utaratibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huu ni mwaka wa kumwaga oil chafu kwa utaratibu wa CCM

    Kwa mujibu wa Polepole. Ni utaratibu wa CCM. Mimi ni CCM, Rais wangu Mama Samia, miaka kumi imetosha, baada ya Nyerere hakuna aliekaa Ikulu zaidi ya miaka 10
  2. S

    GE2025 Polepole yuko sahihi kuhusu utaratibu CCM kukiukwa; Ilani ya uchaguzi ya CCM iko wapi, na ikiletwa Samia ataisimamia kwa kipindi kimoja tu akiwa rais?

    Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi. Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili...
  3. KERO Responded Afande Sele: Utaratibu wa kutoka Kituo cha SGR - Morogoro haufai, unachelewesha Watu na unachosha abiria

    Huu ni Ujumbe wa Msanii wa Bongo Fleva, Afande Sele kuhusu huduma ya Kituo cha Treni ya Mwendokasi (SGR) Mkoani Morogoro. Afande ameandika "Time is Money. 🔨Muda ni Pesa.. Muda ni Mali.. Muda ni uchumi✊🏽Jamii ambayo haiwezi kuheshimu muda,isahau kupata maendeleo yoyote ya kijamii ukitoa...
  4. Ukiwa haujui utaratibu wa watanzania ndo unaweza kushangaa ambacho kinaendelea sasa hivi katika siasa zetu

    Sisi watanzania huwa tuna utaratibu wetu wa miaka mingi unaitwa "bora tukose wote" Kwahiyo msishangae Sana hii hali kutokea. Faida zake ni chanya na hasi .
  5. Utaratibu wa kumpitisha mgombea uraisi ccm ni batili ni mhimu kurudiwa

    Ikumbukwe kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwaka 2021 alipatikana kwa mjibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania baada ya john pombe magufuli kufariki kwa maana hiyo umma wa watanzania unajuwa wazi katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu ilipaswa ashindanishwe na wenzake...
  6. CHALIE HOTEL ECHO SIERA SIERA

    Wazalendo wa kweli wa taifa hili hawawezikukaa kimya kuona misingi inavunjwa. Ni lazima kazi ifanyike taifa lirudi kwenye misingi. Siasa isivuke mipaka ya uzalendo na walinda iyo mipaka wapo na tunaamini kazi yenu. Taratibu zifuatwe akipita aongoze asipopita apumzike maana taifa ni kubwa kuliko...
  7. A

    KERO Utaratibu wa sasa wa ndugu kuona wagonjwa wao katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro sio mzuri

    Utaratibu ulowekwa sasa wa ndugu kuona wagonjwa Hospitali ya Morogoro sio mzuri kiasi kwanza huleta ugomvi wa mara kwa mara kati ya walinzi na ndugu wa wagonjwa. Pia kutoa mwaya wa upendeleo kwa wale wenye kujuana na walinzi Hao kuweza kuona wagonjwa wao kwa uhuru kuliko wale wasiojuana nao...
  8. E

    Wajuzi saidia hapa Increment inaongezwa kwa utaratibu upi siku hizi!?

    Asiyejua asichafue tfdhl,,Wajuzi tusaidie.
  9. Je utaratibu upoje ili upate passport ikiwa imekupoyea?

    Habari zenu wana jamvi, Kuna mtu wangu wa karibu amepotelewa na passport yake je utaratibu upi afuate ili kupata nyingine Msaada jamani kwa anae fahamu na gharama zake kama zipo. Natanguliza shukrani
  10. D

    Utaratibu wa mabadiliko ya matumizi ya ardhi (Variation)

    Mabadiliko ya matumizi yanatokea pale ambapo mmiliki anapobadilisha masharti ya umiliki tofauti na yale aliyopangiwa awali. Mabadiliko haya ni kwa mujibu wa kifungu cha 35 cha Sheria ya Ardhi Na. 4 ya mwaka 1999. Kwa upande mwingine, mabadiliko ya matumizi yanaweza kutokea pale ambapo kuna...
  11. R

    Polepole: Utaratibu wa CCM ni kuwa, Samia alitakiwa kuishia 2025 na kukabidhi kwa mwingine

