uswazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mariam Uswazi ana upekee gani kwenyee vyakula vyake, mbona ni bei sana?

    Ambao mmeshawahi kula kwa Mariam uswazi mtuambie ana upekee gani kwenye vyakula vyake mpaka aviuze kwa bei kubwa sana. Utakuta ana post kachori 6, miguu ya kuku 8 bei elfu 15. Labda amepost chipsi zege na kuku nusu bei elfu 20 . Kachori 8 firigisi 4 kuku robo bei elfu 25. Bei zake haziendani...
  2. Aisee nimekuja kuona wanao enjoy maisha ni watu wa uswazi

    Ni full mavibe tu.. Yaani kuna machimbo ya pisi kali.. Leo, bwana nimepelekwa sehemu hiyo mzee kuna mishangazi, imenona balaa. Nikasema nilikuwa wapi mie, aisee tena unaambiwa ni wewe tu na hela yako.. Ila, truth be told japo uswazi kuna lay people ila wanaishi maisha simple na...
  3. M

    Mali za urithi ni noma. Hadi watoto wa kishua wanakabana.Nilidhani wa Uswazi tu

    Mali za urithi ni balaa 👇
  4. Tanzania ina mpango wowote kwa kueliminate uswazi?

    Hivi kwa wale mnaofuatilia miradi ya serikali Tlaatlaah Lucas Mwashambwa Dr wa Manesi ChoiceVariable Kuna mpango wowote wa kuondoa maeneo ya uswazi Tanzania au ndo tunaendelea kukaa nayo kwa miongo kadhaa. Maana zinachafua sana muonekano wa miji yetu
  5. Inasemekana mfanyabiashara 'Mariam Uswazi' anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati

    Habari zilizonifikia , zinasema mwana mitandao na mfanyabiashara Mariam Uswazi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati (Central), huku wadeni wake wakifika kituoni hapo kufuatilia hatma ya pesa zao. Pia soma: ~ Wanawake wa Tanzania msipoachana na upatu mtaendelea kumlaumu Mariam Uswazi...
  6. Wanawake wa Tanzania msipoachana na upatu mtaendelea kumlaumu Mariam Uswazi kuwadhulumu pesa zenu

    Nyie dada zetu mmelogwa? Ina maana nyie hamna akili za kuweza kutumia au kutunza pesa zenu wenyewe hadi mumkabidhi mwenzenu Mariam awawekee? Inashangaza sana. Kwa msiofahamu ni kuwa kwa sasa mtandaoni kumeibuka wanawake wengi wakiwemo wafanyabiashara wakubwa kama Nipher Cosmetics wanaomlaumu...
  7. Hivi Dodoma kuna uswazi kweli?

    Nimeangalia video nyingi za Dodoma sijawahi kuona mazingira ya uswazi Ukizingatia jiji la Dodoma lina population sawa na jiji la Mbeya lakini Mbeya uswazi upo wa kutosha ukiangalia aerial view. Ni wewe tu, mitaa iko kibao hata tunaweza kuorodhesha Ila Dodoma inanishangaza Wakazi wa Dodoma...
  8. Tungeanza kufanya slums upgrade maeneo ya uswazi Tanzania

    Just my thoughts Kama unaona ukibomoa nyumba za watu uswazi utawarudisha nyuma kimaendeleo, utaleta chaos na chuki kwa baadhi Basi tuya modify maeneo ya slums kuwa mazuri yanayofanana na binadamu kuishi Mfano, kupaka rangi nyumba, kuezua mabati ya kutu na kuweka ya rangi, ku install...
  9. Una lipi la kuongezea kwenye maisha Uswazi?

