utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Utafiti: Walioambukizwa Covid-19 mara mbili, hatarini ya kupata magonjwa mengine

    Watu ambao wameambukizwa COVID-19 zaidi ya mara moja, wana uwezekano mara mbili au tatu zaidi, kuwa na matatizo mengi ya kiafya kuliko wale ambao wameambukizwa mara moja tu, ripoti ya utafiti mkubwa wa kwanza juu ya suala hilo ilisema. Maambukizi mengi yameongezeka huku janga hilo likiendelea...
  2. JamiiForums Tanzania Utafiti: Mjamzito kunywa Kahawa kunaweza kusababisha Watoto wafupi

    Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa Oktoba 31, 2022 na taasisi ya JAMA Network Open inaonesha Watoto walioathiriwa na kiasi kidogo cha Kafeini kabla ya kuzaliwa wamebainika kwa wastani kuwa wafupi kuliko watoto wa watu ambao hawakutumia Kafeini wakiwa wajawazito. =======================...
  3. JamiiForums Tanzania Utafiti: Kupe wanachangia 65% ya vifo vya ng’ombe Tanzania

    Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Maabara ya Vetenari Tanzania, Dk Stella Bitanyi amesema asilimia 65 ya vifo vya ng'ombe vinasababishwa na mdudu kupe (ndorobo). Amesema mdudu huyo anayesababisha magonjwa makuu mawili, asilimia 80 kati ya vifo hivyo vinatokana na aina ya ugonjwa wa ndigana kali...
  4. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini Pori la utafiti sukari Tumbi ni dampo?

    Kwenu Halmashauri ya mji wa Kibaha, kituo cha utafiti sukari Tumbi na shule ya sekondari Tumbi, kwanini pori linalohifadhi mazingira linachafuliwa kwa kumwagwa uchafu wa taka ngumu, miti inakatwa ovyo na moto unachomwa ovyo bila kizuizi chochote?
  5. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Kuna ongezeko kubwa la wenye chini ya miaka 50 kuugua Saratani

    Je, ni uchaguzi wa mtindo wa maisha au teknolojia bora ya uchunguzi? Kulingana na utafiti mpya, vijana wengi zaidi duniani kote walio chini ya umri wa miaka 50 wanagunduliwa kila mwaka na Saratani inayoanza mapema. Dk. Suneel Kamath, kutoka Kliniki ya Cleveland alisema, "Hivi ndivyo ninavyoona...
  6. JamiiForums Tanzania Inakuwaje TRA kwenye nne bora ya wenye uadilifu wapo na nne bora ya wala rushwa wamo? Huu utafiti nina mashaka nao

    Angalia picha kisha toa maoni yako.
  7. JamiiForums Tanzania Serikali iangalie walimu wanaosimamia somo la Utafiti (Research) OPEN University, kuna mmoja ipo siku kitamkuta kitu

    Wanaosoma au waliohitimu Open University of Tanzania (OUT) pale makao makuu Kinondoni hasa Mass Communication na wale wa Journalism, wawe makini, kuna mwalimu ambaye jina lake la kwanza na la pili yanaanza na Yusuph M, nasisitiza wawe makini na huyo jamaa. Umri wake bado mdogo lakini ana...
  8. JamiiForums Tanzania UTAFITI: 95% Ya wanaofanyia kazi nje ya ofisi wana "stream" movies na muziki muda wa kazi

    50% kati yao walikubali kutiririsha movies wakati wa saa za kazi, mfanyakazi 1 kati ya 5 alisema anatiririsha maudhui wakati wa muda wa kazi kwa sababu wanahisi kulipwa kidogo. 25% ya wafanyakazi walikiri kuchelewa kufanya kazi ili kumaliza kutazama vitu mtandaoni. Kwa mujibu wa utafiti mpya...
  9. JamiiForums Tanzania Usizae watoto wote na mwanamke mmoja

    Kwa mujibu wa dini zote kuzaa watoto nje ya ndoa ni haramu!! Wenzetu waislamu wamepiga hatua kubwa wanaweza kuzaa watoto na wanawake wengi na wakawa ndani ya ndoa kwa sababu wanaruhusiwa kuoa wanawake zaidi ya mmoja! Sisi wengine ukikosea tu Ukaoa mchawi au mwenye vimelea vya uchawi ndio huyo...
  10. JamiiForums Tanzania REPOA: 88% ya Watanzania hawawezi kuandamana dhidi ya Serikali

    Utafiti wa Taasisi ya Utafiti REPOA unaonesha Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote kutoka vyama vya upinzani. Utafiti huo umeonesha kuwa asilimia 88 ya wananchi waliohojiwa walisema hawapo tayari kuandamana kuishinikiza Serikali kuwapatia...
  11. JamiiForums Tanzania Utafiti Dar: 85% ya Vijana wa Kiume wanaishi kwa kipato cha chini

