ushindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Mshtuko mkuu ndani ya CCM. Ushindi wa Lissu na Heche ni chanzo. Je, Mungu anaifuta CCM?

    Duru za ndani ya CCM zinanyetisha kuwa hali ya mtafaruku na mfadhaiko mkubwa imeikumba CCM kutokana na pigo takatifu la ushindi wa Tundu Lissu na John Heche katika uchaguzi wa CHADEMA taifa. Vikao vya wakubwa vimekuwa haviishi, na kupelekea kuleta hofu inayoweza kuzua mpasuko mkubwa wa ndani ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwenye tafrija fupi ya kusherehekea ushindi wa Lissu na Heche.

    Tumeandaa tafrija fupi ya kuwapongeza waheshimiwa Tundu Lissu na John Heche kwa ushindi wao katika uchaguzi Mkuu wa CHADEMA uliofanyika jana/leo. Lakini pia katika tafrija hiyo tutampongeza Freeman Mbowe kwa kukiongoza chama kwa muda wote huo. Tafrija itafanyika kesho tarehe 23.01.2025 kuanzia...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeumizwa na ushindi wa Tundu lissu

    Kiukweli nimeumizwa na ushindi wa TUNDU LISSU hapa mjini Dar eSalaam tutaishi vp?je pombe na nyama tutapata wapi? Je pesa za kutanua kitambaa cheusi tutapata wapi? Madili yangu yalikuwa yanategemea connection za mwenyekiti aliyepita aisee wajumbe mliwaza sisi familia zitaishi VP? 🥺🥺 Leo siku...
  4. JamiiForums Tanzania Press ya lema umeuufifisha ushindi wa mh mbowe

    Ni dhahiri shairi kama siyo press ya kwanza ya lema basi Leo hii mbowe angeibuka mshindi kwa kura zaid ya Mia sita mpk Mia tano Imaging Jamaa pmj na kupigwa spana zote hzo ila bado amepata kura 482 kwa asilimia 48 dhid ya 521 ya mh lisu Maan yake ni kwamba ktk utawala wa lisu kuna watu Mia 482...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia mpongeze Lissu kwa ushindi, itakusaidia kisiasa

    Heshima yako mh Rais, pole na majukumu ya kitaifa, Samahani kwa kukuambia haya. Siasa sio vita, rais Samia ingekusaidia sana ukimpongeza lisu kwa kushinda. Kama uliweza kuenda kumwona ubeligiji wakati amepigwa risasi ingawa jpm alipiga top,wewe ulienda ulionesha ubinadamu mkubwa sana...
  6. JamiiForums Tanzania Tupia screenshots na clips za ushindi wa Lissu na Heche hapa

    Uzi wa kutupia clips na screeshots zinazohusu ishindi wa Lisu tarehe 22/01/2025 Kupitia hapa, pongezi hizi ni muhimu kwa kumbukumbu tutakapompongeza tena hapo Oktoba 2025
  7. B

    JamiiForums Tanzania Niko Nachinja Mbuzi wa Sherehe, wewe umejiandaaaje Ushindi wa Lissu?

    NImeamka saa kumi kasoro 20 muda huu usiku. Nikawasha Data naona bando limeisha. Nikajiunga bando. Nikaaingia mtandaoni nikaona Web browsee zinagoma kufunguka. Nikawasha VPN ikagoma. Nikasema moyoni mbona kama yale ya 2020 ndio kama haya? Nikazima simu, nikawasha bado shida iko pale pale...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ombi la kuwekwa kwenye kikosi Cha kutafuta ushindi wa Dkt. Samia, mgombea Urais kwa tiketi ya CCM

    Kwa kuwa sasa CCM imeazimia kwa kauli moja kupitia mkutano wake Mkuu maalamu kuwa mgombea wake awe ni Dkt.Samia licha ya kwamba ilikuwa inajulikana muda mrefu atakuwa yeye lakini kwa azimio la Leo ni yeye rasmi na hakuna mjadala zaidi ya hapo. Ni muda mrefu nimeomba awe ni yeye na kwa kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Pamoja na hasara kubwa waliyoipata Hamas lakini Israel imeukosa ushindi

    Siku ya leo Jumapili Januari 19 vita vya Gaza vinaingia hatua muhimu ambapo kutakuwa na usitishwaji wa vita kwa muda na ambao unaelekea kuwa wa kudumu baada vita vya zaidi ya mwaka mmoja. Vita hivyo ni kati ya taifa kubwa kijeshi la Israel na washirika wake ambao ni mataifa makubwa dunia dhidi...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga Bingwa : Nabashiri ushindi kwa Yanga leo Yanga itashinda 3:1 Mc Alger

    Tukutane hapa hapa baada ya dakika 90+5
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo apokea kombe la ushindi kutoka kwa timu ya wizara ya mambo ya nje-nje sports club

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Balozi Mahamoud Thabit Kombo, tarehe 14 Januari 2025, amepokea kombe la ushindi kutoka kwa timu ya Wizara yake, Nje Sports Club, baada ya timu hiyo kushinda katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2025 yaliyofanyika Mkoa wa Unguja Kusini...
  12. JamiiForums Tanzania Mbona kila nikiangalia 'Clip' ya Manara akishangilia Ushindi wa Yanga SC Kwake jana nao Furaha yake ni ya Kujilazimisha tu?

