Hakuna biashara duniani inayoweza kugeuza maisha ya mtu kutoka umaskini wa kutupwa hadi kuwa bilionea ndani ya masaa 24 kama biashara haramu ya dawa za kulevya (Ubwabwa/Unga). Lakini nyuma ya mamilioni hayo ya haraka, kuna mfumo wa kikatili, usaliti wa kiwango cha juu, na kamba za kunyongwa...