    Utafiti wa Repoa uliofanyika Kati ya Machi na Aprili 2021 unasema 85% ya Vijana wa Kiume wenye chini ya Miaka 35 wanaishi kwa kipato cha chini ya Tsh. 300,000, huku wa Kipato cha kati wakiwa 13% na uwezo wa kupata Tsh. 300,000 hadi Tsh. 1,300,000 na 2% pekee ndio wenye kipato cha zaidi ya Tsh...
  12. JamiiForums Tanzania Utafiti: Watanzania wana hofu ya kukosa huduma za kijamii wakimchagua kiongozi wa upinzani

    Utafiti wa Taasisi ya Utafiti Repoa unaonesha Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote kutoka vyama vya upinzani. Utafiti huo wa Repoa walioufanya kwa kushirikiana na Taasisi ya Friedrich Ebert Stiftung ya nchini Ujerumani, mwaka 2021...
  13. JamiiForums Tanzania Utafiti wangu

    Wanawake iwe huku au mitaani sema wanaume wahuku wamezidi sana wanaona wanawake ni malaya sana yaani mnatuona huku siso hatuna dira yaani tunategemea tu kutumiwa nakupewa hela nanyie. Sina uwakika kama kila mtu hana kazi sijui aisee yaani kuna mtu kweli anawategemea kwa kila kitu kweli...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Michakato na vikao vya CCM vinapokaa hufuatiliwa kwa karibu na Mamilioni ya Watanzania

    Ndugu zangu huo ndio utafiti unavyoonyesha kuwa kila CCM inapokuwa na vikao vyake vya ndani ngazi ya Taifa hufuatiliwa kwa karibu Sana na Mamilioni ya Watanzania, huku waandishi wa habari wakiongoza kupiga kambi katika viunga kunakofanyika vikao ili kufahamu yanayoendelea na maazimio ya vikao...
  15. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Maambukizi vya VVU kutoka kwa Mama kwenda kwa Mtoto bado ni makubwa Tanzania

    Dawa zinazotumiwa na wajawazito wanaoishi na virusi vya Ukimwi (VVU) kukinga maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto zimeonyesha kujenga usugu kwa kiwango kikubwa kwa mujibu wa utafiti uliofanywa mikoa 19 Tanzania. Matokeo ya utafiti huo uliofanywa katika mikoa 19 umeonyesha dawa hizo...
  16. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa HakiElimu: Zaidi ya 80% ya Vijana walioko Shuleni hawajawahi na hawahamasishwi kushiriki mikutano ya Kampeni na Siasa

    Ripoti ya Utafiti wa Mchango wa Elimu ya Uraia Shule za Sekondari na Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kidemokrasia imezinduliwa rasmi Dar es Salaam, leo Alhamisi Septemba 22, 2022 Kamishna wa Elimu Tanzania Dkt. Lyabwene Mtahabwa akiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule za sekondari...
  17. JamiiForums Tanzania Utafiti: Pombe inaweza kusababisha Saratani

    Wahudumu wa afya nchini Scotland wamepewa mwongozo mpya unaoangazia uhusiano kati ya pombe na saratani. Mwongozo huo uliochapishwa na Scottish Health Action on Alcohol Problems (SHAAP), unabainisha kuwa unywaji pombe ni sababu ya hatari kwa saratani kadhaa. Inapendekeza wataalamu wanaweza...
  18. JamiiForums Tanzania Utafiti tofauti ya kinga wanaoishi mijini na vijiji kufanyika

    Utofauti wa kinga ya mwili kati ya wanaoishi mjini na vijijini umewaibua wataalamu wa afya kuendesha utafiti ili kubaini chanzo cha tofauti hizo na kupima ufanisi wa chanjo katika maeneo hayo. Wataalamu hao ni kutoka Taasisi ya Utafiti (KCRI), hospitali ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) pamoja na...
  19. JamiiForums Tanzania Utafiti: pombe huonyesha tabia halisi ya mtu

    Bukheri ndugu na wanamemba wa jamii forum,..!leo umefanyika utafiti usio rasmi na kugundua kwamba mtu yeyote akinywa pombe akalewa huwa anaonyesha tabia zake halisi yaani zile zilizojificha...mfano kama mtu ni muongeaji sana lakini hujificha kwenye kichaka cha upole....basi mtu huyo akilewa...
  20. JamiiForums Tanzania AFYA: Wizara ya Afya inasemaje kuhusu utafiti huu?

    Kuna tafiti imechapishwa katika tovuti ya https://www.mdpi.com/2079-6382/11/9/1222?type=check_update&version=2 unaohusu upatikanaji wa mabaki ya dawa katika nyama za kuku tunazokula hususani wale wa broiler. Utafiti umefanyika Ilala na Kinondoni mkoani Dar es Salaam. Utafiti huo umebeba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…