usiku wa manane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania HOJA DAWASA kuleta maji usiku wa Manane huwa mna maana gani?

    Habari wakuu, Mimi ni Mkazi wa Sinza-Bamaga lakini katika mambo yamekuwa yakitukera sisi wakazi ni suala la DAWASA kuachia maji saa saba usiku au saa nane muda mwingine saa tisa, mara nyingi nimekuwa nikijiuliza hivi hawa DAWASA wanadhani wananchi muda huo tunakuwa Doria? Kwanini wasifungulie...
  2. JamiiForums Tanzania DC Magoti-Kisarawe: Ujumbe wako toka kwa wananchi, polisi wanyanyasa kwa ruksa yako usiku wa manane!

    "Brand ya Wanaume", DC Magoti wa Kisarawe akilalamikiwa vikali baada ya polisi kuvamia nyumba na kuvunja geti. Utaratibu wa ukamataji kwa PGO umezingatiwa? Clip inazunguka mitandaoni.
  3. JamiiForums Tanzania Machimbo ya Kariakoo yapo usiku wa manane tu, mchana hutayaona utadalaliwa tu

    1. Ukitaka chimbo la bidhaa zote acha usingizi, nenda Kariakoo muda kama huu saa 8 za usiku 2. Machimbo ya bei nafuu sio Siri, yapo wazi usiku tu kuanzia saa 7,8,9 ndo utayaona 3. Usije Kariakoo saa 5 asubuhi 😂 eti oooh naulizia chimbo la vifaa vya simu, chimbo la abaya, Chimbo la Raba...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kibaha: Wanaodaiwa kuwa ni Polisi wavamia usiku wa manane na kuwakamata wananchi, watatu hawajulikani walipo

    Wakazi wa eneo la Lupaso, Vikawe wilayani Kibaha mkoani Pwani wameingiwa na hofu baada ya watu wanaodaiwa kujitambulisha kuwa polisi kufanya operesheni ya usiku na kuwakamata baadhi ya wananchi, siku nane tangu kutokee vurugu zilizohusishwa na mgogoro wa ardhi katika eneo hilo. Tukio hilo...
  5. JamiiForums Tanzania Walokole wanao omba na kusali kila wakati hata kati kati ya usiku wa manane maombi yao yana nguvu kubwa hatari sio wa kuwachezea hata kidogo

    Tuendelee kuomba wapendwa kuna namna watu wanakuwa salama kwenye maeneo yetu kwa sababu ya kuomba kwetu. sikiliza ushuhuda huu hapa!! Glory to God. https://www.instagram.com/reel/DXrtusIDdtJ/?igsh=MXV2a3UxanQzeWg5dg== https://youtu.be/NHV7D4-Zi8I?si=Kc-5iOapj5nGHecK
  6. JamiiForums Tanzania Nguvu ya maombi ya usiku wa manane

    cc  D2 C2 B2 A2 🔥 POWERFUL MESSAGE: WHAT HAPPENS WHEN YOU PRAY CONSISTENTLY AT MIDNIGHT 🔥 Beloved, There is something about midnight. It is not just a time on the clock — it is a spiritual gateway. It is the crossing between yesterday and tomorrow. It is the hour when destinies shift quietly...
  7. JamiiForums Tanzania Pishi la usiku wa manane: Nimepata hamu ya kitumbua kilichojaa mafuta

    Usiku huu hapakaliki wala hapalaliki kila nikijaribu kupumzika nashindwa kisa hamu ya kitumbua. Kuna hamu ya kawaida halafu kuna ile ambayo mie inanishika nikikitaka kitumbua. Saa tano hii nimeanza kuvipika 😎😅 Vipi wewe hamu ya kitu gani ikikukaba haitulii mpaka upate kile kitu nafsi...
  8. JamiiForums Tanzania 3. Kifo cha Dira ya JKT: JKT ilitakiwa kuwa sehemu ya kutengeneza uchumi

    Ehee, sikilizeni sasa, enyi wana wa ardhi hii. Mmekaa kimya sana kama mifupa ya kaburini, mkisubiri siku ya kufufuliwa bila hata kujua mlizikwa lini. Ngoja niwaambie siri moja ambayo imefichwa kwa miaka 60: JKT haikuwahi kuwa kambi. Ilikuwa taasisi. Lakini usiku mmoja, bila kelele, bila duru...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Endeleeni kuzika watu kwa makundi makundi usiku wa manane, huo ulikuwa ni mwanzo, mchakato rasmi umeanza leo

    Tuendelee Kuishi !!. Chalamila Chalamila Chalamila, Nimekuita Mara Tatu. Sio lazima uongee ili Uonekane, baadhi ya wakati ruhusu akili na Mungu azungumze Ndani yako. Shauri yako, endelea kupatiliza Uovu kizazi chako, Mungu akikupa Mapigo, usije kumlaumu MTU.
  10. JamiiForums Tanzania Kuota unakula usiku wa manane