    Uchambuzi wangu ni huu.. Je kuna nilichosahau? Maisha ya uswazi" ni msemo unaoelezea mtindo wa maisha katika makazi ya watu wa kipato cha chini au maeneo yasiyopangwa vizuri (slums/informal settlements) nchini Tanzania, hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam. Maisha haya yana sifa ya...
  10. Wadada wa uswazi wanaringia tako wadada wa kishua wanaringia digirii

    Uswazi dada zetu wanaringia tako ushuwani wanaringia digirii uamzi ni wako kuchagua yupi
  11. Ushauri wa bure kwa Mariam Uswazi

    Ushauri wa bure kwa mwanadada mpambanaji na kwa kiasi fulani ana pesa za hapa na pale Mariam Uswazi. Mariam kwa alipofikia akubali tu kumuajiri designer wa nguo maana comments za kumponda zimekuwa nyingi mno. Mariamu yupo rough sana , hajui kupangilia nguo yani vululu vululu muda wote...
  12. GE2025 Kuna sehemu (hasa za uswazi) maandamano yakiwepo raia wataibiwa sana

    Raia wakiwa wanapanga namna ya kuandamana , wapi pa kuanzia, Panya road nao bila shaka watakuwa wamejipanga kuiba kwa kigezo cha maandamano. Umakini uwepo.
  13. Mwaka mpya uswazi

    Leo mimi na mke wangu mkubwa,tuliamua kuupokea mwaka 2025 kwenye baa moja hapa mwanza uswazi,kwakuwa hatukuwa na kipato cha kutosha.Tumekunywa bia za Tanzania na kuku wa kienyeji na tumefurahi sana,tukampigia simu mke wangu mdogo ambae yuko nje ya nchi na watoto wetu pia wote tukaongea...
  14. R

    Waha na Wakinga wanapesa ila wanaongoza kuishi maeneo yasiyopimwa (Uswazi); Kabila gani jingine linapenda msongamano?

    Waha wangeamua kuishi kifahari wangeweza ila wengi wanapenda kuficha utajiri wao. Ni mara chache sana kuwakuta Waha wakiishi maeneo ya uzunguni. Hata awe na pesa kiasi gani atakwenda kununua kiwanja eneo lisilopimwa. Yupo tayari ameseme ana viwanja hata kumi ila vyote hakuna chenye sqm 1000...
  15. M

    Fikiria kwa undani wimbo wa old skul ya simba Uswazi Take away remix, bro that man was (and still is the free thinker)

    Kwasababu Chama clatus kasema jielezee baabaa hakuna anaekununulia bando, basi nimewaza jambo hapa. Tukiachana na nyimbo zake zisizokuwa na kichwa wala miguu za shu, za koma sava etc, jamaa alikuwa ni free thinker, chini nimekuwekea lyrics ya uswazi take away remix, hebu jaribu kusoma taratibu...
  16. Msanii Black wa Uswazi

    BLACK WA USWAZI . _____________________ Hatimaye leo tumefanikiwa kumpata mmoja Kati ya wachonga barabara kwenye Tasnia hii ya Muziki wa Bongo Fleva ambao juhudi zao ndio zimefanya Muziki Huu kuwa Hapa ulipo . Kuna changamoto nyingi sana wamepitia wachonga barabara hawa Enzi Hizo ili kuumpa...
  17. Wanangu wa uswazi, wanangu wa singeli, inakuwaje Haji Manara anamzingua mwana, Dulla Makabila, halafu tumekaa kimya? Tumpe za uswazi!

    Haiwezekani Manara amzingue mwana halafu tukae kimya, na sisi tupeleke moto kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa vijembe. Oya, hata dada zetu kurekodi vigodoro kwa simu zetu tukimnanga Haji na Zai tumeshindwa? Oya wazee wa Singeli, hii vita si ni yetu kabisa? Maandagraundi, tunashindwa...
  18. Hivi kuna wa Madem wa kibongo uswazi Age ya 18-35 wanatembea na Programing code.Au hata book readers.

    Habari zenu ndugu zangu..? Hivi bongo kuna Mabint warembo age tajwa wana ujuzi wa CODE Imean Programing.
  19. Goba ni uswazi iliyochangamka ni Manzese ama Tandale ya miaka 30 ijayo

    Wikiendi iliyopita, Jumamosi na Jumapili nilipata wasaa wa kutembea Goba kwa sehemu kubwa kwa sababu nilikua na ndugu yangu ambae katoka huko mkoani anataka kiwanja na kujenga Dar. Ndugu yangu kafika hapa tayari alishachagua eneo analolitaka kua ni Goba, basi tukatafta madalali na kuanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…