Najua wengi wetu tupo humu tumepitia changamoto za mahusiano. Nisiwachoshe ipo ivi, kuna Dada nimeanza nae mausiano sasa katika mausiano yetu, nataka kuishi nae mke na mume na huyu Dada ni mzaliwa wa Mwanza yani msukuma, wazazi Wake wapo Mwanza. Na, mimi ninachokitaka nijue utaratibu wa kupeleka...