. Katibu mkuu kiongozi ni nafasi nyeti na kubwa sana hapa nchini. Mtu...
  6. Dkt. Philip Mpango kama hutawasaidia Watanzania masikini kuondokana na umasikini, uteuzi wako utakuwa hauna tija kwa Taifa

    Ulipokuwa waziri wa fedha na mipango ulisimamia vizuri hasa ukusanyaji wa mapato. Hii ilisadia kuwepo kwa ukelezaji wa miradi mingi. Awali ulikuwa mbunge wa kuteuliwa na ukapata uwaziri. Lakini mwaka jana uliamua kwenda kugombea huko kwenu Kigoma na ukachaguliwa kuwa mbunge wa Buhigwe...
  7. Baada ya uteuzi wa Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa JMT, sasa naamini watu kama Makonda, Chalamila, Ole Sabaya hawana nafasi katika Serikali

    Kwa kumteua Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni ishara muhimu ya kuonesha kuwa Madam President Samia Suluhu Hassani, atakuwa Rais wa namna gani. Kumbukumbu zinaonesha kuwa Dkt. Philip I. Mpango ni mtu safi na mwadilifu. Hana makando kando...
  8. Mlengo na ukomavu wa Mama Samia utaonekana kwenye uteuzi wa Makamu wa Rais

    Kwenye uteuzi wa makamu wa raisi ndipo patajulikana mlengo na ukomavu wa Mama Samia Kama ni mtu sahihi wa kuendeleza kazi za mtangulizi wake ama la!; ikiwemo miradi mikubwa Kama yupo kwa ajili ya hapa kazi tu ama la! Kama yupo kwa ajili ya vita ya rushwa, ubadhilifu, uzembe, uvivu ama la...
  9. U

    Rais Kagame afanya mabadiliko makubwa ya uteuzi wa Magavana wa Majimbo nchini Rwanda

    Rais Kagame amefanya mabadiliko hayo kwa mujibu wa mamlaka aliyokabidhiwa na Katiba ya nchi hiyo. Wapo waliotumbuliwa na wapo waliohamishwa. Orodha kamili imeambatanishwa kwa ufafanuzi zaidi
  10. Uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM utaoshangaza wengi ni huu..

    M. M. Mwanakijiji. Yes, I said it. M.M. Mwanakijiji ateuliwe kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM. By the way, to those of you in Rio Linda [hapa najua Mwanakijiji anajua nazungumzia nini😁], those 2 Ms stand for ‘Mimi Mzee’. Imagine you wake up on Monday morning and you hear news come over the wire...
  11. M

    Katiba inasemaje kuhusu uteuzi wa Bashiru Ally?

    Pamekuwa na kambi mbili katika uteuzi huu na msaada wa wadau wa katiba na sheria unaweza kutupa mwanga. Najua kuna jukwaa la mambo ya sheria lakini uteuzi huu una athari za kisiasa ambazo inawezekana kwa sasa hazipo wazi. Tusaidieni tujue ukweli ni upi?
  12. Uteuzi wa Katibu Mkuu wa CCM kuwa Katibu Mkuu kiongozi wazua mjadala, Mnyika ajitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yake

    Je Katibu Mkuu kiongozi anapaswa kuteuliwa kutoka kwenye kundi gani , anaokotwa popote au anatoka kwenye Utumishi wa Umma ? Huku kwenye nyaraka za Nchi (Katiba) kunamuelezaje mtu anayepaswa kuwa Katibu Mkuu kiongozi ?
  13. Nimefurahishwa na uteuzi wa Dkt. Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi kwa sababu moja kubwa

    Napongeza uteuzi wa Dk. Bashiru kuwa Katibu Mkuu kiongozi kwa sababu moja. Nilipokuwa mhadhiri wa business administration mahali nilifundisha sana juu ya teamwork. Kuna nadharia nyingi. Lkn pointi kuu ni kwamba kama unataka timu nzuri ya mpira unahitaji watu 11 wenye vipaji tofauti na...
  14. J

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

    Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, ndugu Aron Titus Kagurumjuli Mkurugenzi mpya atateuliwa baadaye. Maendeleo hayana vyama!
  15. O

    Kipi kinachelewesha uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi PSPTB?

    Bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi haijatoa matokea ya watainiwa waliofanya mitihani mwezi Agosti na pia Novemba 2020 kwa sababu haina bodi ya wakurungenzi. Suala la taasisi hii kukosa bodi ya wakurugenzi lilitolewa mbele ya waziri mkuu na waziri husika kwenye kongamano la wataalamu wa...
  16. Spika Ndugai ateua Wajumbe wa kamati za kudumu za Bunge

    UCHAGUZI wa Wenyeviti na Makamu wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge 14 utafanyika leo, baada ya vikao vya kamati hizo kuanza, jijini hapa. Huu ni mchuano mwingine bungeni kwa wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na wa upinzani ambao wanatarajiwa kupambana kuwania kuongoza kamati za Hesabu za...
  17. J

    Baada ya Rais Mwinyi kukiri kwamba Rais Magufuli ndiye amewezesha Zanzibar kuwa Wamoja, ni wazi Tundu Lissu angepata uteuzi kama alivyoahidiwa

    Akiwa mkoani Geita Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Wazanzibar sasa ni wamoja na wanajenga nchi yao kwa pamoja na amemshukuru Rais Magufuli kwa kuwezesha Zanzibar kuwa wamoja na watu wanaopendana. Nakumbuka Tundu Lissu aliahidiwa kutafutiwa teuzi inayolingana na uwezo wake lakini...
  18. B

    Mwaka 2021, wapinzani bado wataongoza kwenye uteuzi?

    Tunaanza utekelezaji wa ilani ya chama Cha mapinduzi katika maeneo mengi hii ikiwa ni baada yakuitimishwa kwa uchaguzi mkuu nchini. Mwaka 2015 hadi 2020 viongozi waandamizi wa chama tawala walielekeza nguvu zao kubomoa upinzani kwa kauli mbiu ya kuunga mkono. Kupitia mradi huu, wapinzani wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…