ushuhuda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tundusami

    Ushuhuda ,wanawake wa kimakonde, kizaramo/kidengereko, wanawake wa kitanga na wanawake wa kihaya wapi ni watamu kitandani?

    Tupe ushuhuda mwanamke gani kati ya hawa ni mtundu kitandani? Maana wamakonde, wazaramo/wandengeleko wanawekwa ndani kabisa kufundishwa namna ya kutiana na makungwi wao ndo maana baadhi ya sehemu serikali wamepiga marufuku kama wanaamasisha umalaya ivi Watanga na wahaya nao sifa zao zinajulikana...
  2. M

    Ushuhuda wangu wa Maisha niliyoishi ya Kikristo na Maisha yangu ndani ya Uisilamu

    Nilizaliwa katika imani ya kikristo katika dhehebu la kikatoliki nilibatizwa nikiwa najitambua baada ya kufanya mafundisho,lakini kila kitu tulikuwa tunakalilishwa na siku ya mtihani alikuja Askofu anakuulizwa swali unamjibu, Nikapata na sakrament ya kitubio na kipaimara yaani naruhusiwa...
  3. M

    PostGE2025 Huzuni kubwa: Mama huko mkoani Kagera aeleza ushuhuda wa mauaji aliyoshuhudia wakati wa maandamano ya Oktoba 29

    Huyu ni mama huko mkoani Kagera, anaeleza kwa huzuni mauaji aliyoshuhudia huko mtaani kwao. Anasema kuwa mtaani kwao pekee alishuhudia watu watano wakiuawa, tena watu wasio na hatia. Je hali ilikuwaje nchi nzima?. Msikilize wewe mwenyewe.
  4. a sinner saved by Christ

    Ushuhuda mpya nguvu ya jina la Yesu

    ushuhuda Miaka ya 1960's ilitokea mkoa wa Mbeya eneo linaloitwa Mwakaleli Alipokuwa anaishi mwinjilist huyu mwanamume kijana wa miaka 22 akiwa pia ni muajiriwa wa serikali kama meneja wa shirika la umma .Akiwa amefunga ndoa ya kanisani na mkewe wa miaka 20 ,maisha yalikuwa mazuri na kila kitu...
  5. a sinner saved by Christ

    Ushuhuda wangu ukutie nguvu katika mapito yako

    USHUHUDA sehemu ya kwanza 01. mapepo roho za nguvu za giza/majini wachawi na mawakala wa kuzimu wapo kazini masaa 24 siku zote wakiwinda roho za wanadamu,ili kuweza kupata uhalali wq kumuingia mwanadamu ni mpaka mwanadamu mwenyewe afungue mlango kuruhusu kuvamiwa na roho hizi chafu/mapepo...
  6. Seth saint

    Ushuhuda wa kweli na habari njema kwa taifa la Tanzania

    Habari ndugu na jamaa! Pole na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku. Sio mwandishi mzuri, lakini leo nataka nikupe kisa cha kweli kuhusu taifa lako. Mwaka 2016, nikiwa mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDOM (sitaeleza mengi kuokoa muda na usomaji pia). Nilipata habari ambayo binafsi, mwanzo...
  7. Dogoli kinyamkela

    Tupe ushuhuda kuhusu hii kamati ya nidhamu

    Tupe ushuhuda kuusu hii kamati ya nidhamu
  8. M

    Umri unavyoenda marafiki hupungua sana, Wanaobaki ni ndugu na familia, ushuhuda ni wajomba zangu waliokuwa hawapatani ila ukubwani wamekuwa karibu

    Miaka ya utotoni na ujanani imejaa options kibao za marafiki lakini ukubwani marafiki wanazidi kupungua au kupotea kabisa. option ambayo huwa inabaki kwa wengi ni ndugu na familia zao. wajomba zangu walikuwa na kabeef flani ka muda mrefu sana tangu wakiwa wadogo hadi ujanani lakini ukubwani...
  9. J

    Imani, Ushahidi na Ushuhuda wa Kuaminika

    Imani, Ushahidi na Ushuhuda wa Kuaminika Biblia hushuhudia kwamba imani ya Wakristo ina msingi katika ukweli, kufikiri, ujuzi, na uthibitisho (Warumi 1:20; Zaburi 19:1-4; Yohana 5:31-47; Matendo 1:3; 26:25). Baadhi ya watu wanashangaa kwa nini Yesu aliwakemea mitume kwa kutilia shaka ufufuo...
  10. The Dictator

    Wakatoliki na mafundisho: Simulizi mbalimbali za maisha ya watakatifu

    Mtakatifu MARIA GORETTI Maria Goretti alizaliwa tarehe 16 Oktoba 1890 katika kijiji kidogo huko Corinaldo, Italia. Familia yake ilikuwa maskini sana, lakini ilijulikana kwa imani na mshikamano wa kifamilia. Maria alikuwa mtoto wa pili kati ya watoto sita. Baba yake, Luigi, alifariki akiwa...
  11. M

