utekaji tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Maandamano kupinga mauaji na watu wasiyojulikana yanatakiwa kuwa ya wananchi wote bila kujali dini wala chama cha siasa

    Ndugu watanzania, inchi yetu inapitia kipindi kigumu sana hasa juu la swala la mauwaji hayakubaliki kabisa iwe kwa sbb yoyote ile, mfalme yoyote yule hana mamlaka ya kukatisha uhai wa mtu yoyote yule. Rai yangu watanzania swala la kudai haki kwa njia ya amani ni la kikatiba, mandamano...
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Special Thread

    Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani, Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu. Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu. Vitu...
  3. Bwana kaduga

    JamiiForums Tanzania Ombi la kuimarisha usalama na kulinda amani ya wananchi dhidi ya vitendo vya utekaji Tanzania

    Nawasalimu kwa jina la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR. SAMIA SULUHU HASSAN, Kwa heshima na taadhima, napenda kukuandikia ujumbe huu nikiwa na imani na uongozi wako thabiti unaoongoza taifa letu la Tanzania. Tumekuwa tukisikia kwa muda sasa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Kitaa Ney wa Mitego avunja Ukimya Kadhia ya Utekaji, Atoa Pole Kifo cha Ali Kibao, mamlaka twambieni vijana wenzetu wako wapi

    Yule Rais wa Watu Rais wa Kitaa ametoa wito kwa watu wote wenye mapenzi mema kuungana kukemea hali ya kutisha inayoshamiri na kuharibu Taswira ya Nchi yetu. Msanii huyo wa Nyimbo za mziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo fleva ameonekana kupokelewa ujumbe wake na idadi ya watu wengi kwenye...
  5. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania CHADEMA isitishe maandamano, isiingie kwenye mtego wa Polisi. Umma una maswali mengi kwa Polisi tunataka majibu

    Kwa watu wanaoujua mchezo wa chase huu mchezo uchezwa na watu wenye akili tu. CHADEMA isikubali kufungwa chase na watu wenye akili ndogo kama hawa, iko hivi; umma wa Tanzania tuna maswali lukuki kwa jeshi lililofeli la Polisi na tunataka majibu ya kueleweka akiwemo huyo muuaji wao killing...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu

    Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime, ameeleza kuwa Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA, ambayo yalikuwa yamepangwa kufanyika Septemba 23 katika jiji kuu la kibiashara, Dar es Salaam. Marufuku hiyo imetolewa kwa lengo la kudumisha amani na usalama...
  7. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni muda wa mwenyekiti wa CHADEMA kujiuzulu. Mbowe must go!

    Wasalaam Naona huyu kiongozi ameshindwa kuwalinda wanachama wa chadema amekua mpole mno na ni kama anatekeleza maagizo flani flani kutoka ccm ni kama kibaraka wa ccm. Maana haiwezekani wanachama wanauwawa halafu ww km kiongozi unasimama na kutetea wahusika hebu rejea msiba wa mzee kibao...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?

    Huu ni uzi wa maelezo ya kijana SATIVA (katika mtandao wa X) namna alivyomtambua Mafwele kwenye sakata lake la jaribio la kuuawa lililoshindikana - Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine Mafwele miongoni mwa askari waliomhoji Oysterbay alipotekwa TAFAKURI: Kwa nini Jeshi la Polisi...
  9. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea

    NUKUU "Kuanzia Jumatatu [Septemba 23] sisi tutaingia barabarani kudai tunachoona ni uhai wa watu wetu waliopotezwa, vinginevyo serikali imechukua hatua za haraka na za makusudi kuwarejesha, watu kujiuzulu, na watu wote kuwajibika.” - Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA Pia soma: Kuelekea 2025...
  10. USSR

    JamiiForums Tanzania TBC mizani: Mada vitendo vya utekaji; Nini kinaendelea?