    Hizi ndoto zinasumbua sana sana, Huwa naota nakula masive food,iwe stew,nyamachoma,wali ugali.pilau etc Na kunakuwepo chakula kingi sana Na watu wote nawaona tunajuana kabisa hata jana nimeota nakula tilapia choma mkubwa tu. Na best friend. Problem nikiamka,sijiskii kula Chochote ,tumbo limejaa...
  11. JamiiForums Tanzania Ni Usiku wa manane nchi ikiwa kwenye majozi na giza nene kuhusiana na matukio ya kutisha

    Ni Usiku wa manane nchi ikiwa kwenye majozi na giza nene kuhusiana na matukio ya kutisha.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Naomba niwape kisa cha kweli kilichonitokea jana

    Habri gan ndugu zangu? Naomba niwape kisa cha kweli kilichonitokea jana. Usiku wa saa moja nilitoka mizunguko yangu bila mafanikio yaani jana sikuingiza hata mia, nikaingia ndani nikavuta kiti nikajiegesha nikashtuka saa nne basi nikakimbia kujilaza ninapolala usingizi ukakubali maana...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa CCM Aongoza kikao Cha kamati ya Maadili saa 8 Usiku Jijini Dodoma

    Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.
  14. JamiiForums Tanzania Makelele ya ngoma usiku wa manane

    Wakuu habari zenu. Hii ni saa nane kama kasoro dakika 10 usiku, Nimehstuka usingizini,Nimeshtuswa na makelele ya NGOMA .yaani ni kama kakikundi cha watu. wanapita na wanaongea na wanapiga hiyo NGOMA. Hiyo ngoma inakelele sijawahi sikiia.Ni kama wanapiga debe hivi. Baada ya...
  15. JamiiForums Tanzania Nusura nife kwa tatizo la moyo kisa matumizi ya smartphone hadi usiku wa manane!

    Habari ndugu na dada zangu. Kama mnavyojua starehe ya kutumia smartphone Iko amazing hivi. Wiki iliyopita nili zidisha dozi ya kutumia kifaa hiki. Unakuta naperuzi hadi usiku wa saa 9 na dakika kibao kisha nalala .Kuamka saa moja asubuhi.Aisee! Basi wiki hii nineshtukia afya yangu haiko...
  16. JamiiForums Tanzania Kila unachokijua sasa ni uongo,ulidanganywa... Ukweli wenyewe ulifichwa na sasa upo kwenye njozi nzito za usiku wa manane

    MIAKA 500 ZA UDANGANYIFU Miongo Mitano ya Udanganyifu: Mabadiliko ya Ramani na Biblia Kama Silaha ya Wokovu Katika historia ya wanadamu, kuna matukio mengi ambayo yameathiri kwa kiasi kikubwa jinsi tunavyojua dunia na sisi wenyewe. Moja ya matukio hayo ni mabadiliko ya ramani na majina ya...
  17. W

    JamiiForums Tanzania baadhi ya makombora ya masafa marefu ya Iran yametua Israel muda huu, Israel yajiandaa kufanya shambulio zito zaidi usiku wa manane

    Baadhi ya makombora ya masafa marefu kutoka Iran yamefanikiwa kutua Israel huku mengi yakidakwa angani na mitambo ya ulinzi wa anga. Mashambulio haya yamelenga maeneo yenye wakazi wengi, lakini hadi sasa hakuna taarifa za vifo, kwani watu wamekuwa wakitafuta hifadhi kwenye vyumba maalum vya...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi ipo siku Tanzania tutatembea Usiku wa manane bila shida?

    Habari wakuu hivi ipo siku Tanzania na viunga vyake tutatembea usiku wa manane iwe kwa shida au raha bila kukutana na vibaka/tatu mzuka?
  19. JamiiForums Tanzania "Huwa anaamka usiku wa manane anapigiwa sim yenye namba 70 pekee na kuongea kwa kunong'ona akiwa matiti wazi akijifunga kikoi chekundu"

    "Ana tabia ya kuamka na kukaa kwenye Giza totoro Kwenye kitanda kingine,hufungua madirisha usiku was kiza kinene Hadi pale sim inapopigwa kwa namba 70,ndio huamka na kuipokea huku akisimama na kwenda katikati ya mlango wa nyumba kutokea nje akiwa ameufungua mlango huanza kuongea Kwa kunong'ona...
  20. JamiiForums Tanzania Mabasi ya Mikoani na TV usiku wa manane

    Wahudumu wa Mabasi ya mikoani yanayofanya safari usiku hebu jiongezeni tafadhali. Unakuta imeshafika saa 5 au 6 usiku, abiria wamelala lakini wao wataendelea kuacha TV zikiwa ON. Abiria wanashindwa kulala kwa utulivu kutokana na kelele na mwanga wa TV unaoumiza macho. Hivi ni nani akiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…