Wiki hii nilitaka kutokufanya lolote, nikasema nijikumbushe enzi za nyuma kidogo, Kipindi cha ujana ambacho niliweza kukaa ndani nikatazama movies siku nzima.
Basi nikatoka nje ya mji niliopo, nikakodisha hoteli nikapewa movies niangalie wiki nzima.
Japo sikuwa na nguvu ya kutazama movies...