Kipi kinachelewesha uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi PSPTB?

omusimba

JF-Expert Member
Jul 25, 2012
310
225
Bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi haijatoa matokea ya watainiwa waliofanya mitihani mwezi Agosti na pia Novemba 2020 kwa sababu haina bodi ya wakurungenzi.

Suala la taasisi hii kukosa bodi ya wakurugenzi lilitolewa mbele ya waziri mkuu na waziri husika kwenye kongamano la wataalamu wa ununuzi na ugavi mwezi Disemba jijini Arusha lkn mpaka leo hakuna hatua za maana zilizochukuliwa na wizara ya fedha.

Watainiwa wanaoendelea kufanya mitihani kwa ngazi zinazofuata wamezuiliwa kuendelea kufanya mitihani ya mwezi Mei 2021 kisa hawana matokea ya ngazi za chini. Uzembe huu wa wizara ya fedha havumiliki
 

Ollachuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
14,708
2,000
Kwani hii bodi hadi leo Haina uteuzi wowote? Usajili wa member utafanyikaje sasa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom