uteuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Uteuzi: Rais Samia amrudisha Nehemia Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)

    Rais Samia amemteua Nehemia Kyando Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba ya Taifa (NHC) akichukua nafasi ya Dkt. Maulid Banyani atakayepangiwa kazi nyingine Aliyekuwa Waziri wa Makazi, William Lukuvi alitengua uteuzi wa Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo mnamo Juni 2018...
  2. Uteuzi: Yusuf Juma Mwenda ateuliwa kuwa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Yusuf Juma Mwenda kuwa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), kuanzia leo Machi Mosi, 2022 Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu mkuu kiongozi wa l iliyotolewa kwa vyombo vya...
  3. Rais Samia amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ochalla Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC)

    Rais Samia amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ochalla Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC). Jenerali Mabeyo kwa sasa ana umri wa miaka 65, inawezekana ndiyo anastaafu na maandalizi ya mrithi wake yameanza. Inasemwa kuwa mtu anayeshika nafasi ya CDF ni mwenye cheo...
  4. Rais Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), Salum Yussuf Ali

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), Salum Yussuf Ali
  5. Zuhura Yunus kudai uteuzi wake ulikuwa wa kushtukiza, hakuwa na taarifa ni kweli? Kwanini hakujuzwa?

    ’Changamoto zitakuwepo lakini nitamudu kazi’’ Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu nchini Tanzania, Zuhura Yunus amezungumza na BBC na kueleza ni jinsi gani amepokea taarifa ya uteuzi wake. Kabla ya uteuzi huo bi Zuhura Yunus alikuwa mtayarishaji wa vipindi na mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya...
  6. M

    Kwanini BBC Swahili (Dira ya Dunia) leo hawajaipa Kipaumbele Taarifa ya Uteuzi ya Zuhura Yunus?

    Je, 1. Wamewiwa na Wivu juu yake? 2. Walimpenda Kinafiki? 3. Alikuwa hakai vyema na Wenzake? 4. Ni muendelezo wa tabia ya Wana Afrika Mashariki kutopendana? 5. Hawajaamini macho na Masikio yao? 6. Walitaka akitoka London BBC aje Kuuanza Umasikini Dar es Salaam? 7. Wanaonyesha Chuki...
  7. A

    Uteuzi wa nafasi mbalimbali TAMISEMI

    Naamini kwa uwezo wa maanani mpo vyema na mnaaendelea vizuri na kulijenga taifa letu pendwa la Tanzania. Huko Tamisemi kwa Katibu mkuu huwa kuna nafasi za uteuzi anazifanyaga mfano wakuu wa idara n.k. Kwa upande wa idara yetu ya elimu huku kwenye halmashauri kuna nafasi kama afsa elimu taaluma...
  8. Nitashangaa sana kuwaona wale 'Natural Failures' 70 waliokosa 'Uteuzi' wa 'Uspika' wakigeukia tena kutaka Kugombea 'Unaibu Uspika' wa Bunge

    Hivi 'logically' tu kama dhamira na dhamiri yako Kuu ilikuwa ni kuwa Spika wa Bunge inawezekana ukabadilika na sasa Kuutaka Unaibu Uspika ambao haukuwa Chaguo lako la Moyoni? Ushauri wangu wa bure tu GENTAMYCINE Kwenu nyie 'Natural Failures' mpatao 70 ambao Dada na mwana Simba SC Mwenzangu Dk...
  9. Kwanini wanaCCM wengi hawajafurahi au kuridhika na uteuzi wa Tulia kuwa Spika wa Bunge?