    Salaam! Kuna kitu Polepole anekiongea kizito ambacho tumekuwa tukikisema humu mara nyingi. Ameenda mbali na kudai, ikiwa tuna mashaka na akisemacho, tukamuulize Mzee Mangula! 1. Ni hivi, amesema Spika wa bunge, VP,Waziri Mkuu ni marufuku kupitishwa kuwa wagombea urais ,huo ni utaratibu ,miiko...
  12. WanaCCM watakaoenguliwa kwa mizengwe ya huu utaratibu mpya walitarajia kujiunga CHADEMA Bahati mbaya CHADEMA haishiriki uchaguzi na CHAUMMA hawaitaki

    Wengi walitarajia kurudi upande wa pili ili waingie bungeni bahati mbaya mambo sio. Kilichobakia ni wao kuendeleza upinzani ndani ya chama chao Bhagosha!!!
  13. W

    Polepole: Msaliti ni yule anayevunja utaratibu na kujipatia yeye uhalali ubinafsi

    Humphrey Polepole amewajibu wanaomuita kuwa yeye ni msaliti kwa kuhoji kati ya yeye na yule anayevunja desturi na utaratibu ili kujipatia uhalali binafsi.
  14. R

    Kutenda haki kwa Mahakama: Ni kuifumua Mahakama Kuu na mahakaka za chini na kuweka utaratibu usio mhusisha Rais kabisa katika kuwasaili/kuwaajili.

    Kwa kufanya hivyo watakuwa independent kutenda haki! AS long as wanateuliwa na Rais, basi lazima wampendelee incumbent president katika kila kitu. Tunaona wa sasa wanavyofanya katika kesi za Lisu! shida ni hawa majaji wa HIGH COURT.....Universal High Court Judges (UHICOJU).........TAKE NOTE...
  15. Hivi kumbr ule utaratibu wa kanisa katoliki ulikuwa serious!

    Jana nimeshirki misa katika mojawapo ya kanisa katoliki. Nilikaa benchi la nyuma. Mbele yangu alikuwepo mbunge wa zamani wa jimbo ninalolifahamu. Mpaka misa inamalizika hakupewa air time kusalimia kama ilivyokuwa siku za nyuma. Aliondoka kama mimi nilivyoondoka baada ya misa kumalizika! 💪💪
  16. Aliyepinga utaratibu wa Samia kupitishwa kuwa mgombea u-Rais wa CCM mwaka 2025 atangaza kwenda Dodoma 1/7/2025 kuchukua fomu ya kugombea u - Rais

    https://youtu.be/6IzjauB7SKs?si=Wf1SZWRYBy-7f1eJ Ilikuwa awe ameenda siku ya J'nne tarehe 1/7/2025 sijui ni kitu gani kilimsibu hakufanya hivyo... Tunajaribu kufuatilia kujua kitu gani kilimkwamisha japo tetesi zinasema wazee "wasiojulikana" walitanda na kuziba kila njia za kutoka ktk mji wa...
  17. J

    Hii ni kwa wafanyabiashara tu tunaotoaga 10% ili tupate kazi/Tender. Tuijadili hii 10% tuiwekee utaratibu

    Katika upambanaji wa kutafuta kazi tender kutoka makampuni makubwa binafsi au taasisi za Serikali ni kawaida jamaa wanaotoa kazi kuomba 10% ya thamani ya kazi. Mfano kazi ya 10M wataomba 1M na kazi ya 100M wataomba 10M lasivyo hupati kazi. Sasa tatizo linakuja wakati unapofanya kazi!! Kazi ya...
  18. Leo naona wafuasi wa Gwajima walijitahidi kuwabishia polisi wakidhani huo ndio utaratibu wa kubishana na mamlaka na kupata haki yao

  19. Naomba kujua utaratibu wa safari ya treni ya umeme kutoka Dar kwenda Dodoma?

    Wakuu, nataka kwenda Dodoma kwa treni ya umeme. Aliewahi kutumia usafiri huu atujulishe utaratibu tafadhali. Dodoma nitakaa siku moja then nitapita " Singida" Kisha Igunga, ikifuatiwa na Tabora mjini " Chuo cha Uhazili" Then Mwanza jiji Rock City ambako nitakaa kama wiki moja hivi Insha'Allah...
  20. S

    Spika huu utaratibu wa leo mbona wa hovyo? Masaa 2 wabunge wanamsubiri Rais? Hiyo ni aibu!

    Wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano aa Tanzania wameingia ukumbini tangia saa 02.30pm mpk sahizi hakuna kinachoendelea, hii ni aibu. Yaani ikulu imekuwa ya hovyo hivi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…