    "Mwanangu Haji Manara na Mdogo wake wa mwisho wa Kike ndiyo wana Simba SC kindakindaki tokea wakiwa Wadogo ndani ya Familia yangu wakiwa wamemfuata Bibi yao Mzaa Baba ambaye alikuwa ni mwana Simba SC hakuna mfano" amesema Mzazi wa Haji Manara Mzee Manara alipohojiwa na EFM Radio mwaka 2022...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya Kwanza Afrika kwa Utalii, Ushindi wa Uongozi wa Rais Samia

    Tanzania imetangazwa kuwa nchi bora zaidi ya kutembelea barani Afrika kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti ya U.S. News, ushindi huu mkubwa unaonesha wazi matunda ya uongozi mahiri wa Rais Samia Suluhu Hassan. Tangu aingie madarakani, Rais Samia amekuwa mstari wa mbele katika kuimarisha sekta ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata Elimu juu ya Fursa ya uwekezaji kupitia kampuni ya utalii mkoani Arusha

    Habari Ndugu zangu Wana jF naomba kupata Elimu juu ya Fursa ya uwekezaji kupitia kampuni ya utalii mkoani Arusha 1.Usajili wa kampuni ya utalii 2.Vigezo ili uweze kusajili kampuni iyo 3.Masoko ya watalii na wapi pa kuyapata 4.Pia wafanya wa muhimu ambao unapaswa kuwa nao Pia lugha ambazo...
  15. JamiiForums Tanzania Simba kwa mara ya kwanza anapata ushindi kaskazini mwa Afrika

    Ni mechi ambayo ilihitaji wachezaji wanaokimbia sana kiwanjani , kulikuwa na matumizi ya mipira mingi mirefu , power play kwenye nyakati nyingi : Simba walianza na plan nzuri sana dhidi ya Sfaxien . 1 : Walihakikisha wanawafanya Cs Sfaxien hawanufaiki na mipira ya juu yote ya juu (wanacheza...
  16. JamiiForums Tanzania Kuaminika kwa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa Watanzania na kukubalika kwa CCM kwa Wananchi ni ushindi wa kishindo kwa Taifa letu moja

    Ukifuatilia kwa umakini na ukaribu zaidi, uelekeo wa siasa za Tanzania, utagundua kwamba, Dr.Samia Suluhu Hassan, anakwenda kurekodi na kuandika historia mpya ya kuaminika zaidi kama Rais wa Tanzania, Lakini pia kukubalika zaidi kwa wanainchi kama mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, na...
  17. JamiiForums Tanzania Dakika 13 za kwanza za mwaka mpya kwa ajili ya Maombi ya ushindi kwa Tundu Lissu

    Mungu aifanye roho ya Freeman Mbowe kuwa yenye kuridhika - Mungu anapomuinua Tundu Lissu aifanye njia yake ya uongozi kuzingatia:- * Kutozidisha miaka 10 katika uongozi huo; * Kuamini kuwa mbali yake wapo wafuasi wengi wenye uwezo wa kuongoza taasisi hiyo; * Afahamu kuwa taasisi hiyo siyo ya...
  18. JamiiForums Tanzania Nakutamkia ushindi zidi ya roho za kichawi,kimizimu,kijini na kishetani zilizovaa umbo la kenge, nyoka , Simba,chui, mamba, ng'ombe pokea ushindi wako

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU Tukiwa tunahesabu masaa kuingia mwaka mpya acha kuchoka na kusinzia wala usimpe shetani nafasi tena , usimpe shetani namna nyingine tena katika roho yako hata afikie hatuna ayatawale maisha yako kwa kukunyanyasa Kataa kunyanyaswa na shetani kwani unamuweza...
  19. JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Yanga ikiibuka na ushindi mnono dhidi ya Fountain Gate

    1. Yanga imecheza vizuri mno, hii ni salamu tosha kuelekea mechi yao na Tp mazembe. 2. Nadhani fountain gate ndio timu yenye safu mbovu kabisa ya ulinzi, wamechagua kupishana na Yanga wakaadhibiwa. 3. Pacome zouzou amestahili tuzo ya mchezaji bora wa mchezo, ule uwezo wake uliopotea mechi...
  20. JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi dhidi ya Singida Big Stars

    1. Leo tumeshuhudia mechi nyingine tafu kwa Simba, ukubwa wa Simba umeamua mechi. 2. Singida waliingiia na maneno ya nje ya uwanja kuwa marefa wako upande wa Simba, hii iliwatoa mchezoni mapema. 3. Huenda Jean Charles Ahoua ameanza kuizoea ligi, anacheza kikubwa mno ( nilikua nikiuponda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…