utekaji tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Au wote tuhamie chama tawala?

    Nachoka kuwaza. Sasa nimeanza kuona giza… giza nene. Sio la usiku. Hapana. Ni giza la maisha. Giza la matumaini yaliyooza kabla hayajachanua. Giza la haki iliyonyongwa hadharani huku waliopaswa kulia wakishangilia. Moyo wangu huwaka moto wa huzuni kila ninapotazama mwenendo wa siasa zetu. Moto...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Dkt. Tulia: Kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa

    Wakuu! Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson ameeleza kuwa Bunge haliwezi kujadili kuhusu madai na tuhuma mbalimbali zinazoelekezwa kwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mazungumzo ya Erick Kabendera na Mohammed Ghassan yarushwe na vyombo vyote vya habari Tanzania wananchi wapate elimu

    Erick Kabendera amefanya mahojiano ambayo yako youtube kuelezea kitabu chake alichokiandika (in the name of president (maagizo kutoka juu - kama walivyotafsiri wenyewe kwenye mazungumzo yao)). Ukiyasikiliza vizuri hasa hasa visa alivyoelezea kuhusu utekaji watu na kuwapoteza...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Moshi: Mwanaume adaiwa kutaka kutekwa, vijana wasimama kidete kuzuia

    Wakuu, Inasemekana hapo ni Moshi majira ya saa 19:35 maeneo ya Mbuyuni sokoni ambapo watekaji walikuja na Noah nyeusi wakamkamata kijana mmoja wakataka kuondoka naye ila wananchi waliwagomea! Wakatoa pingu huku wamevaa kiraia hapo ndio raia raia wakazua balaa kabisa. Maswali ni yale yale...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Familia ya kada CCM aliyetekwa yamuangukia Rais Samia

    Familia ya Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Daniel Chonchorio maarufu kama ‘Chox’, imemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala la kutoweka kwa mpendwa wao. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jumamosi Machi, Msemaji wa Familia ya Chonchorio, Lucy Mdimi amesema...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo: Tarimo alitoa ushahidi, kesi kuendelea Machi 17

    Wakuu, Hii kesi inavyoenda kimyakimya kuna jambo! ==== Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo ilisikilizwa Februari 26, ambapo Tarimo alipata nafasi ya kutoa ushahidi wake na kueleza upande wake jinsi hali ilivyokuwa. Kesi hiyo iliahirishwa mpaka Machi 17. Pia soma: Waliojaribu kumteka...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Utekaji uliopo Tanzania ingekuwa mtu wa kawaida kafanya ni muda mchache kashakamatwa. Nini kinaendelea?

    Ni maswali ya kujiuliza jinsi wanavo kuja na silahaa ambazo hata kibari cha kumiliki uwezi pewa zaidi ya vitengo vinavyo husika tu huku magari ambayo hata uwezi miliki sababu mengi yanakuwa kwenye idara. Watekaji wanaweza kuja kweupe na ikitokea purukushani ndio ukubari kuwa wamehusika idara...
  8. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha

    Inasemekana kwamba tukio limetokea jana (20.2.2025) majira ya saa saba mchana.Mkoa wa Pwani, Kibaha, Njuweni, sheli ya Puma. Huyu kijana (boda boda) alikuwa anapambania maisha yake, akaomba msaada. Wananchi waliposogelea eneo la tukio, alishuka dereva wa hiyo Noah nyeusi ya watekaji akiwa na...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waliojaribu kumteka Tarimo walitaka kumlawiti na kumsababishia maumivu. Kesi kuendelea Februari 24, 2025

    Wakuu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imeelezwa kuwa vijana sita, wakiwemo mabondia wawili, walipanga kumteka mfanyabiashara Deogratus Tarimo kwa lengo la kumlawiti na kumsababishia maumivu. Kesi hiyo, inayowakabili washtakiwa Fredrick Nsato (21), bondia Isaack Mwaifuani (29), Benk...
  10. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Mwanza: watoto waliotekwa wapatikana, watekaji wauawa kwa kupigwa risasi

    Amani iwe nanyi wapendwa Wale watoto waliotekwa hatimaye wamepatikana lakini watekaji wameuliwa. ===== Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana Wanafunzi wawili wa Shule ya Blessing Model...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo kuendelea Januari 21, 2025 baada ya jalada kutokuwepo Januari 9. Ni mara ya pili mfululizo kukwama

    Wakuu, Hii kesi naona mauzauza, inaenda kama haiendi inakuja kama haiji. Yaani wanafanya kusudi kabisa ili iishie juu kwa juu. Ngoja tuone nini kitajiri hiyo kesho wakati CHADEMA wakiuamua mbivu na mbichi. ===== Kwa mara nyingine tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, iliyopo Kinondoni...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtanzania anatekwa nchi jirani hakuna tamko lolote kutoka serikali ya Tanzania, hii ina maana gani?