    Yupo Mzee Wasira, Majid Mjengwa, Hamadi Rashidi. Muongozaji ni Dkt. Ayub Rioba. Karibuni sana Updates.... Stephen Wasira Rais Samia Suluhu Hassan amesema tufanye uchunguzi wa vitendo vya utekaji, nami nakubaliana naye kuwa tuchunguze. Na tukichunguza, Watanzania watatuuliza uchunguzi huo...
  11. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Kimaasai na Meru kuvunja chungu kufuatia mauaji ya Ali Kibao

    Kufuatia mauaji ya kutisha & kusikitisha ya Mzee Ally Mohamed Kibao kada wa CHADEMA Wazee wa kimila wa makabila ya Wamaasai & Wameru wameanza taratibu za kuvunja CHUNGU. Wale wote waliopanga,waliotekeleza,waliofahamu na walioficha wategemee kilio kikuu ambacho kitakwenda kusambaratisha hadi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Ali Mohamed Kibao

    Hakika Dunia nzima inamlilia Ally Mohamed Kibao japo hawamjui. Ogopa sana Machozi ya aina hii Ukurasani X Mo Dewji naye amemlilia sana Ally Mohamed Kibao. Niishie hapo 🐼 ====== Mohamed Dewji ameandika: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Bw. Ali Kibao. Ninatoa pole kwa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kuuawa Hayati Mzee Ali Kibao, Mwandishi nguli wa Habari za Uchunguzi Bollen Ngetti ameandika haya, inafikirisha!

    C&P from Face Book. KUTEKWA, KUTESWA, KUUAWA KWA ALLY KIBAO, TUSAIDIANE KUTAFAKARI Na Bollen Ngetti SOMA lakini kwa tafakuri pana labda tukajua ukweli walau kidogo si wote katika giza hili lililofunika kutekwa, kuteswa na hatimaye kuuawa kikatili Mzee Ally Muhammed Kibao al-maarufu MeD...
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

    Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao. Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni arudi kwa familia ya Hayati Ali Kibao kuipa pole

    Mariam, mtoto wa aliyekuwa mjumbe wa Sekretarieti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ali Kibao akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni (kulia), baada ya kufika kuwafariji kwa kifo cha baba yake. Kibao aliuawa baada ya kutekwa na watu wenye silaha, jioni ya Ijumaa ya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Shuhuda adai Hayati Ali Kibao wa CHADEMA alipigwa kichwani na kutobolewa macho

    Msikilizeni huyo shuhuda. Anadai Mzee Ally Kibao aliumizwa vibaya kichwani, na alitobolewa macho. "Nilikuwa na abira wangu sasa wakati napita nilikuta watu wengi sasa hapa ilibidi nipaki nilikuja kuaangalia tulikuta mtu amakekufa, kapigwa kichwani, amevia damu, amaetobolewa macho unaona...
  17. GemMaster II

    JamiiForums Tanzania Ni kama Mzee Ali Kibao alijua yupo hatarini?

    Nipo najiuliza ilikuwaje akawa anatumia usafiri wa bus naamini huyu mzee hawezi kosa usafiri wa kusafiri kwenda hapa na pale. Imani yangu inanituma alijua anafatiliwa akawa anajichanganya mazingira ya watu wengi kama kusafiri na bus ambapo aliona kwake itakuwa ni salama zaidi. Lakini hawa...
  18. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ya Msigwa kumlipua Mzee Ali Kibao ina ukweli gani?

    Nimekutana na message kwenye Whats App kwamba Msigwa ndiye aliyemlipua Mzee Kibao eti kuwa ndiye strategist wa Chadema kwenye mikutano yake ye hivi karibuni. Kama ni kweli hivi Msigwa atakuwa anajisikiaje huko aliko? YUDAS ISCARIOT! PIA SOMA - TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Raia wa Instagram wamjia juu Steve Nyerere kisa sakata la utekaji nchini

    Akiwa anaongea siku ya jana kwenye tukio la Faraja Ya Tasnia Steve Nyerere alinukuliwa akisema: Kauli ya Steve Nyerere inakuja muda mchache tangu kada wa Chadema, Ally Kibao kutekwa na kuuliwa huko Ununio Dar Es Salaam. Watu wengi walionekana kutopendezwa na kauli hii hasa katika kipindi...
  20. Area 56

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni kuhudhuria mazishi ya Ali Mohamed Kibao jijini Tanga

    Kada wa Chadema aliyeuwawa na wasiojulikana atazikwa leo na Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi atakuwepo. Inna lillah waina illah rajiuun ----- Mwili wa aliyekuwa Kada wa Chadema, Ali Kibao unatarajiwa kuzikwa leo Jijini Tanga, kata ya Tongoni katika kijiji cha Tarugube, baada ya...
Back
Top Bottom