utekaji tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TANZIA Sheikh Jabir Haidar akutwa amefariki Bumbwisudi, chanzo cha Kifo bado kitendawili

    Mwili wa Sheikh Jabir Haidar Al Farsi umekutwa usiku wa kuamkia leo, Jumatano Mei 28, 2025, katika eneo la Bumbwisudi akiwa tayari amefariki dunia. Taarifa za awali zinaeleza kuwa huenda marehemu alishambuliwa na watu wasiojulikana, ingawa pikipiki aina ya Vespa aliyokuwa akiitumia ilikutwa...
  2. Mudawote

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi itakuwaje iwapo Rais Samia Kufanyia kazi mapendekezo ya Askofu Gwajima?

    GTs, Swali la kizushi. Hivi itakuwaje in case Rais Dkt Samia akiamua kuona kuna umuhimu wa reconciliation ya haya mambo yaliyotajwa na Askofu Gwajima na kuyafanyia kazi kwa kuchukua hatua kama vile kumuondoa IGP Wambura kwenye nafasi yake, kuwawajibisha wale wale wote waliohusika na kuua na...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina: Rais hana kinga ya kutokosolewa. Watu wanatekwa ninyi mnapongezana, wanaoikosoa serikali wasizuiliwe

    CCM Kuna Watu wachache Wazalendo kwelikweli, Juzi alisiamam Dr Gwajima , Leo kasimama Mwanasiasa machachari , Luaga Mpina ============== Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameibuka na kukemea vikali vitendo vya utekaji vinavyoendelea kuripotiwa nchini Tanzania, akitaka uwajibikaji wa...
  4. TJF1990

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tafakuri ya kisiasa na kijasusi; Majibu ya kitoto kwa hoja nzito za Askofu Gwajima

    Na: Mwananchi Mzalendo Tarehe: 27 Mei 2025 Siku ya Jumamosi ya wiki iliyopita (24 May 2025), Askofu Josephat Gwajima—Mbunge wa Kawe na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM—alizungumza na waandishi wa habari na kutoa kauli nzito juu ya matukio ya utekaji yanayoendelea kushamiri nchini. Kwa maudhui...
  5. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sio kila jambo la kisiasa ni la kulitolea tamko mengine kubali yakupite

    Wakati huu wa joto la kisiasa sio kila jambo ni lazma kulitolea kauli mengine mtu unatakiwa ukubali yakupite. Mbaya sana kufunua mdomo kuongea jambo usilokuwa na uhakika nalo. Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM na Serikali majibu yenu yako wapi kwenye orodha ya Watanzania waliotekwa iliyotolewa na TLS?

    Serikali na CCM mmepaparuka huko na kusema taarifa ya Gwajima ina walakini, inalenga kuleta chuki kwa serikali, kwamba inabidi serikali iseme upande wake. Orodha ya Gwajima ndio hiyo orodha ya TLS iliyokuwa na watu 80 waliotekwa/kupotea toka mwaka 2016 mpaka Agosti 2024, kama angechukua na watu...
  7. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana CCM waitisha press kumjibu Gwajima, wataka avuliwe uanachama

    Hii ni zaidi fezea. https://www.youtube.com/live/toeAMRhpOZ0?si=V_T-07W3gayr4V6n Vijana wanasema Gwajima ana sehemu nyingi kufikisha taarifa hiyo lakini kaamua kwenda kwenye media na kwa kufaanya hivyo ni kusababisha taharuki. Wanasema pia Gwajima kuongelea kuhusu uchaguzi na utenguzi wa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Neno 'Mizani' linatumika kuminya media na kuibeba Serikali na CCM kukimbia kuwajibika kuwajibu wananchi kwenye maswali magumu

    Leo asubuhi The Chanzo wameondoa press ya Gwajima YouTube wakiweka wazi kuwa wametakiwa kuondoa story hiyo na TCRA sababu press hiyo imekosa 'Mizania', hawakulance kwenye namba ya watu waliotekwa nchini kwa kwenda kuihoji mamlaka serikali na hivyo kusababisha wananchi kuichukia serikali yake!🤣🤣...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa wanaokerwa na mifano ya Gwajima bila kukerwa na utekaji, hiyo itupe kuamini sisi wananchi wa kawaida kutekwa ni halali tu?

    Maswali ni mengi sana juu ya hili Nikweli kabisa mifano ya Mbunge huwenda haikuwa sawa sana, ila kwangu mimi nilidhani, hiyo mifano ndiyo ingetuleta kwa pamoja kama taifa kuzungumza kwa lugha moja kukemea na kukataa utekaji, Mh na Mbunge mwenzenu wa CCM ndugu Josephat Gwajima Yeye kaongelea...
  10. Bila bila

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM mnajikaanga kumshambulia Askofu Gwajima bila kutoa suluhisho la utekaji

    Ni kichaa tu atakayewaunga mkono Kwa matamko yenu yasiyotoa suluhisho Kwa tatizo la utekaji. Ni Machawa wenu wasio na impact mliowaswaga wamjibu Gwajima Kwa Jambo ambalo wananchi wote wanaliona na nyie wenyewe mnaona lipo na linazidi kukomaa. Pia soma Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa...
  11. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunatakiwa kulisukuma tena Bunge la Ulaya kujadili hali kisiasa nchini, Gwajima katoa maoni anashambuliwa na wananchi kuitwa kenge!

