utengenezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    Azam TV: Utengenezaji wa Kipindi Cha Historia ya Mwalimu Nyerere Ndani ya Soko la Kariakoo

    https://youtu.be/mDEZOK2SBBM
  2. M

    Huwa najizuia kucheka napoona mtu mwenye gari ya miaka zaidi ya 10 anaguswa na habari za disconituation ya utengenezaji wa baadhi ya magari

    Production Discontinued mtu ana gari ya zamani, kisha anaanza kuumia akisikia kiwanda kimeacha kutengeneza model hiyo. Mfano, mtu mwenye Premio ya 2008 toleo la zamani kabisa anasikitika kwamba Premio zimeacha kutengenezwa mwaka 2021 😂. Ukilinganisha gari yake ya 2006 hata na toleo la 2018, ni...
  3. Izy_Name

    (Need for Acrylic sheets) Natafuta acrylic sheet maalum kwa utengenezaji herufi za 3D

    kama kichwa kinavyojieleza je ni wapi naweza kupata sheets za acrylic zitumikazo kwa utengenezaji wa 3D texts na bei zake zipoje? Hasa kwa Dar na Mwanza wapi naweza kuzipata
  4. Stephano Mgendanyi

    Tanzania yajipanga kuwa kitovu cha utengenezaji wa bidhaa na huduma migodini kusini mwa Jangwa la Sahara

    Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amesema Tanzania inajipanga kuwa kitovu cha utengenezaji wa bidhaa na huduma migodini kwa nchi za kusini mwa jangwa la Sahara kwa kuvutia uwekezaji kwenye viwanda vya kutengeneza bidhaa za migodini na utoaji wa huduma kwenye migodi ya ndani na nje ya nchi...
  5. Mbalizi feedstuff

    Hakuna tena ubabaishaji kwenye utengenezaji wa feed formulas kwa ajili ya mifugo

    Hakuna tena haja ya kutengeneza vyakula vya mifugo usovyojua matokeo yake kwenye ulishaji,mchawi computer,cha msingi unapaswa kujua ingredients zinazotakiwa kwenye utengenezaji wa vyakula vya mifugo,pia ujue viwango vya viini lishen Vya ingridient mojamoja kama...
  6. Bwege2030

    Utengenezaji wa majitu maabara

    BARAZA LA WAWAKILISHI MAREKANI NA UTENGENEZAJI WA WATU NA ALIEN Katika kikao cha mwisho kilichofanywa na Kamati ya Usimamizi wa Baraza la Wawakilishi kuhusu Mambo Yasiyoeleweka ya Kijeshi (UAP), ambacho mara nyingi hujulikana kama UFO, kilifanyika tarehe 26 Julai 2023. Katika kikao hiki...
  7. K

    Msaada: Nimekuwa nikifikiria kuanzisha Project ya utengenezaji wa Bahasha za kaki (Vifungashio)

    Habari ya wanajukwaa wenzangu, Mimi ni kijana wa kiume nipo mkoa wa Mbeya,nimekuwa nataman kuwa mtengenezaji bahasha hizi za kaki zinazotumika kama vifungashio. Nimefuatilia kwenye mitandaoni kuona wapi naweza pata ujuzi na tarifa rasimi juu ya huu mradi lakini nimekosa. Naomba kwa amabae...
  8. S

    Elimu ya utengenezaji wa mishumaa

    habari wadau Nahitaji kujifunza jinsi ya kutengeneza Mishuma kibiashara. vipi kuna mtu ana utaalamu nayo? mimi nipo dar
  9. N

    Fursa ya Biashara/uwekezaji Katika Utengenezaji wa Pombe Kali

    Wakuu Natumai mko salama na mnaendelea vyema. Mimi ni kijana mwenye ndoto kubwa na maono makubwa ya kujiajiri na kuleta mabadiliko katika sekta ya utengenezaji wa pombe kali. Ninapenda sana fani hii, na kwa miaka kadhaa nimejifunza na kupata uzoefu wa hali ya juu katika kutengeneza pombe kali...
  10. Waufukweni

    Tetesi: Inadaiwa Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 30 na mzabuni wa utengenezaji Jezi

    Klabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club. Inatajwa ni mkataba wa miaka mitano na ni kampuni ya Kitanzania. Pia, Soma Kampuni ya Umbro yaomba tenda...
  11. I

    Mabanda ya kuku yanayotembea (mobile chicken Coop)

    Katika pita pita zangu mitandaoni nimeona wenzetu wazungu wameadvance sana. Especially wanaokaa kwenye maeneo makubwa, wanawekeza katika kujenga mabanda ya kuku yanayotembea (mobile chicken coop). Wengine wanayawekea magurudumu. Banda laweza kuwa round kama ilivyo greenhouse farming, au laweza...
  12. X

