utaratibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania INAUMA SANA HUU UTARATIBU MBOVU.

    Huu utaratibu wa kuwakata hela yao wapangaji wanaponunuwa umeme unawatesa wapangaji,kwakuwa wananchi wapole na wanalia na machozi yanaishia ndani ndiyo mana hamjali?Juzi nilikuwa wananunuwa umeme wa5000ukagoma,nikaongeza wa 1000 ukagoma.Nikaweka 12000ndipo wakakubali tena umeme wa2000tu ile...
  2. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kubadili eneo la biashara

    Habari ndugu zanguni, naombeni msaaada wa kiufahamu hivi ikiwa unataka kuhamisha biashara yako kutoka mtaa mmoja kwenda mtaa mwingine lakini biashara ni ileile na ni ndani ya wilaya na mkoa huohuo, Je kuna haja ya kwenda TRA na HALMASHAURI kwa ajili ya kubadili location ya biashara au unasubiri...
  3. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kujenga utaratibu wa kupima Afya mara kwa mara

    - Huwezesha kujua hali yako kiafya: Vipimo vya mara kwa mara hupelekea mtu kuwa na taarifa muhimu zitakazomsaidia kufanya maamuzi sahihi kuhakikisha ustawi wa Afya yake - Husaidia kubaini Magonjwa mapema: Utaratibu wa kwenda kupima Afya yako mara kwa mara unaruhusu Madaktari kubaini viashiria...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Urusi kukaza kamba, nchi za Ulaya zimenyoosha mikono na kukubali kununua gesi kwa utaratibu uliowekwa na Putin

    Inaelekea waql;ipogoma mwanzoni walikuwa wanatikisa tu kiberiti. Putin alisema gesi yake italipiwa kwa ruble. Ukilipa kwa dola ni lazima ibadilishwe hapo benki iwe ruble na ndipo upewe gesi. Umoja wa ulaya umetoa taarifa rasmi kuwa isiwe taabu watafuata utaratibu huo. Huyo ndiye PUTIN...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Niliomba nafasi ya uongozi katika Taasisi ya Serikali wakati Rais Magufuli aliposhika madaraka, kuna viongozi walinisihi sana nisirudi nchini

    Niseme wazi. Mimi ni mhanga wa mabadiliko yaliyotokea pale Raisi Magufuli alipoingia madarakani. Nilikuwa nikifanya kazi nje ya nchi kama mtaalamu katika sekta fulani. Nikaambiwa taasisi fulani ya serikali hapa nchini ilihitaji watu kama mimi. Nikaomba nafasi hiyo ili nirudi nchini kutumikia...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie utaratibu mzuri jinsi ya kuwafidia Wakandarasi

    Wakandarasi wengi wa Tanroads na Tarura walipewa kazi kabla bei za vifaa vya ujenzi na mafuta kupanda. Ieleweke kuwa asilimia kubwa ya vifaa vinavyotumika katika ujenzi vimepanda bei kwa asilimia kubwa na bei iliyofikiwa kati ya Wakandarasi kwa sasa ni ya chini sana na kazi wanazofanya kwa sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Rais awe na utaratibu wa kutoa tuzo/medals

    Hello JF Leo nimeona ni jambo jema kwa Rais wetu kutoa/medal kwa watu wanaoenda extra mile kuigusa/hudumia jamii... Criteria ..awe nayo yeye mwenyewe... Nimesukumwa kuandika mada hii baada ya kusoma habari hii ya Mganga wa Kienyeji kujenga madarasa mawili huko Simiyu>>>>>>>> madarasa mawili...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi ilipo sasa: Mwanajeshi anakuwa Traffic Police, Taasisi zinajipangia faini zao bila utaratibu

    Mama tunaomba litizame hili si kil chombo kinaweza ingilia mhimili mwingine na mtu anaapataje mamlaka ya kumkamata raia na kumtesa kisa tu yeye ni Mwanajeshi? Na taasisi kama hii ya Maegesho how come service fee 500 halafu faini 10,000 ? Sasa mambo yanavyokwenda ndio kulee enzi zile "Unajua...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kuweka Records Sawa: Utaratibu alioupendekeza Shabiby ndio uliokuwepo kabla, Haufai

    Wakuu Kwema? Mimi kwa kiasi fulani ni mdau wa mafuta, kwani hapo kabla miaka ya nyuma nilishawahi kufanya kazi katika kampuni ya mafuta Kwa kama miaka kadhaa Hivi Hivi karibuni Mbunge wa Gairo Bw. Ahmed Abdallah Shabiby amependekeza kua ili Bei ya mafuta iweze kushuka basi Serikali iruhusu...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu utaratibu wa kutuma maombi ya ualimu (Nacte)

    Naomba kuuliza hivi Maombi ya Ualimu kwa ngazi ya cheti na Diploma (NACTE) Bado yanaendelea ? Na utaratibu ukoje msaada tafadhali
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kufahamu utaratibu wa kurudia masomo ya kidato cha nne

