ushetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bilioni 1.8 za Mradi wa BOOST Zakamilisha Ujenzi wa Shule 2 Mpya na Madarasa 25 Halmashauri ya Ushetu.

    Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga, Mhe. Dkt. Emmanuel Cherehani amesema kuwa jumla ya Shilingi Bilioni 1.8 za mradi wa BOOST zimetumika kukamilisha ujenzi madarasa 25 na Shule mpya 2 ikiwa ni Shule ya Msingi Shilabela Iliyopo Kata ya Ulewe Ushetu na Shule ya Msingi Kona Nne iliyopo...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania TANESCO Kujenga Kituo cha Umeme Ushetu - Kutumia Shilingi Bilioni 12

    Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) lina mpango wa kujenga kituo kidogo cha umeme (Switching Station) kwenye Wilaya ya Ushetu eneo la Nyamirangano ili kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme wilayani humo. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ushetu Emmanuel Cherehani aipongeza Serikali kufuta Hifadhi ya Taifa ya Kigosi

    Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani ameipongeza serikali kufuatia juhudi za kutatua changamoto za migogoro ya ardhi baada ya kufutwa kwa Hifadhi ya Taifa ya Kigosi ambayo ilizuia kufanyika kwa shughuli za kibinadamu ikiwemo ufugaji na kuwakosesha wananchi wa maeneo jirani kufanya...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ushetu Aibana Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Bungeni

    MHE. EMMANUEL CHEREHANI - MASWALI NA MAJIBU BUNGENI KUPITIA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ambalo limejibiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi na...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: DED Iramba ashikiliwa Ushetu Shinyanga kwa ubadhirifu wa Milioni Tsh. 180 alipokuwa DED

    Habari kutoka huku Mkoani Shinyanga, halmashauri ya Ushetu, ni kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya ya Iramba- Singida, anashikiliwa na Polisi. Mkurugenzi Mtendaji huyo Michael Matomola anashikiliwa kwa ubadhirifu wa Milioni 180, fedha za halmashauri ya Ushetu iliyopo hapa Shinyanga. Amri ya...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mdogo Ushetu. Waliopiga kura 106,000+. Ambao hawakupiga kura ni wangapi?

    Lipo tatizo la tume ya uchaguzi kuacha kuendesha uchaguzi na kubaki na taarifa za copy and paste kwa kiwango Cha data wanachoamua wao. Huko Ushetu CCM na ACT pekee wamepigiwa kura zaidi ya laki moja na elfu sita. Kwa tuliokuwa tunafuatilia kampeni na baadaye siku ya kupiga kura lazima tujiulize...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania CCM yaibwaga ACT Wazalendo Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani (CCM) aibuka kidedea

    Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357 Mpinzani wake, Mgombea wa ACT Wazalendo, Mabula Nkwabi Julius amepata kura 3,588 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana Oktoba 9, 2021
  8. M

    JamiiForums Tanzania Katambi avunja ngome ya Upinzani Ushetu amwombea kura mgombea wa CCM Comred Emmanuel Peter Cherehani

    Katambi avunja gome ya Upinzani Ushetu " Tunahamia CCM hatuwezi kubaki kwenye chama kinachosusia kila Uchaguzi " Je Nani ni Nani leo kati ya ACT-Wazalendo na CCM-Tanzania "Tutampa Rais Samia ushindi mnono kama shukrani yetu kwake -wapigakura " Katika Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Hayati Elias...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwamoto huu wa CCM Ushetu CHADEMA mlikuwa sawa kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui "

    Kwamoto huu wa CCM Jimbo la Ushetu-Kahama Chadema mlikuwa sahihi kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui " "Hakuna kama Samia " Sitaki kuongeza neno,hebu fungua mwenyewe hiyo video ili uone mafuriko ya maelfu ya watu huko Ushetu ikiwa...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kampeni Ushetu; Baadhi ya nukuu za Katibu wa NEC itikadi na uenezi CCM, Shaka Hamdu Shaka

    NUKUU: BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA-KAMPENI USHETU. "Wananchi ninazo taarifa juu ya vitendo viovu vya kupambikiziwa kesi za kukamatwa na bangi vijana na wanawake vinavyofanywa na baadhi ya askari wetu wasio waaminifu wanaotaka kulitoa doa jeshi letu...
  11. Singo Batan

    JamiiForums Tanzania NEC yawafanyia semina wasimamizi wa chaguzi ndogo zinazotarajiwa kufanyika nchini

    Wasimamizi wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Konde wametakiwa kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia sheria, kanuni na maelekezo ya Tume na hivyo kuepuka kufanya kazi kwa mazoea. Akifungua mafunzo kwa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi huo leo tarehe 08 Septemba, 2021, Kisiwani Pemba...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania James Lembeli kurudi Bungeni kwa kishindo kupitia Jimbo la Ushetu

    James Lembeli achukuwa fomu kuomba kuteuliwa na @ccm_tanzania kugombea Ubunge Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga kufuatia jimbo hilo kuwa wazi baada ya kufariki aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo marehemu Kwandikwa https://t.co/AYKdweCptq
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo Majimbo ya Konde na Ushetu kufanyika Oktoba 9, 2021

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema Uchaguzi Mdogo katika Majimbo ya Konde (Mkoa wa Kaskazini Pemba) na Ushetu (Shinyanga) utafanyika Oktoba 09, 2021 Wagombea watachukua fomu kuanzia 13-19 Septemba, uteuzi utafanyika Septemba 19 na Kampeni zitaanza 20 Septemba hadi 08 Oktoba Jimbo la Konde...
Back
Top Bottom