ushindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, kazeni buti zenu, you are almost there. Adui yuko hoi, ushindi uko wazi mno!

    Mungu wa Israeli amesikia kilio cha Watanzania cha miaka mingi. Mungu wa Israel ameona mateso ya watu wake na sasa ameshuka mwenyewe kuja kutukomboa. Mungu kampiga upofu wa fikra na ufahamu adui. Nguvu na manlaka yao siyo kitu tena. Havina msaada kwao. Haviwezi kuwaokoa na anguko kuu la...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM wanahitaji ushindi wa 85%, lakini mbinu wanayofikiria kuitumia ni kupitia mawakala, wakifanikiwa hilo watajipa ushindi wa 92%

    CCM wamekuwa wakijinasibu kwamba watashinda kwa kishindo,lakini mbinu pekee wanayofikiria kuitumia ni hii ya mawakala. Zipo namna mbili za kutumia, mosi ni kuwatimua mawakala wote na vituoni wabaki mawakala wa ccm tu kwa kila kituo, hii mbinu ikifanikiwa matokeo yake hayatakuwa tofauti na yale...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Mitambo ya ushindi ya Dkt. Bashiru Alli yalipuka huko Tunduma

    Kabla ya kuanza kampeni za uchaguzi Tanzania, Comrade Bashiru Ali a.k.a Mchuuzi wa ndizi aliwaonya wapinzani wao kwamba tayari alikuwa katika harakati za kisayansi ya siasa za kusimika MITAMBO ya ushindi wa kishindo. Inaonekana wapinzani wa ccm hawakumuelewa, sasa kwa kilichotokea Tunduma...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Ni mpambano wa mwenye roho ya ushindi vs roho ya kushindwa

    Historia ni mwalimu mzuri sana. History is good predictor of the future. Kuna mgombea historia yake ni ya kushindwa tuu. Ushindi wake mara nyingi ni wa kufosi na kutumia nguvu nyingi. Huyu mgombea pia anaonekana kuogopa sana umauti kwani kila anapoenda ana ulinzi mkali ambao haujawahi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania CCM fahamuni ushindi wa Lissu mnaweza kufananisha na reli ya standard gauge

    Kama bado hamjaelewa basi mfano hai ndio huo Lisu anashinda na ameshapita vibaya sana,pangeni mkipangua ,yaani kubalini tu ,msitake kufanya mizengwe,huu wakati sio,kuna maisha baada ya uchaguzi,japo hamna hamu nayo,lakini yanini yote,sisi sote wamoja hakuna mlete sababu ya kulinda kisicho...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Pongezi nyingi kwa kamati ya ushindi Chadema, hakika nyie ni wataalam wa siasa

    Napenda kuipongeza kamati ya ushindi Chadema kwa mkakati mzuri wa kuifanya Chadema kushinda uchaguzi huu, Mambo haya mmeyafanya kisayansi zaidi na kuibomoa kabisa ccm kiasi Cha kukosa Cha kuzungumza mbele ya watu, badala yake unaona mgombea wa ccm anasimama anasema, " Chadema wametumwa na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Napenda CHADEMA na ACT waibiwe kura na wasitangazwe ushindi, CCM watangazwe ushindi

    Uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi ulianza mwaka 1995. Hivyo hadi leo tuna miaka 25 ya uzoefu uchaguzi. Mwaka 1995 tulisema Mrema kaibiwa kura. Mwaka 2005 Freeman Mbowe aliyegomea urais alikuwepo hata wakati Kikwete anatangazwa kuwa mshindi. Mwaka 2010 tukasema Dr. Slaa kaibiwa kura. Mwaka 2015...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Nini mkakati wa CHADEMA na ACT-Wazalendo kulinda ushindi katika vituo vya kupigia kura?

    CCM wako "so desperate" kuhakikisha kuwa mgombea Urais wao John Pombe Magufuli anatetea kiti chake. CCM wanatambua fika kuwa, kupitia sanduku la kura (Ballot Box), Magufuli hawezi kushinda iwe mvua ama jua. Wanataka ashinde kwa "njia zingine haramu" ambazo Mimi na wewe msomaji tunazijua na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa BBC, makubaliano na Barrick ni ushindi kwa Tanzania, Rais Magufuli yupo mstari sahihi!

    Na David KAFULILA. Septemba21,2020. Awali sikutaka kuandika chochote kufuatia makubaliano yenye faida za pande mbili kati ya Serikali yetu chini ya Mhe.Rais. Dr John Pombe Magufuli na Kampuni ya Madini ya Barrick. Hata hivyo, baada ya kusikiliza mahojiano ya BBC kuhusu tathimini ya...
  11. JamiiForums Tanzania Makundi ya kijamii yanayompa Ushindi Rais Magufuli 2020

    Siasa ni Sayansi na uwekezaji kwa jamii. Rais Magufuli na Chama Chake cha CCM wanaijua vyema Siasa na kwa uhakika waliweka mazingira tofautitofauti ya kuhakikisha makundi yote ya kijamii yanaiunga CCM. Nitaanisha Makundi kadhaa ambayo CCM imeweza kuyapoka kutoka upinzani na Makundi...
  12. JamiiForums Tanzania Kama wana CHADEMA 'wanaozunguka' kuomba 'Kura' za Halima Mdee 'Kawe' wana 'Udhaifu' huu, basi 'namtabiria' Askofu Gwajima Ushindi asubuhi tu!

    Jana nilibahatika Kukutana na wana CHADEMA baadhi ambao nadhani ( nahisi ) walipewa 'Jukumu' la Kupitapita Kawe hasa katika 'Nyumba' za Watu na Kumuombea 'Kura' Mgombea Ubunge CHADEMA Halima Mdee. Sina tatizo na 'Mbinu' yao hii ila GENTAMYCINE nina tatizo Kubwa sana na 'Competence' ya hawa wana...
  13. JamiiForums Tanzania Aibu: Cosmas Cheka apigwa na Mmalawi lakini cha ajabu atangazwa kashinda

    Hakika sijawahi kuona upendeleo kama huu kwenye mchezo huu wa ndondi popote, nimeangalia hili pambano nimeona aibu sana kwa matokeo ya uongo kama haya. Kwa haya yanayofanyika, nchi hii haitoendelea kwenye michezo.
  14. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: Kuna mgombea mmoja amekimbia yupo nje ya nchi, ameona maji yamemfika shingoni. CCM tunafanya kampeni za kisayansi

    Kampeni za CCM 2020 tunazifanya kisayansi, tumegawanya viongozi waandamizi wa chama kwenye maeneo tofauti. Msafara mkuu unaongozwa na Dkt. Magufuli, msafara mwingine wa Mhe. Samia Suluhu, na mwingine unaongozwa na Kassim Majaliwa, sisi hatutumii chopa." - Humphrey Polepole. Mzee Jakaya Kikwete...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…