    Ni aibu kubwa kwa taifa bunge zima tangu utekaji umetamalaki wanakaa kimya amejitokeza mmoja wao Askofu Joseph Gwajima akatoa ushauri tena nje ya bunge kuhusu utekaji unaoendelea ameonekana kukosea pakubwa na wengine kufikia kuita wananchi kenge. Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa...
  12. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa hili, Bishop Gwajima kathibitisha yeye ni akili kubwa

    Kama angeyaeleza hayo bungeni, asingefanikiwa. Lazima angefanyiwa mizengwe na wabunge wenzake kwa kumpiga taarifa, n.k. Kama angesema akayaibue chamani, ukinzani ambao angekutana nao humo ungekuwa mkubwa zaidi kuliko wa bungeni. Gwajima alilizungumzia suala la utekaji kwa namna ambavyo hata...
  13. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nileteeni Gwajima, nileteeni Gwajima!

    Hongera Gwajima. Acha wajinga wakushambulie lakini watanzania wenye akili tumekuelewa Gwajima ameagana na nyonga kabla ya kukimbia. Haikuwa rahisi kujitokeza hadharani kwa desturi ya nchi yetu kwa mbunge tena wa chama tawala kuzungumza jambo linalogusa maisha ya watanzania kwa kiasi kile. Na...
  14. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Utekaji Tanzania: Je Ni Ugaidi au Udikteta?

    Kwa kuwa polisi hawahusiki, maoni yangu Utekaji huu ni Ugaidi. Wenzangu mnasemaje? Kitengo cha kupambana na Ugaidi kimekwama?
  15. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nilitegemea kwenye Bajeti ya Wizara ya mambo ya ndani wabunge wakemee vitendo vya utekaji lakini kimya, tumekwisha!

    Leo nilitarajia kwenye wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani, wabunge wangekemea masuala mbalimbali ya utekaji na kupotea kwa baadhi ya raia, lakini sijasikia. Nani atatutetea sasa jamani? Niseme tu baaaaaasi, Tumekwisha!!
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watu duni wenye uwezo mdogo na Wasio na Ushawishi wowote hawataweza kuzima hoja Kabambe za Askofu Gwajima

    Tunafahamu kwamba ili upate uteuzi kwa serikali ya CCM unapaswa kujipendekeza kwa kiwango cha kutia aibu bila kujali namna utakavyodhalilisha familia yako, Yaani ili Mamlaka ya Uteuzi ikuone unafaa unapaswa kudhalilika kwanza kwa kupinga hata Ukweli. Mifano ni Mingi, Jerry Silaa alipata Uwaziri...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watu aina ya Jerry Muro ni wakupigwa vita kila mahali, huwezi kutumia utekaji wa nyuma kuhalalisha utekaji wa sasa

    Hili lijitu baada ya kukuona limesahauliwa na Uongozi wa Kifisadi wa Awamu ya Sita sasa limeona like na Ujuha na Upumbavu wa kijinga ili lionekane linatetea Awamu ya Sita. Huwezi kuhalalisha UTEKAJI na UUAJI unaoendelea nchini, Kwa kusema Et "Toka Enzi za kambona watu waliotekwa". Swali la...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jerry Muro unatafuta uteuzi?

    Ulipotea kwenye ulingo wa siasa, now you want to maka use of this "opportunity" to impress Samia na hivyo akukumbuke. Jaribu unaweza kupata bahati! Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
  19. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jerry Muro aitisha press kumjibu Gwajima kuhusu utekaji

    Kwahiyo hapa huyu Jerry anamjibu Gwajima kama nani wakati wakuu wake wameufyata? Wao si ndio walikuwa waje kujibu na kutoa ufafanuzi kama wanachukua ushauri wake ama lah? Ndio anatafuta teuzi kwa nguvu? https://www.youtube.com/live/yxNmWDyh7IY?si=5XhLpYUAZTHZeV6I "Luhaga Mpina akinyimwa...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tuungane kama Nchi kuangamiza kikundi kinachoteka na kuua Watanzania. Nahisi ni Magaidi

    Rais Samia yupo Madarakani Miaka Mitano hata akishinda, atatoka madarakani. Hiki kikundi kilichoundwa kwenye Uongozi wake, tuungane kama Nchi kukiangamiza. Uongozi wa Samia utaisha ukiacha Wajane na Mayatia wengi waliopatikana katika harakati za kuhakikisha anakaa Madaraka bila kubugudhiwa...
Back
Top Bottom