Usingle nauona kama ifuatavyo;
Kwanza, ni uhalisia wa kisasa.
Pili, ni majaliwa. Ni mtu gani mwenye akili timamu aweza kuchagua hasara na kuchukia faida?
Tatu, tusiwahukumu. Asiye na dhambi, awe wa kwanza kurusha jiwe.
Tuwaonee huruma. Je, tungekuwa kama wao tungetaka tutendewe na kutenzwa vipi...