    Nimenunua powerbank feki , msianguke nilipojikwaa

    Nimeamua kuweka uzi huu kwasababu hata TBS wanaopaswa kutulinda wamebaki kuwa watazamaji, kuna bidhaa feki nyingi sana mtaani Kuna bidhaa za kampuni ya ORAIMAB ikiwemo powebank niliyonunua, kaeni nazo mbali. Sehemu nilipo kumeanza mgao wa umeme, Siku ya jana (Jumanne) nikaingia Facebook...
  12. Li ngunda ngali

    Tupo Kanisani usiku wa maombi, mhudumu wa guest ameomba atoe ushuhuda wazee wa Kanisa wamekataa

    Imenishangaza mno! Dada wa watu ambaye ni mhudumu wa Guest jirani na Kanisa amemwomba Mchungaji atoe ushuhuda ajabu wazee wa Kanisa wamekataa kata-kata!
  13. S

    Alietumia dawa za Wachina za kuziba ufa waa kioo cha gari na kuondoa mikwaruzo akafanikiwa tunaomba ushuhuda wako

    Hivi karibuni kumekuwa na kila aina ya products za Wachina zikitangazwa mitandaoni na kusifiwa sana. Kuna baadhi ya products hizi ni fake na uongo mkubwa hadi unashangaa kwa nini serikali inaruhusu utapeli wa namna hii kwa wananchi wake! Mojawapo ya products nimeiona kwenye mitandao ni hizi za...
  14. Tech Max

    Ushuhuda wa mbinguni na kuzimu alionyeshwa na YESU KRISTO

    Ushuhuda wa mbinguni na kuzimu alionyeshwa na YESU KRISTO. Tazama YouTube https://youtu.be/YoPpgm0bsP0?feature=shared
  15. chiembe

    Ulikuwa hujui kwa nini mchungaji wako ana bonge la leso, muda wote anajifuta futa madhabahuni? Ni leso za kishirikina, sikiliza ushuhuda huu!

    Mchungaji huyu anasema lesso hizo huwa zimetengenezwa kishirikina ili kuwachezea waumini akili, ili wajae kwenye mfumo wa kuwa misukule kama wale jamaa wa ubungo maji.
  16. youngkato

    Ushuhuda: Ugonjwa wa Monkey poxy upo kuweni makini

    Naandika hii thread nikiwa nimejiweka karantini, ukiona vipele havieleweki sehemu yoyote ya mwili hasa sehemu za siri nenda haraka hospitali. Vipele vinakuwa kama vina shimo katikati, pembeni ni vyeupe, havitoi maji wala usaha ila vinasambaa kwa speed kali sana na vinakua hararaka sana...
  17. bibliatimes

    Ushuhuda ukusaidie

    USHUHUDA HUU UKUFUNDISHE KITU 👇♨️♨️♨️♨️👇👇 [5/15, 11:59 AM] wione FX: Ngoja sasa nishuhudie mafunuo yangu juu ya semina ya hii ya tano. Maana jana niliskiliza sikumaliza...sasa asubuhi hii nikairudia 😭😭😭😭 Mungu anasema , Mungu anasema n Mungu ni mwaminifu hakika Mungu mwacheni abaki kuwa...
  18. SankaraBoukaka

    If I Were Not Who I Am Today! — Kama Nisingelikuwa Niliye Leo!

    Kama nisingekuwa niliye leo, huenda nisingeweza kuandika maneno haya kwa uhuru, kwa undani na kwa kujiamini. Huenda ningekuwa mtu wa kukata tamaa kwa urahisi, ningeishi maisha ya kuigiza, nikijaribu kufurahisha kila mtu isipokuwa nafsi yangu. Lakini niweza kukua, kujifunza, kuanguka, na kusimama...
  19. At Calvary

    Ushuhuda kuhusu unlimited za Vodacom hasa ambazo hazijawekwa wazi

    Habari wana Technology, Nipo Dar, nilipenda kupata huduma ya unlimited kwa Vodacom. Kabla ningependa kujua kwa wanaotumia, wana maoni gani kuhusu huduma hii. Na pia kulingana na ufuatiliaji nimeweza kuona kuna vifurushi mpaka vya 50000 unapata GB 30, ila naambiwa ni unlimited. Ningependa...
  20. kiss ov love

    Nahisi nilikuwa naanza kuchanganyikiwa

    Habari za wakati huu ndugu zangu poleni na mfungo wa Ramadhani ndugu zangu waislamu na wakristo poleni na mfungo wa Kwaresma. Kama kawaida yetu hapa jukwaani ni kushea mawili matatu uliyonayo kama kuna ushauri upatiwe au kujufunza watu wajifunze. Sasa ndugu zangu mimi kipindi nipo single...
Back
Top Bottom