ushetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Ajira Mpya Halmashauri ya Ushetu hatujapata pesa za kujikimu, tukiuliza wahusika wanakuwa wakali

    Sisi ajira mpya Ushetu Mkoani Shinyanga tuliajiriwa Mwaka jana (2025) mwezi wa 2 lakini hadi leo hii hatujapata pesa yoyote ya kujikimu wala hatujathibitishwa kazini! Tukienda halmashauri wanakuwa wakali, hakuna majibu ya kueleweka! Swala la hela ya kujikimu kila halmashauri inatakiwa tulipwe...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Cherehani Aishukuru Serikali Utekelezaji wa Miradi Ushetu

    MBUNGE CHEREHANI AISHUKURU SERIKALI UTEKELEZAJI WA MIRADI USHETU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwakutoa kiasi cha Sh bilioni 196 iliziweze kusaidia miradi ya kimkakati iliyokuwa imeshindika kukamilika. Cherehani amesema hayo Aprili 10,2025...
  3. Nipe Maji

    PreGE2025 Mbunge Ushetu: Wazazi na walezi wekezeni kwenye elimu ya watoto ili kuandaa watumishi wa baadaye watakaolisaidia taifa

    Wazazi na walezi katika Halmashauri ya Ushetu Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwekeza kwenye elimu ya watoto wao ili kuandaa Watumishi bora wa baadaye watakaoisaidia jamii na taifa kwa ujumla. Rai hiyo imetolewa leo Machi 21, 2025 na Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel...
  4. Just Pray

    PreGE2025 Milioni 192.8 zatumika kutatua kero ya maji Ushetu

    Zaidi ya Wakazi 2000 wa Kata ya Nyankende Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameondokana na tatizo la kutumia Maji ya kwenye visima na Mabwawa baada ya Serikali kujenga Mradi wa Maji Safi na Salama wenye gharama ya Shilingi Milioni 192.8. Baadhi ya Wanufaika wa Mradi huo akiwemo Veronica...
  5. Just Pray

    Ushetu yatenga bilioni 1.3 kwa ajili ya vikundi vya ujasiriamali

    Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu mkoani Shinyanga, imetenga fedha kiasi cha Sh.bilioni 1.3 kwa ajili ya kuwapatia wajasiriamali mikopo isiyokuwa na riba ili kukuza mitaji yao na kuondokana na mikopo umiza inayosababisha kuzikimbia familia zao. Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Hadija Kabojela...
  6. Just Pray

    PreGE2025 Wananchi kutoka Vijiji 112 kutoka Ushetu, Shinyanga wanatarajia kuanza kunufaika na Mradi wa Maji kutoka Ziwa Viktoria, mabomba lukuki yashushwa

    Wananchi kutoka Vijiji 112 katika Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga wanatarajia kuanza kunufaika na Mradi wa Maji kutoka Ziwa Viktoria ambao kwa sasa utekelezaji wake unaendelea kwa Awamu ya kwanza. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ushetu Gagi Lala wakati akizungumza...
  7. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Akabidhi Wakandarasi Ujenzi Madaraja Manne - Ushetu, Bilioni 18 Kutumika

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametambulisha na kuwakabidhi Wakandarasi Wazawa kutoka Kampuni ya Salum Motors na Jonta Investment kwa Wananchi watakaoanza ujenzi wa madaraja makubwa manne ya Ubagwe, Kasenga, Ng’hwande na Mwabomba yaliyoathiriwa na mvua za El Nino katika Halmashauri ya...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Cherehani: Walimu Tushikamane Kutokomeza Zero Ushetu

    MBUNGE CHEREHANI: WALIMU TUSHIKAMANE KUTOKOMEZA ZERO USHETU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani amewataka walimu wa Shule za Sekondari katika Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga kuongeza jitihada ufaulu kwa Wanafunzi wote ili kutokomeza alama sifuri. Rai hiyo ameitoa jana...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mkakati Waanza Vijiji Ushetu Kuunganishiwa Maji

    MKAKATI WAANZA VIJIJI USHETU KUUNGANISHIWA MAJI Naibu Waziri wa Maji Mhe. Kundo Mathew amesema Wilaya zote zilizopo katika Mkoa Shinyanga tiyari zimekwisha kupatiwa maji kutoka ziwa Viktoria isipokuwa Wilaya ya Ushetu ambapo jitihada zimekwisha kuanza ili vijijini vilivyopo katika eneo hilo...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Dkt. Christina Mnzava atembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama

