utamaduni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania DC Nickson Simon John awataka watumishi Songwe kujenga utamaduni wa kazi unaotoa matokeo

    Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Nickson Simon John, Oktoba 8, 2026 alifanya kikao na Watumishi wa Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe katika Ukumbi wa Sambila, akisisitiza umuhimu wa kujenga utamaduni wa kiutendaji unaozingatia matokeo na mahitaji ya Wananchi. Akizungumza katika kikao...
  2. JamiiForums Tanzania Mkutano wa IPU Arusha wafungua fursa kwa wafanya biashara na wahifadhi wa utamaduni

  3. K

    JamiiForums Tanzania Ilboru Personality. Msije kuwashangaa wana Ilboru kuwa na utamaduni tofauti

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/makala/elimu/ilborians-wanavyoikumbuka-ilboru-personality-na-maisha-ya-kande-5603842 Fredrick Sumay, Mwigulu , Lissu, madaktari wengi , Pascal na wengine ni majembe ya Ilboru.
  4. M

    JamiiForums Tanzania DC Shaka awataka Wanakilosa usafi uwe utamaduni wao kuanzia majumbani, maeneo ya kazi, biashara mpaka maeneo ya Umma

    DC SHAKA AONGOZA ZOEZI LA USAFI STENDI KUU YA MABASI KILOSA ~ Wananchi Wajitokeza kwa Wingi, Wampongeza kwa Uongozi wa Vitendo Macho ya abiria na wafanyabiashara katika Stendi Kuu ya Mabasi Kilosa leo asubuhi yaligeuka ghafla kuona jambo ambalo hawakulitarajia. Sio basi jipya lililowasili...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka ukubalike Arusha, deal na Warangi, Wambulu na Wanyaturu; utamaduni wa jiji una influence yao kubwa sana hadi street life

    Ukifuatilia vizuri culture ya vijana Arusha, kuna makundi fulani yamekuwa na influence kubwa sana. Wale wadudu mnaowaona wengi, wengi wao ni wa huko Babati. Muziki wa Arusha umetawaliwa kwa kiasi kikubwa na Warangi, wanyaturu, wanyiramba, wambulu. Makundi yameanza kuwa kama utamaduni na...
  6. JamiiForums Tanzania Je, tunashuhudia heshima kwa Rais, au utamaduni wa political sycophancy unaojificha nyuma ya mila na desturi?

    Wasalaam Kuna jambo limenifanya nitafakari sana baada ya kuwaona baadhi ya viongozi wakifika kumpa pole Rais Samia kufuatia msiba wa mume wake. Kutoa pole ni jambo la kibinadamu. Hapo hakuna ubishi. Rais naye ni binadamu, ana majonzi, na ni jambo jema viongozi wenzake kwenda kumfariji. Lakini...
  7. JamiiForums Tanzania TUDUMISHE UTAMADUNI, TULINDE AMANI, TUJENGE MARIDHIANO. UMOJA WETU NI NGUVU YA TAIFA LETU.

    Bi. Khadijah binti Nyambasi kutoka mkoa wa Pwani, akielezea namna mchezo wa bao unavyotumika kufanya maridhiano toka enzi za mababu. Katika mazungumzo yake aliyoyafanya kwenye Tamasha la nne la Kitaifa la Utamaduni amesema kuwa Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN alionekana kucheza mchezo bao...
  8. JamiiForums Tanzania Utamaduni Wetu Unavyotufunga Kisiasa

    Katika kuangalia hali ya kisiasa inavyo kwenda sasa, kuna kitu kimoja ambacho wabongo wengi kama hatukioni ila ndo msingi mama wa haya yote na ndo maana hii nchi tumeshikwa kama mburula. Ni kuwa, watanzania(wamatumbi) culture na tabia zetu ambazo ziko ndani yetu zinatufunga. We've no common...
  9. JamiiForums Tanzania Kutunza pesa huwa ina maana gani katika utamaduni wa kibongo?

    Kuna clip nimeona Sheikh Walid anatoa daawa mi sikitini halafu wanainuka watu wanampa pesa kwa kumuwekea kwenye mifuko ya koti, kumshikisha mkononi na nyingine hadi kwenye bargashia! Huu utamaduni wa kutunza/kutunuku pesa bongo huwa una maana gani hasa ? Huwa naona nchi nyingine utunzaji...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kizimkazi Festival 2026: Tamasha Linalogeuza Utamaduni Kuwa Nguvu ya Maendeleo

    * Kizimkazi Festival 2026 imeendelea kuthibitisha kwamba tamasha linaweza kuwa zaidi ya burudani. Ni jukwaa la kuunganisha utamaduni, utalii, uwekezaji, biashara na maendeleo ya wananchi. Likibeba kaulimbiu “Kizimkazi Kumenoga!”, tamasha la mwaka huu limekuja katika wakati muhimu wa kuonyesha...
  11. JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania umejichuja wenyewe na kubaki na viongozi na wanachama waropokaji, watukanaji na waporomosha matusi tu, hoja sio utamaduni wao tena

