usimamizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya bajeti na usimamizi wa fedha za umma kwa kuzinga

    Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya bajeti na usimamizi wa fedha za umma kwa kuzingatia usawa wa kijinsia, hatua inayolenga kuhakikisha rasilimali za Serikali zinatumika kwa ufanisi katika kuchochea maendeleo jumuishi. Mhe...
  2. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe ahaidi TAMISEMI kutekeleza kikamilifu jukumu la usimamizi wa DART

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amemhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuwa Ofisi yake itatekeleza kikamilifu jukumu la kuisimamia Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART)...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vyuo vya kati vya afya havina usimamizi wa kutosha kutoka kwa taasisi husika

    Vyuo vya kati vya afya havina usimamizi wa kutosha kutoka taasisi husika kama NACTVET na mabaraza ya taaluma ikiwemo TNMC, MCT na Pharmacy Council. Miongozo ya elimu inaelekeza kuwa wanafunzi wa ngazi ya diploma wanapaswa kufundishwa na wakufunzi wenye elimu ya kuanzia shahada (Bachelor...
  4. JamiiForums Tanzania Usimamizi wa Rasilimali za Misitu Tanganyika: Nani Anawajibika?

    Katika makala iliyopita, uchunguzi huu uliibua hatari inayolikabili eneo la Tanganyika mkoani Katavi, ukataji wa miti ovyo unaotishia si mazingira pekee, bali pia mapato ya zaidi ya shilingi bilioni 29 yatokanayo na biashara ya kaboni. Lakini nyuma ya miti inayokatwa na mashamba yanayopanuka...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vilio vya Wamiliki wa Vituo vya Afya Binafsi Wilaya ya Tarime Mjini - Mara

    Habari,hongereni Kwan kazi nzuri ya kufichua maovu,Mimi ni mdau wa Vituo afya wilaya tarime Napenda kuziomba mamlaka za juu zifuatilie kwa makini mwenendo wa usimamizi wa vituo binafsi vya afya katika Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara. Katika kipindi cha takribani miaka miwili , zaidi ya vituo 11...
  6. JamiiForums Tanzania Huduma za Ujenzi: Ramani,B.O.Q, Vibari na Ujenzi

    KARIBU KWA HUDUMA BORA ZA UJENZI Huduma zetu ni kama zifuatazo 1.Ramani za nyumba aina zote 2.Kuanda makàdirio ya ujenzi Yani B.O.Q 3.Ufatiliaji wa vibari vya ujenzi na Mabango 4.Ujenzi na usimamizi. 5.Uhuishaji majengo(Renovation) 5.Ushauri wa kitaalamu wa Ujenzi. Karibu tukuhudumie,,huduma...
  7. K

    JamiiForums Tanzania From the Pitch to the Pillars of Power: Evaluating the Mismatch of Media Scrutiny in Tanzania

    This critique originates from the deeply frustrated perspective of an ordinary citizen—a passionate observer who is tired of watching immense intellectual talent and public influence squandered on sports debates while vital national assets are bargained away in silence. Day after day, Tanzanians...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Usimamizi mbovu wa Uwanja wa Ndege wa ABEID AMAN

    Uwanja huu ni uwanja bora sana hauna hata miaka 6 lakini tayari haufanyiwi marekebisho ,napenda wajuzwe huu ni 5 star level airport hatutarajii rangi ya jengo izidi 3 years isibadilishwe ,vyoo vyake vinatumiwa na watu si chini ya 2000 kwa siku tunatarajia kila mwaka chooni sink zibadilishwe mpya...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania yatoa Wito kwa EAC Kuimarisha Ushirikiano katika Ulinzi na Usimamizi wa Maliasili

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa wito kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuimarisha zaidi ushirikiano wa kikanda katika kulinda na kusimamizi endelevu wa mazingira na maliasili, ikisisitiza umuhimu wa jitihada za pamoja katika kukabiliana na changamoto zinazoendelea...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ucheleweshwaji wa Kimaksudi na Ukatishwaji Tamaa wa Wanafunzi wa Postgraduate kutokana na Usimamizi Mbaya wa Tafiti UDOM

    Uongozi wa Chuo Kikuu cha UDOM uongeze umakini mkubwa katika usimamizi wa masomo ya postgraduate. Wanafunzi wengi wa postgraduate wanacheleweshwa kimaksudi na kulazimishwa kulipa pesa nyingi za ziada (extension fees) licha ya kufanya kazi kwa bidii na kujitahidi sana. Mfano halisi: Kuna...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa ‘Utawala na Usimamizi wa Serikali za Mitaa’ hatuoni nafasi zetu za ajira Serikalini

    Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utawala na Usimamizi wa Serikali za Mitaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma. Dukuduku langu ni kwamba kila zinapotangazwa nafasi mbalimbali Serikalini naona wanafuata zaidi wanasema uwe umesomea Utawala (Public Administration), je sisi...
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI John Heche nikiteuliwa kuwa CAG nitashauri sekta zenye hasara kufanya kazi bila usimamizi

    Kumekuwepo na machapisho kadhaa yanayosambazwa kwenye kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii hususani facebook kufuatia kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, alipozungumza na vyombo vya habari. Mojawapo ya machapisho hayo linadai kuwa amesema:
  13. JamiiForums Tanzania Usimamizi wa mtihani wa taifa walimu walipwe perdiem sio vinginevyo. Tuache ujanja ujanja.

    Kumlipa mtu 50k kwa siku ???? Sio sawa.
  14. JamiiForums Tanzania Maoni ya Pendekezo la Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.(Katiba iliyokamilika yote na yenye ujumbe mzito mno) 🇹🇿✅ Tafadhati Usipuuze

    Habari ndugu zangu wa Tanzania. Kwa jina la Hifadhi au Kificho naitwa Mr. X, na napenda kujitambulisha kwa jina hilo huku nikificha taarifa zangu zote za elimu, umri, na anuani ya makazi. Hata hivyo, niweke wazi tu kwamba mimi ni Mtanzania mwenye asili ya Tanganyika. Nina jambo muhimu sana...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Usimamizi mitihani halmashauri ya Kwimba; Kwanini walimu wa shule za msingi ndio wanasimamia mitihani katika ngazi zote (sekondari na msingi)

    Mamlaka za usimamizi wa mtihani zifatilie hili Jambo, Kwimba walimu msingi wanasimamia mtihani ngazi zote, na walimu Sekondari wanachukuliwa wachache tu kama danganya toto. Chunguzeni mamlaka husika kuna siri ipi? Kwanini wanaacha utaratibu wa kubadilishana? Yaani walimu secondari wasimamie...
  16. JamiiForums Tanzania Natoa huduma za uhasibu na usimamizi wa fedha kwa njia ya freelance

    Habari wanajamii, Naitwa Adam Ramadhani Waziri, mtaalamu wa masuala ya Uhasibu na Fedha mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 4 katika sekta mbalimbali. Kwa sasa, nipo tayari kushirikiana na kampuni yoyote (ndani ya Dar es Salaam au mikoani) kama freelancer/part-time accountant, kulingana na mahitaji...
  17. JamiiForums Tanzania Natoa offa bure ya usimamizi wa Mitandao ya kijamii (wiki 2)

    Natoa offa bure ya usimamizi wa Mitandao ya kijamii ndani ya wiki 2 , mitandao ni mitatu Facebook, Instagram na TikTok.... Offa hii nitakutengenezea video(1) ukihitaji ya bidhaa au huduma na poster(1) ya bidhaa au huduma yako na kujibu maswali ya wateja Kwenye ukurasa wako...... Huduma hii ya...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Karibuni kujaribu mfumo wetu wa Usimamizi wa Biashara za Mikopo

    Habari, Nawakaribisha wafanya biashara za utoaji mikopo (Microfinance) kuweza kuujaribu mfumo wetu wa usimamizi wa biashara za mikopo. Login - Peloo Tunamba feedback zenu ikiwa kuna maboresho mtahitaji yafanyike
  19. JamiiForums Tanzania Mamlaka za usimamizi wa usafiri wa abiria kutoka Moshi mjini kwenda wilaya jirani mko wapi abiria wananyanyasika

    Habari za muda huu wakuu?? Jumamosi ya tarehe 5/7/2025 nilisafiri kuelekea mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai mjini wa Bomang'ombe. Nilifika Moshi mjini majira ya saa Moja usiku. Pale stendi ndogo nilikuta magari machache ya abiria yanayoelekea maeneo mbalimbali ya jirani. Gari za kuelekea...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Usimamizi wa 'Mikopo ya Dharura kupitia simu' nchini Tanzania

    Utangulizi Kuwa kwa kasi kwa huduma za kifedha za kidijitali nchini Tanzania kumeleta mapinduzi makubwa katika upatikanaji wa mikopo na huduma za malipo kwa mamilioni ya wananchi. Miongoni mwa ubunifu huu ni kuibuka kwa huduma za mkopo wa dharura kupitia simu za mkononi, zinazojulikana kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…