utabiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Fahamu utabiri na utata uliomzunguka TB Joshua

    Licha ya kuwa na wafuasi chungu nzima kutoka mataifa tofauti duniani, pia alikuwa na wakosoaji wengi vilevile kutokana na mafunzo ya kanisa lake. Hii leo tunakuangazia kuhusu utabiri aliotoa na utata uliomzunguka. Maji ya Upako Mwaka 2013 hamu ya maji ya upako {Maji matakatifu} ya TB Joshua...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ana utabiri wa Mungu au ni Mpiga Ramli?

    Huyu bwana anayoyaongea ni kama vile yanatokea kuwa kweli. Aliongea kuhusu Mwendazake na kweli ikawa hivyo ingawa muda aliousema haukuwa ule Kuna recorded audio call kati yake na Ole Sabaya na akamuonya kwamba Mwendazake sio Sir God na kweli ikawa na tayari Sabaya yupo kwenye uchunguzi ambao ni...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Utabiri: UEFA Champions League Final itakuwa Chelsea 0-3 Man City

    Game itapigwa siku ya jumamosi tarehe 29/05/2021 ndani ya dimba la Estadio Do Dragao ndani ya nchi Ureno. Tupia utabiri wako hapa. Utabiri wangu. Chelsea 0 vs Man City 3 Either Players to Score. 1. Riyad Mahrez 2. Reuben Diaz Hapo vipi?
  4. H

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: UEFA ni Chelsea FC vs Man City na EUROPA ni Arsenal vs Man United

    Kama kichwa cha habari kinavyosema mwaka Huu itawakutanisha team za Uingereza fainal kuanzia Uefa mpaka Europa make it in your mind.
  5. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai haya uliyosema kuhusu Wabunge wa CHADEMA waliofukuzwa mbona mwaka 2017 hukuyasema wabunge wa CUF walipotimuliwa?

    Bila aibu wala kuona soni unadiriki kusema kuwa ili uamini kuwa hao akina Mdee na wenzake 18 lazima upewe muhtasari wa kikao kilichowafukuza? Mbaya zaidi unaongea bila aibu kuwa ili wewe upate uthibitisho kuwa hao akina Mdee walifukuzwa unataka uthibitisho kuwa natural justice ilizingatiwa. Hivi...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu kulingana na Uhalisia: Namba mbili au namba tatu mmoja lazima apumzishwe

    Wana JF Nawasalimu wote Nianze kwa kusema mimi sio Mganga wala Nabii ila ninenayo ndiyo ukweli unaotokana na uhalali wa hatimiliki kwa mujibu wa maagano. Hizo namba tajwa hapo juu yaani 2 na 3 zina wenyewe ila bahati mbaya tu kipindi hiki kifupi wenyewe wamezikosa bila kutarajia na...
  7. JamiiForums Tanzania Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    IJUE NYOTA YAKO Nyota ni Elimu ya Sayansi ya kiroho ambayo inatumika Dunia nzima. Kila mtu katika Dunia akitaka asitake, aamini au asiamini atakuwa amezaliwa katika moja wapo ya nyota hizi 12 zimechomoza wakati anazaliwa. Pia elewa ya kwamba ndugu yangu nyota yako moja imegawanyika katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…