    Unadhani kwanini baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeaamua kuacha kupambana kutafuta kuungwa mkono na wananchi kwa kutumia itikadi za vyama vyao, sera na agenda za kuvutia wananchi wapiga kura, na badala yake vimeanzisha utamaduni wa kutumia matusi kujitambulisha kwa umma...
  12. JamiiForums Tanzania Ifike mahala Simba na Yanga zitambuliwe kama sehemu ya urithi wa utamaduni wa Taifa

    Kama kuna tukio moja kubwa linalowakutanisha watanzania wengi kwa mara moja, basi tukio hilo ni Derby ya Kariakoo. Hizi klabu mbili zinawaunganisha watanzania nje ya mipaka ya itikadi, dini, kabila, jinsia, rika n.k. My fair assessment is, hizi timu zinamchango mkubwa mno kujenga umoja wa...
  13. JamiiForums Tanzania Good morning chitchat

    Jibu kwa ufahamu ama uzoefu wako tuu.. Hakuna kutumia AI
  14. JamiiForums Tanzania Tuzo za Rais za Walipakodi Bora, Zijenge Utamaduni wa Uaminifu, TRA Watoze Kodi Halali, Wananchi Walipe Kodi Halali, Serikali Itumie Kodi Kihalali

    Wanabodi, Hii ni makala yangu gazeti la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/uchambuzi-wa-mayala-tuzo-za-walipa-kodi-bora-nchini-zijenge-utamaduni-wa-uaminifu-5520694 Paskali
  15. JamiiForums Tanzania Japan waendelea na utamaduni wao wa kusafisha chumba cha kubadilishia nguo baada ya mechi

    Japan kwa mara nyingine wameacha chumba chao cha kubadilishia nguo kikiwa katika hali ya usafi wa hali ya juu baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Uholanzi, Moja ya mila na desturi bora zaidi katika ulimwengu wa soka. Baada ya mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia dhidi ya Uholanzi, kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lijenge utamaduni wa kutolea mrejesho matukio yenye maslahi kwa umma wanayotelea taarifa za awali

    Kwa nyakati tofauti, Jeshi la Polisi limekuwa likijikuta kwenye mtihani wa kuaminika mbele ya umma kutokana na matukio yenye utata ambayo huacha maswali mengi bila majibu ya wazi. Mara nyingi, taarifa za awali hutolewa, lakini baada ya hapo umma hukosa mrejesho kuhusu hatua za uchunguzi au...
  17. JamiiForums Tanzania CCM Ni utamaduni, ukilelewa kwenye vyama vya upinzani hutapaweza!

    Kama kunaeneo methali ya "samaki mkunje angali mbichi" inaishi, basi eneo hilo ni eneo la siasa. Juzi tumemsikia Alli Happy, katibu wa jumuia ya wazazi CCM, kufuatia kurudi kwa Msigwa CHADEMA, akisema kwa jinsi alivyomfahamu Msigwa alijua hawezi kukaa CCM. Jambo hili ni dhahiri sio kwa Msigwa...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Tabia Mitandaoni: Je, Kuonyesha Maumbo Kumekuwa Sehemu ya Utamaduni Mpya Afrika?

    Kwa heshima kabisa, kuna tabia ambayo imekuwa ya kawaida sana siku hizi hasa kwenye mitandao ya kijamii. Wadada wengi wanapojirekodi video mara nyingi hugeuka makusudi kuonyesha maumbo yao hasa makalio, hadi imekuwa kama ni sehemu ya kawaida ya content nyingi za Afrika na hasa Tanzania. Swali...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mama kashindwa🤦🏾‍♂️ sasa anasema hatuna demokrasia tuna “utamaduni”

    Kichekesho cha Mama Samia kusema eti demokrasia yetu sio kama yao inabidi ifuate utamaduni! Swali ni kwamba utamaduni upi? Utekaji, rushwa, demokrasia, wizi wa kura, undugu kazini ndiyo utamaduni wetu? Wakina Rutto wanakucheka wenzako tayari wana katiba nzuri na wanashindana kwa hoja!
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mama Samia bado anafikiri Gen Z ndiyo tatizo! Anasingizia utamaduni ! Je ni utamaduni upi huo?

    Yaani eti Samia ndiye anataka kumshauri Rutto aanze kuwateka Gen Z bila kujua wenyewe ndiyo kizazi kijacho. Wenzetu wana katiba nzuri, bunge na mahakama ambazo sio za machawa. utamaduni gani wa utekaji, wizi wa kura, rushwa na undugu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…