utawala

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mhubiri 3:1-8. Kila kitu kina wakati wake na huu ni Wakati wa kuanguka kwa Utawala huu.

    Hivi ndiyo muhubiri anasema "Kila kitu kina majira yake, kila jambo duniani lina wakati wake: Wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa; wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna kilichopandwa; wakati wa kuua na wakati wa kuponya; wakati wa kubomoa na wakati wa kujenga; wakati wa kulia na wakati wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mungu mwenye Nguvu awe nanyi mwezi huu mpya

    Hamjambo! 1. Mwezi huu uwe mwezi wenye Baraka na Neema ya Mungu naam yule MUNGU Mwenye Nguvu nyingi aliyetuumba wote. 2. Mwezi huu Mungu atuepushe na Mabaya na kushindwa na adui zetu. 3. Wokovu wa Mungu uwe upande wetu. Naye atatupa Wokovu mkuu na ushindi kwa namna isiyoelezeka. 4. Adui zetu...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nauhakika Nyerere angekua yu hai, lazima angetekwa katika utawala huu

    Kwa jinsi mambo yalivyo utawala huu, Nyerere amgekuwepo na zile hotuba zake, nina uhakika wanamtandao wasingemuacha. Hawa watu hawacheki na yoyote
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mnaodhani Jeshi litaungana na Wananchi katika utawala huu mnajidanganya. Hawafundishwi hivyo!

    👇👇👇👇👇👇👇
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini hamuutaki huu utawala wa Rais Samia? Nawauliza na mseme ukweli

    Watanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala? Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu. Tatizo nini?
  6. JamiiForums Tanzania Masheikh wote ni kama wanaona Maandamano ni dhidi ya Uislamu na si dhidi ya utawala mbovu

    https://www.instagram.com/reel/DRRCZIBgsNx/?igsh=MXZvNWQwdHFlbGRyZg== https://www.instagram.com/reel/DRRQh0SDDUj/?igsh=MTdvanF1dTN1YWQ1aQ== ALLY KIBAO alikuwa Muislamu, lakini leo hawa waandamanaji ndio wanaotaka huu utekaji uishe, polisi wawajibishwe au watekaji wapatikane. Lakini hata...
  7. JamiiForums Tanzania 9DecemberTunataka- Mustakabali na Matokeo ya utawala wa kikatili wa Samia

    🔻Utangulizi :Haya ndiyo matarajio magumu zaidi yanayosubiriwa... 🔥 Iwapo Watanzania hawatasimama kupigania uhuru wao, Hili litaamua Mustakabali 🇹🇿 [image designed by AI] @Mg2+ REJEA : Uchambuzi wa kina kwa kuzingatia uzoefu wa maisha halisi wanaokumbana nao #Waganda kwa sasa unaodhihirishwa...
  8. JamiiForums Tanzania Nyingine ya Moto: Samia na Nchimbi waanza tofauti hawana hata siku 100 za uhalamu wa Utawala wao

    Kuna clip mama anashangaa kumuona Makamu ukumbini wakati wa kutangaza cabinet nadhan mmeiona Samia na genge lake walimtuma Congo, huku wakapanga cabinet, wakati wanaenda kutangaza akashangaa jamaa yupo. Ikabidi kiti chake kiongezwe. The guy was so smart, japo walifanya wrong move, yeye...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Historia za waraka wa TEC kwa Utawala wa Mkapa na Magufuli

    Kipindi cha utawala wa Hayati Rais John Pombe Magufuli (Novemba 2015 – Machi 2021), Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) lilitoa matamko na waraka kulaani mauaji, utekaji nyara, kutoweka kwa watu, na kutoa maonyo makali kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu, hofu nchini, na hatari ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aliyetoa wazo la kuua watu tarehe 29 Oktoba kauharibia sana utawala huu

    Inawezekana kwa 2001 kule visiwani hili wazo lilifanya kazi kwa sababu mbalimbali na sababu kuu ni kutokuwa na maendeleo makubwa ya teknolojia kwa wakati huo. Inasemwa kwamba visiwani kulikuwa na mauaji ya kutisha na kikatili mno. Wasimuliaji wanadai hata waliokuwa wakikimbilia nchi jirani wengi...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Utawala wa Samia umeua watu wengi sana katika historia ya Tanzania

    Utawala wa samia umeuwa watu wengi sana katika historia ya nchi yetu nzuri.! Umewaacha watanzania wengi katika maumivu sasa inatosha ameuwa watu wengi sana na sisi kwa pamoja tupo tayari kufa. Tukutane #D9
  12. T

    JamiiForums Tanzania Je analipiza kisasi kwa ndugu zake wa Zanzibar waliouwa katika utawala wa Mkapa.?

