Kwa kweli ameshindwa kuwasilisha au kuwakilisha alichokikusudia na badala yake anaelekeza kwenye kamati ya Raisi inayojihusisha na uteuzi ,ambapo hapa Gwajima amepaona ndiopo penye ukakasi wa wakuu wa ulinzi kwa ujumla wao kusitishwa kuendelea na uchunguzi utekelezaji au ufuatiliaji endapo kuna...
Hakika leo umenifurahisha sana mtumishi wa Mungu askofu Gwajima. Hii ndio asili Yako ya kutetea haki, utu, uzalendo, taifa. bila shaka watanzania wote wamefurahishwa sana na hiki ulichokifanya jana, hata Mungu amefurahi.
Pia soma...
GWAJIMA ANAMAANISHA KWELI KUPAMBANA NA UTEKAJI AU ANATAFUTA USHUJAA MITANDAONI?
Anaandika Spesho Kabwanga.
Askofu Gwajima kwenye speech yake ametaja Neno RAIS si chini ya mara 42, Neno USALAMA WA TAIFA si chini ya mara 35, POLISI si chini ya mara 18, JESHI LA WANANCHI si chini ya mara 14...
Jana nimeangalia video ya Askofu Josephat Gwajima kwenye YouTube, na haya ndiyo maoni yangu kuhusu kile alichokisema na alivyokisema.
Kwanza, ni wazi kuwa Gwajima yupo karibu na watu walio ndani ya system yaani watu walioko kwenye vyombo vya dola. Hawa ndio wanaompa taarifa “nyeti” kuhusu...
Hizi ndo sababu zangu kwamba this guy is patriotic (Mzalendo).
Kwa nafasi aliyonayo Gwajima kuanzia Kijamii, kisiasa, kiuchumi.
Sifikirii Kama anatafuta umaarufu , na sifikirii Kama anatufa political mileage au anatufa Personal interest.
Kwahiyo angeamua kukaa kimya asiongee chochote kuhusu...
Askofu Gwajima kaweka wazi kabisa
1. Kuna kikundi kidogo kinachotumwa na Rais kwa manufaa yake mwenyewe ya kisiasa , kinachopelekea watu kuteswa , kuumizwa vibaya sana au hata kuuawa na kupotezwa kabisa
2. Jeshi la polisi na usalama wa taifa kwa ujumla hawahusiki na utekaji , isipokuwa...
Wasalaam,
WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....
Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani...
Friends and our Enemies,
Gwajima kama mwanachama na mbunge wa CHAMA ana platforms za kusimama na kuongea ndani ya serikali, na ndani ya chama.
Sasa anaposimama na kusema kwamba huenda hao watu wanaoteka watu may be ni kikundi TU cha watu Fulani ambao wanatumwa na mtu Fulani na inapotokea...
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya...
Askofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.
Ikumbukwe mwaka 2019 ziliposambaa mtandaoni picha za ngono ambazo yeye mwenyewe baadae alijitokeza na kusema...
Anahoji Askofu Gwajima.!
Je, Abdul anaweza kupotezwa na kuokotwa hana macho? Je mtoto wa Majaliwa au wa IGP Wambura, au wa Askofu Gwajima wanaweza kupotezwa na kuokotwa hawana macho na Taifa likakaa kimya? Kama haiwezekani kwa hao, kwanini watoto wa wengine wanapotezwa halafu tunakaa kimya kana...
Kwa wenye akili tumemuelewa Gwajima.
Kwa maneno yake ukimsikiliza neno kwa neno utaelewa kuwa kwa sasa kuna kikundi kinachowajibika kwa Rais tu ambacho kinafanya vitendo vya Utekaji na Mauaji ya Watanzania wanaompinga Rais na CCM.
Ukimsikiliza vizuri Gwajima utaelewa kuwa imeonekana katika...
Muda si mrefu na ban za safari zitakuja, mama yupo zake kimya, kama vile haya mambo hayamhusu, ndio kwanza anafurahia kutegenezewa program za uchawa! Mambo yanaenda kuwa magumu kwetu Trump effect huenda ikaongezeka na kwa wengine na ikawa kali zaidi.
====
Marekani imesikitishwa sana na...
Wakuu,
Aisee ni inasikitisha na kutia hasira kwa vitendo hivi vinavyosimuliwa, kwa mara ya kwanza tumesikia mambo machafu yanayoelezea ukatili wa kutisha zaidi ya kipigo kilichozoeleka. Inaonekana wote waliowahi kukamatwa na polisi nchini wamefanyiwa ukatili mkubwa wa kijinsia na hata kingono...
Wakuu,
Sasa hivi ni mwendo wa kutekana tu, hali inazidi kutisha, ni muda wa wananchi kuungana kuliko wakati wowote ule kupinga udhalimu huu.
===
Mtumishi wa Mungu anayejulikana kama Mwl. Steven Jacob aliripotiwa kutekwa asubuhi ya jana Mei 16, 2025 nyumbani wake na watu wasiyojulikana ambao...
Wakuu,
Hii ndio aina ya masheikh tunawataka huko BAKWATA, sio kukaa kuandaa dua za kumuombea mama wakati wananchi wanateketea. Tunahitaji viongozi wa dini wanaohimiza uwajibikaji na utawala bora. Sio mtu anajitokeza anaongea upuuzi mpaka aibu unaanza kuona wewe!
====
Sheikh Ponda amesema...
Wakuu,
Sheikh Ponda ametema cheche jinsi Spika Tulia alivyozingua na kucheza na maisha ya Watanzania kana kwamba matukio haya hayatokei na watu hawatekwei.
====
Sheikh Ponda amesema;
"Namkumbusha Tulia Utekaji sio suala la kisiasa au la kubabaisha, ni suala linalohusu uhai wa watu. Ni suala...
Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda ametoa wito kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson kurejea kumbukumbu za Bunge, ili kuona namna Mbunge wa zamani wa jimbo la Kigoma mjini Zitto Kabwe alivyowasilisha hoja kuhusu uwepo wa matukio ya...
Wakuu,
Wapanga mipango ni chawa unategemea kutakuwa na ushauri wa maana hapo kwenye jinsi ya kufanya mambo? CCM mnataka kuleta vita watu tuanze kuviziana!
=====
YAH: TAMKO LA KKKT DAYOSISI YA KARAGWE KUHUSU VITISHO DHIDI YA MKUU WA DAYOSISI
Wapendwa waumini wote, salamuni katika jina la...
Idara hizi tunaishi nazo mtaani na zinashiriki wanazengo kama wanataka kujiona kazi zao ni ndugu zao tuweke ajenda kuwa hata ukipata tatizo tukuangalie tu.
Nchi hii mnapoipeleka kuna siku hawa watu watakuwa kwa waarabu au wazungu wakituacha tukitoana tofauti za challenge za kiredio au ivan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.