    Wakuu, Toka tukio la utekaji wa Maria limetokea jana Januari 12, 2024, akapatikana, akatoa statement kwa ufupi na kusema ataongea vizuri leo hakuna neno lolote kutoka serikali ya Tanzania kuhusu utekaji huo uliofanyika kwa majirani zetu! Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na...
  13. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Mume wa Maria Sarungi amtupia lawama moja kwa moja Rais Samia na vyombo vyake vya usalama

    Kufuatia ‘kutekwa’ kwa mwanaharakati María Sarungi huko Nairobi, Kenya, na baadaye kupatikana kwake, televisheni ya Citizen huko Kenya ilifanya mahojiano mafupi na mume wa mwanaharakati huyo. Bwana Tsehai kaituhumu moja kwa moja serikali ya Rais Samia pamoja na waliopo kwenye vyombo vyake vya...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aitaka Serikali ya Kenya Kuingilia kati kutekwa kwa Maria Sarungi

    Taarifa yake iliyonukuliwa na Vyombo vya Habari hii hapa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, Tundu Lissu ameitaka Serikali ya Kenya kuingilia kati katika madai ya kutekwa kwa mwanaharakati Maria Sarungi. Taarifa za kutekwa kwa Maria zimesambaa leo Jumapili...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

    Wakuu, Kupitia ukurasa wake wa X, Fatma Karume ameweka post ya kuwashukuru wote waliyohakikisha Sarungi anakuwa salama, na kwamba ameambiwa Sarungi amerejea nyumbani kwake. Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi
  16. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

    TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia. Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watu wanaopotea/kutekwa karibuni kupatikana kwa ndugu/jamaa kuna jambo linatengenezwa, there are no coincidences!

    Wakuu, Hivi karibuni kama mmefatilia kwenye matukio haya ya kupotea/kutekwa na watu wasiyojulikana mtagundua kuna kitu, kuna pattern inatengezwa kuisafisha serikali na vyombo vya ulinzi, kwa kufanya kuwa wote waliotekwa wameamua kujificha wao wenyewe kutokana na sababu mbalimbali. Wakienda...
  18. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Tunafuatilia kutoonekana kwa bwana Danstan Daud Mutajura

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Januari 04,2025 majira ya saa 8:00 mchana lilipokea taarifa toka kwa wananchi ya kuonekana kwa gari aina ya Mercedes Benz lenye namba za usajili T 109DVY likiwa limetelekezwa eneo la BUZA SIGARA. Taratibu zilifanyika na gari hilo kuvutwa hadi kituo cha...
  19. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Dar: Dunstan Daudi Mutajura adaiwa kutekwa eneo la Buza

    Nimepokea taarifa usiku huu kutoka kijijini Kishanje, Bugabo Bukoba, akitaarifu kutekwa kwa kijana Danstan Daudi Mutajura (pichani juu) anayefanya kazi Jijini Dar es Salaam. Dastan ametekwa jana majira ya saa 4 asubuhi maeneo ya Sigara, TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam wakati akienda kazini...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Waliomteka Tarimo (akina Benki) wamerudi uraiani dhamana yao imepita kimyakimya, kesi kuendelea Januari 9, 2025

    Wakuu, Kama mnavyojua watuhumiwa wa tukio la utekaji wa Talimo kule Kilivya, Benki na wenzake 5 walikamatwa Disemba 4 na kufikishwa mahakamani Disemba 6. Ikumbukwe kuwa dhamana yao ilikuwa wazi kwa masharati ya kulipa Bondi ya Shilingi Milioni 10 na wadhamini wawili kwa Kila mmoja, pamoja na...
Back
Top Bottom