    Nissan na Honda kuungana kufuatia ushindani mkubwa kutoka China katika utengenezaji wa magari

    Kampuni namba 2 na namba 3 kwa utengenezaji wa magari nchini Japan baada ya Toyota, Honda na Nissan zinafikiria kuunganisha mitaji yao ili kuziunganisha na kuwa kampuni moja. Lengo ni kuwasaidia kushindana dhidi ya watengenezaji wa magari ya umeme (EV), hasa nchini China. Huu utakuwa...
  13. Prof_rutta22

    Utengenezaji, uwekaji na usimamizi wa mifumo ya TEHAMA katika Biashara, Afya, Elimu n.k

    📢 TANGAZO LA KIBIASHARA 📢 Dar ITcare - Wataalam wa TEHAMA kwa Mahitaji Yako! Je, unahitaji suluhisho bora la kiteknolojia kwa biashara au taasisi yako? Dar ITcare tunatoa huduma za kitaalamu na mifumo inayokidhi mahitaji yako, ikiwemo: Huduma Zetu: Mifumo ya Biashara: 🏪 Maduka (POS) 💊 Famasi...
  14. X

    Elon Musk azikosoa vikali ndege vita za F-35 na mradi mzima wa utengenezaji wa ndege hizo

    Awaita waliotengeneza hizo ndege ni wajinga na wametumia gharama kubwa kutengeneza ndege zilizo complex ni upigaji tu Anasema kwa sasa future ni kwenye drones huku akionyesha swarm drones za China zikifanya maneuver angani...
  15. I

    Shambulio la IDF limelemaza uzalishaji wa makombora wa Iran na kuzima ulinzi wa anga; utawala wa Iran washtuka

    Mashambulizi makubwa ya anga ya Israel nchini Iran siku ya Jumamosi yalilemaza uwezo wa Iran wa kuzalisha makombora ya masafa marefu katika pigo ambalo litakuwa gumu na linalochukuwa muda kurejesha, na kutoa vifaa muhimu vya nishati katika hatari ya mashambulizi ya siku za usoni kwa kuharibu...
  16. H

    Ushauri: Noti za tsh 1000 na 2000 zibadlishwe material ya utengenezaji huwa zinachoka sana katika mzunguko

    Salama humu. Sijui ni lini hizi noti zilianza kutengenezwa na kuanza kutumika, naona ni muda mrefu sana umepita. Na ni muda sasa muafaka wa kupata noti mpya hasa hizi za tsh 1000 na 2000. Unajua hela ya noti kwa nchi ni kama nembo ya Taifa. Zinawakilisha nchi na wageni mbalimbali wanazitumia...
  17. K

    Tarehe 30/06/2024ni Killed Cha Maadhimisho ya Kupinga utengenezaji, utumiaji na usambaji wa madawa ya kulevya.

    Tukio ilo kitaifa litafanyika mkoa wa MWANZA Mh Waziri Mkuu atakua mgen rasmi wa jambo hilo kwenye uwanja wa Nyamagana.Brudan zitaanza saa 12:00 Karibuni sana.
  18. jikuTech

    Elimu ya utengenezaji wa application za simu za android part 2

    Android ni mfumo endedhi unaotumiwa sana kwenye vifaa vya kielectronic kama vile simu za mkononi na vifaa vingine vya kielectronic . Utengenezaji wa application za simu za android ni mchakato wa kuunda na kuboresha programu za simu za android. Application za simu za android zinaweza kuundwa na...
  19. S

    SoC04 Serikali ichukue hatua madhubuti kudhibiti utengenezaji na usambazaji wa pesa bandia

    Kumekuwa na utiriri wa pesa nyingi za bandia mtaani noti pamoja na sarafu za mia tano serikali inatakiwa kufanya yafuatayo ili kuondokana hali hii I) KUELIMISHA UMMA Uhamasishaji unatakiwa kufanyika ili kuwaelimisha wananchi jinsi ya kutambua pesa halisi na pesa bandia hii ni pamoja na...
  20. Mto Songwe

    U.S- CHINA Tech War: China ipo miaka kumi(10) nyuma katika utengenezaji wa Chip " C.E.O wa Intel

    C.E.O wa kampuni ya kiteknolojia ya kimarekani Intel inayo husika na utengenezaji wa semiconductor anasema nchi ya China bado ipo miaka kumi nyuma katika teknolojia ya utengenezaji wa Chip na itabaki kuwa hivyo. Skip to main content Open menu Intel CEO Gelsinger says China is ten years...
Back
Top Bottom