Hii ni real kabisa,
Ndugu ni wezi,wanafiki,masintch,
wazembe,wasiopenda mafanikio yako,wadokozi,hawajali chochote kuhusu wewe na fedha zako...nk
Ata ukimtafutia kazi sehemu kuna asilimia kubwa sana za yeye kwenda kuharibu.
Bora uajiri mtu usiemjua kuliko ndugu yako,
Ndugu zetu tunawapenda...