    Habarini za kazi wapendwa poleni na majukumu ya kila siku Naomba mwenye kufahamu utaratibu wa kurudia masomo ya kidato cha nne aniambie je? iwapo mtu anataka kurudia masomo yote aliyofanya mwanzao inawezekana na atapewa cheti kingine na division mpya tofauti na ya awali au utaratibu ukoje...
  12. JamiiForums Tanzania Mohammed Shabiby: Namna ya kupunguza bei za mafuta kwa 50% ya bei za sasa

    Shabiby atoa mwarobaini kupanda bei mafuta MBUNGE wa Gairo Mohammed Shabib ameitaka Serikali kuruhusu kampuni binafsi kuagiza mafuta wenyewe bila kutumia uagizaji wa pamoja. Shabiby ametoa ushauri huo leo Jumatano tarehe 6 2022 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Ofisi...
  13. JamiiForums Tanzania Mfungo wa Ramadhani ufanywe kuwa utaratibu wa kila Siku wa ulaji. Soma Faida hizi za pendekezo hili.

    Mimi ni mkristo. Nimewahi kushiriki kama wiki nzima kushiriki Mfungo huu. Asubuhi SAA 9-11 tulifuturu Msosi mzito. Wali, nyama,samaki,tambi,uji,juice,matunda mbalimbali, maji ya kunywa, mboga za majani na Kachumbari mzigo. Jioni SAA 12 tulifuturu vitu simple simple tu futari. SABABU KWA NINI...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maswali yote kuhusu wanunuzi wa gesi ya Urusi yamejibiwa hapa na utaratibu wote umefafaniliwa

    Hapa yapo maelezo ya kina kuhusu utaratibu wa Nchi zilizoiwekea vikwazo Urusi kununua gesi kwa Rouble!! Kama Kuna atakayejitolea kutafsiri kwa kiswahili itapendeza Sana Ili watu wote wajue kinachoendelea. Kuna watu wanaongea kishabiki tu hata hawajui utaratibu itakayotumika! 1. What paying for...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kukagua magari kurudi kama zamani

    Mhe. Rais tunakushukuru kwa tamko lako kuwa ukaguzi wa magari utarudi kama zamani. Naomba amri hii ingeanza hata leo. TBS wamekuwa wanatumia nafasi zo vibaya kwa kuwatesa wananchi wanapofuata magari yao Bandarini. Asilimia karibu 98 ya wateja hawajatoka bure bila kuambiwa kuwa gari yako...
  16. JamiiForums Tanzania Fedha za 'speed test' kila siku na michango ya kila Alhamisi inayotozwa Shule ya Msingi Gongolamboto Jeshini ni utaratibu wa kawaida maeneo mengine?

    Wandugu, shule ya msingi Gongolamboto Jeshni inapatikana kwenye halmashauri ya jiji Ilala, kuna kodi au makusanyo yanafanyika pale ambayo natamani kujua ikiwa ni utaratibu wa kawaida au kungineko ipo kama hapo. Kuna kodi au makusanyo ya pesa yanayotokana na kitu inaitwa speed test ambayo ni tsh...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa kupata fremu na gharama zake Mwenge

    Habari za wakati huu Wanajamvi wenzangu. Mimi ni mfanyabiashara, sasa Naamini humu kuna wafanyabiashara, au waheshimiwa wahusika wa maeneo ya mwenge. Ningependa kujua yale majengo mapya, maduka mwenge ,utaratibu gani unatumika kupata fremu pale, na je! Gharama zake zipoje? Ningependa kujua...
  18. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kupata nyaraka za TBS ili kutuma mzigo nje ya nchi upoje?

    Nina vitu nataka nitume kwenda mamtoni kwa ndugu yangu mmoja ila sasa nimeshangazwa na story za yule mtu wa posta kuniambia natakiwa niwe na document za TBS kwa baadhi ya vitu. Kwa mtu mzoefu je, huu utaratibu upogo kweli au ndio mtumishi anataka kula kwa urefu wa kamba yake kupitia mimi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Utaratibu uendeshaji wa Uchaguzi Tanzania wadaiwa kudorora miaka ya karibuni

    Vyama Vikubwa vya Siasa nchini hasa vya upinzani vimekuwa vikilalamikia mchakato mzima wa uchaguzi kwenye nyanja zote, madai yao makubwa ni kuwa chama Tawala (CCM) kimekuwa kikibebwa na kupewa upendeleo wa wazi na mamlaka. Vyama vingine vimekuwa vikinyimwa uhuru na haki sawa ya kuweza kufanya...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Natakiwa kufuata utaratibu upi kuwa na website Tanzania?

    Habarini wakuu, Je natakiwa kufuata taratibu zipi kuwa na website? Kuna vibali vyovyote natakiwa kulipia serikalini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…