    Sio siri, kwa mtu yoyote anayefuatilia mwenendo wa siasa za CCM anaweza kugundua kitu kisicho sawa sawa miongoni mwa makundi ya wanaCCM kufuatia tangazo la kuteuliwa kwa Tulia kuwa mgombea kiti cha spika wa bunge la Tanzania. Yaani iwe ni kundi la Msoga au Sukuma, wote hawajafurahia sana. Kuna...
  10. Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Akiongea na wanahabari, msemaji wa Chama cha Mapinduzi, Shaka Hamdu Shaka amesema chama kimeptisha Tulia Acksoni kuwa mgombea wa kiti cha uspika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia soma: Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania PERSONAL DETAILS...
  11. Uteuzi: Mcha Hassan Mcha ateuliwa kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa TRA

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Uteuzi wake umeanza Desemba 5, 2021 akichukua nafasi ya Msafiri Lameck Mbibo aliyeteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Vilevile, Balozi Celestine Joseph Mushy...
  12. You want to Bamba Uteuzi Vs Kujiajiri?

    Vijana tafuteni connection za kisiasa sijui Mambo ya kujiajiri sijui nn. Utasota sana. Ona Vijana wadogo wanakula maisha kwenye AC
  13. L

    Chonde chonde Rais Samia mkumbuke Mwijaku katika uteuzi

    Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Naomba umteue mtangazaji wa Clouds FM katika cheo cha ukuu wa wilaya kwani kijana huyu ni mzalendo wa hali ya juu. Kuchukua fomu ya kugombea cheo cha Spika hivi leo kumeonesha jinsi gani Mwijaku ana nia ya kuwatumikia Watanzania. Mara zote kijana...
  14. T

    Je, inaweza kutokea uteuzi wa wagombea ukafanyika nje ya waliochukua fomu?

    Habari za muda huu, Swali langu ni mahususi kwa nafasi ya uspika lakini pia linaweza kujibiwa kwa nafasi nyingine ambazo mchakato wake wa uteuzi wa wagombea unaanza kwa kuchukua fomu kwa vyama husika. Swali ni: Je, ikitokea wote waliochukua fomu ya kuwania nafasi fulani hawana sifa kamili...
  15. Ridhiwani Kikwete hastahili kuwa kiongozi?

    Habari za mihangaiko wanabodi. Wiki iliyopita mheshimiwa Rais alifanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri ambapo katika uteuzi huo tumeona watu mbalimbali wakitenguliwa na wengine wakipewa nafasi lakini kubwa kuliko lililozua mjadala ni swala la uteuzi wa Ridhiwani kikwete ambaye amepata...
  16. B

    Vijana kachukueni Pasipoti zenu Uhamiaji mtawanyike Duniani; kusubiri ajira na uteuzi ni utumwa wa fikra

    Mhe. RAIS ameifungua nchi, SI Kwa wazee Bali Kwa vijana. Wakenya wamejaa Tanzania Kwa ajili ya matembezi ,biashara, ajira nk. Sisi Watanzania tumejazana Dar na tunajipongeza Kwamba tumeiona Dunia. Hapana vijana badilisheni fikra, mtizamo na mikakati, wazeni kuvuka mpaka, wazeni kufanya biashara...
  17. Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Ndugu Victoria C. Mwanziva Anena Kuhusu Uteuzi wa Baraza la Mawaziri.

    UVCCM TAIFA - Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndugu Victoria C. Mwanziva Anena Kuhusu Uteuzi wa Baraza la Mawaziri. “Tunampongeza Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa mabadiliko aliyoyafanya katika Baraza la...
  18. B

    Unadhani nani anafaa kumrithi Kassim Majaliwa endapo akiachia nafasi yake?

    Habari wakuu, Kwa hali inavyoendelea hvi sasa, naona Kuna cheche za chini chini kwamba mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anaweza kujiuzulu uwaziri mkuu au kupigwa chini baada ya mh Rais kusema atabadili Baraza la Mawaziri. Binafsi napendekeza watu wafuatao wanaweza kushika vzuri nafasi yake na...
  19. Dkt. Baghayo Abdallah Saqware ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa TIRA

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Baghayo Abdallah Saqware kuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA). Charles Jackson Itembe ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Eneo Maalum la Mauzo ya Nje (EPZA). Aidha, Rais Samia amemteua Ernest Maduhu Mchanga kuwa Katibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…