Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amemkabidhi Mwandishi Bora wa Sekta ya Madini, Dotto Dosca, wa Malunde Blog, Leseni ya Utafiti wa Madini yenye ukubwa wa kilomita za mraba 20 katika hafla ya Tuzo za Samia Kalamu Awards zilizofanyika Mei 05, 2025 jijini Dar es Salaam, ambapo Rais wa...