    Lakini maoni yao tumeyakataa .!! Haya yalikua maneno ya Mkapa baada ya machafuko ya mwaka 2000 huko Zanzibar Nimejaribu kutafakari labda kuna ndugu zake wengi waliuwa kipindi kile, na akaapa endapo akipata nafasi ya kuongoza Tanzania atalipiza kwa wabara kile kiliwatokea ndugu zake Zanzibar...
  13. JamiiForums Tanzania Muandikie Senator Jeanne Shaheen wa Marekani utawala wa Tanzania ubanwe na Marekani

    Senator Jeanne Shaheen wa Marekani (New Hampshire, D) ana nia ya kupeleka hoja kwenye bunge la Senate la Marekani akisema kuwa chama tawala cha Tanzania CCM kimehatarisha usalama wa raia wa Tanzania na watalii na kuiba kura, na hivyo baada ya wizi huu wa kura, na mauaji hayo, uhusiano wa...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Kikatiba, Utawala wa Samia mwisho wake ni leo. JWTZ chukueni nchi na wakamateni kina Mafwele na wengine wote

    Kikatiba utawala wa Samia umefikia kikomo leo. Baada ya leo anapaswa kuachia kiti cha Urais maana si Rais tena. Kwa namna alivyoivuruga nchi na kuwavuruga Watanzania ikiwemo kuwaua huku akisigina Katiba tunaomba JWTZ mchukue nchi usiku huu wa leo au hadi kesho Pia tunawaomba muwakamate Mafwele...
  15. JamiiForums Tanzania Madhambi ya Wanasiasa wa Tanzania na Madhara ya Utawala wa Kidikteta

    Tanzania ni taifa lenye historia ndefu ya umoja na amani, lakini pia ni taifa ambalo limekumbwa na changamoto kubwa za kisiasa, hususan katika kipindi cha miaka ya karibuni. Wakati wengi wanajiunga na siasa kwa lengo la kuhudumia jamii na kuleta maendeleo, wapo baadhi ya wanasiasa ambao hutumia...
  16. JamiiForums Tanzania Afrobarometer: Idadi ya wanaotaka utawala wa kijeshi ni kubwa kuliko wanaotaka demokrasia

    Tafiti za Afrobarometer zimeonesha chini ya 50% ya Waafrika Kusini wanapendelea demokrasia kuliko aina nyingine za utawala. Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya miaka 25 ya tafiti nchini Afrika Kusini, idadi ya raia wanaounga mkono utawala wa kijeshi ni kubwa kuliko wale wanaoupinga...
  17. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli watu wameuchukia utawala wa rais Samia kiasi cha kuombea mapinduzi?

    Watu wengi wanaamini kuwa yule ni Kapteni wa JWTZ. Alichokisema kwa ujumla ndio malalamiko ya watu kila siku mitaani. Ufisadi, famiilia za wanaCCM wachache kuiba na kutafuna mali za umma. Je, ni kweli watanzania wanahitaji mapinduzi ya kijeshi?
  18. JamiiForums Tanzania Watawala bora wa kijeshi katika Afrika waliobadilisha mataifa yao kutoka utawala mbovu mpaka utawala bora

    Hawa ni viongozi wa kijeshi Africa waliotwaa madaraka kutoka tawala za kiraia zilizoharibika na kujaa udhalimu kisha kuyaweka mataifa yao katika mkondo sahihi wa mageuzi, haki na utawala bora. 1. Jerry Rawlings- Ghana 2. Olusegun Obasanjo- Nigeria 3. Thomas Sankara- Burkinafaso 4. Meles...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 It's Do or Die. Tuchukue hatua kukomesha utawala huu wa kidhalimu tarehe 29 Oktoba au tupotee mazima na vizazi vyetu

    Uwe askari polisi , uwe daktari, uwe mwalimu, uwe mwanajeshi, uwe hakimu au jaji, uwe mkulima, uwe mfanyakazi, uwe bodaboda uwe Mama ntilie, uwe machinga au uwe jobless usipochukua hatua hiya Oktoba 29 ndo umeweka muhuri kwenye kunyanyaswa kwako na kuibiwa rasilimali zako huku wewe, familia...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Utawala wa kimkakati, kimbinu, na kiuwajibikaji wa CPC wafaa kuwa mfano kwa nchi za Afrika

    Nikiwa nimeishi nchini China kwa miaka mingi sana tangu mwaka 2008, na kushuhudia nchi hii ambayo sasa ni ya pili kwa uchumi mkubwa duniani inavyobadilika hatua kwa hatua, chini ya muongozo wa chama tawala cha Kikomunisti cha China yaani CPC, na kwa ushirikiano mkubwa wa vyama vingine vidogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…