    Mbunge Dkt. Christina Mnzava Atembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Dkt. Christina Mnzava ametembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama-Shinyanga na kukagua utekelezaji wa Ilani katika Kituo cha Afya Ushetu. Vilevile, Mhe. Dkt. Christina...
  11. Stephano Mgendanyi

    Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Ushetu, Mkoa wa Shinyanga

    Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Ushetu, Mkoa wa Shinyanga Mbunge wa jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani ameiomba serikali kukamilisha haraka ujenzi wa Kituo cha Polisi Ushetu ambacho kwa nguvu za wananchi kipo hatua ya msingi. Ametoa Ombi hilo wakati akichangia hoja baada ya jibu la Naibu...
  12. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Cherehani akutana na Walimu Shule za Msingi Ushetu

    Mbunge Cherehani Akutana na Walimu Shule za Msingi Ushetu Walimu wa shule za Msingi katika Halmashauri ya Ushetu Mkoani Shinyanga wametakiwa kuongeza ubunifu na jitihada katika ufundishaji ili kuongeza hali ya ufaulu wa wanafunzi kutoka daraja C hadi kufikia daraja A. Wito huo umetolewa na...
  13. Stephano Mgendanyi

    USHETU: Kamati ya Siasa Yaridhishwa na Kasi ya Maendeleo Ushetu

    USHETU: Kamati ya Siasa Yaridhishwa na Kasi ya Maendeleo Ushetu Wananchi katika Halmashauri ya Ushetu Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wahaswa kuendelea kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt .Samia Suluhu Hassan pamoja na Chama cha Mapiduzi CCM katika kuleta maendeleo ya...
  14. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Cherehani: Kata 11 Jimbo la Ushetu Kunufaika na Mradi wa Maji wa Ziwa Victoria

    MBUNGE CHEREHANI - KATA 11 JIMBO LA USHETU KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA ZIWA VICTORIA Mbunge wa jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa Fedha nyingi kwaajili ya kukamilisha miradi mbalimbali ya maendeleo...
  15. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Emmanuel Cherehani: Wananchi Jitokezeni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    📍Ushetu - WANANCHI JITOKEZE UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA-MBUNGE CHEREHANI Wananchi wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2024. Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga Mhe Emmanuel Cherehani ameyasema hayo tarehe...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Cherehani: Maji ya Ziwa Victoria Kufika katika Halmashauri ya Ushetu

    Mbunge Cherehani: Maji ya Ziwa Victoria Kufika katika Halmashauri ya Ushetu. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kuanza kwa utekelezaji wa kufikisha mradi wa maji wa ziwa Victoria katika halmashauri ya Ushetu. Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameyasema...
  17. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 1.8 za Mradi wa BOOST Zakamilisha Ujenzi wa Shule 2 Mpya na Madarasa 25 Halmashauri ya Ushetu.

    Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga, Mhe. Dkt. Emmanuel Cherehani amesema kuwa jumla ya Shilingi Bilioni 1.8 za mradi wa BOOST zimetumika kukamilisha ujenzi madarasa 25 na Shule mpya 2 ikiwa ni Shule ya Msingi Shilabela Iliyopo Kata ya Ulewe Ushetu na Shule ya Msingi Kona Nne iliyopo...
  18. Stephano Mgendanyi

    TANESCO Kujenga Kituo cha Umeme Ushetu - Kutumia Shilingi Bilioni 12

    Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) lina mpango wa kujenga kituo kidogo cha umeme (Switching Station) kwenye Wilaya ya Ushetu eneo la Nyamirangano ili kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme wilayani humo. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri...
  19. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Ushetu Emmanuel Cherehani aipongeza Serikali kufuta Hifadhi ya Taifa ya Kigosi

    Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani ameipongeza serikali kufuatia juhudi za kutatua changamoto za migogoro ya ardhi baada ya kufutwa kwa Hifadhi ya Taifa ya Kigosi ambayo ilizuia kufanyika kwa shughuli za kibinadamu ikiwemo ufugaji na kuwakosesha wananchi wa maeneo jirani kufanya...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Ushetu Aibana Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Bungeni

    MHE. EMMANUEL CHEREHANI - MASWALI NA MAJIBU BUNGENI KUPITIA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ambalo limejibiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi na...
Back
Top Bottom