ushetani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    Hivi kuna ushetani gani unapelekea wasanii kubadilika mfano Nickelodeon

    Kuwe ni Bongo movie, Hollywood, Disney, Pddy music na n.k Hakuna sehemu itawaacha salama wengi labda wakubali masharti ambayo wamudu kuendelea na umaarufu. Kuna television inaitwa Nickelodeon na ndio channel ya watoto wanayopenda sana ambayo iliibua vipaji vya waigizaji watoto wengi. Ila...
  2. Tajiri Tanzanite

    PostGE2025 Hii kauli ya kuwaita watanzania walioandamana ni wahuni na vibaka inatafsiri ukatili na ushetani wa viongozi dhidi ya wananchi

    Hapo vip! Viongozi wa kiafrika wengi huwa wanajiona ni watu special sana na wanauwalali wa kuishi kuliko mwananchi yeyote,hii tabia inatafsiri jamii ambayo bado haijastarabika na ambayo bado haijajikamilishi kuishi kama mwanadamu halisi. Kuna mzungu aliona yale mauwaji ya tarehe 29 Oktoba...
  3. H

    Watawala wa Tanzania, viongozi wa CCM na WanaCCM, Wanaimba Amani na Umoja, Lakini Mioyo na Matendo Yao Yanadhihirisha Walivyojaa Ushetani na Uharamia

    Kwa hakika, na kwa jina la Mungu wa Ibrahim, aishiye milele, hakuna chama kilichojaa watu wanafiki, watu ambao ni watumishi waaminifu wa shetani, katika Ulimwengu mzima, kuizidi CCM. Ukiwasikia viongozi wa CCM na Serikali yao, kila mahali wanajinadi kuwa wao ni wahubiri wa amani, wao ni walinzi...
  4. S

    Uwoga ni ushetani uliopitiliza

    Twendeni tukashambulia page za mitandao ya kijamii ya media kubwa duniani tukiandika #tag yetu free TAL na great campaign ya No reforms no election dunia nzima ijue hapa cambodia tupo inside the dark Aljazeera wameshaanza kuwasha moto
  5. Allen Kilewella

    CCM wanazima akili zote wanawasha kejeli na matusi

    CCM walikuja na kauli mbiu yao "Zima zote washa kijani" wakimaabisha wafute ushawishi Wa vyama vyote wabakie wao CCM. Lakini Kwa Sasa tangu CHADEMA ianze harakati zake za "No reforms No Election" CCM imechachawa na kuzima akili zao zote na kuwasha ushetani. Hivi inawezekanaje mtu mzima na...
  6. blogger

    Huu ni Ushetani. BASATA mko wapi!?

  7. enzo1988

    Hii ni ibada ambayo hufanyika kwenye party za P Diddy

    Muda mfupi uliopita zimesambaa picha na video kuhusu yaliyokuwa yanafanyika huko kwenye party za P Diddy! Yaani kuna ibada na sala zilizokuwa zinafanyika, mazingira ya hizo ibada ndiyo utata! Siyo mbaya coz kwenye utajiri wowote kuna siri nzito! Yeye mwenyewe wanasema wanataka kumuuwa! Ni kina...
  8. Komeo Lachuma

    TBT: Video Sheikh Saleh Zagar: Kunadi Swala asubuhi ni unafiki anasema Mtume na Maswahaba wake hawakufanya hivi

    Anasema Mtume na Maswahaba wake hawakufanya hivi. Hawakuwa wakibweka asubuhi kujifanya wao ndo wanaswali sana kuliko wengine. Pata habari kamili. Video inaonyesha ilikuwa ya mwaka 2001 wakati Sheikh Saleh Zagar akiendelea kuzungumza na baadhi ya waumini moja ya Msikiti.
  9. X

    Kufuatia ushetani ulioonyeshwa kwenye ufunguzi wa michezo ya Olympic nchini Ufaransa kampuni ya kwanza yajitoa

    C-spire kampuni ya mawasiliano ya Marekani imejitoa kuadvertise michezo ya Olympic inayofanywa huko Ufaransa. Sababu wameitaja kwenye akaunti yao ya X kuwa ni kebehi iliyoonyeshwa na mashoga kuhusu "last supper" wakati wa ufunguzi wa michezo hiyo jijini Paris. Kufuatia tukio hilo kwa aibu...
  10. ELI COHEN

    ISIS walijifanya kubomoa sanamu za kale kwamba ni ushetani ila kumbe walikuwa wakiziuza ili ku-fund ugaidi wao

    Baada ya isis kuvamia maeneo ya Iraq na Syria ambapo ndipo ilikuwa ngome ya ufalme wa Babylon walikutana na sanamu na vivutio vingi vilivyosalia vya kale. Wallijifanya kutengeneza propaganda videos wakiharibu sanamu na vivutio vya kale wakisema ni ushetani na shirki. Ila nyuma ya pazia jamaa...
  11. LIKUD

    Kwa jinsi baadhi ya watu walivyo kuwa slow hapa jukwaani, laiti kama ningefanya nao " kazi" enzi zangu za ushetani basi wengi wao wangekufa

    Miaka ya elfu 2 mwanzoni nilikuwaga jambazi. Section yangu ilikuwa udereva. Jukumu langu lilikuwa kuwaendesha " ma afande wangu " baada ya tukio. Kanuni yangu ilikuwa tukienda "kiwanja" ( eneo la tukio) kukiwasha, tukio likisha fanyika basi ndani ya dakika 2 baada ya tukio inatakiwa kila...
  12. Mhaya

    Fungua jicho la tatu

    Wakati mwingine nasema sijui niwafumbue watu macho, muone kile watu wengi wanavyoviona ama niache. Nikiandika kidogo, watu wanakuja na kusema bro! Mwisho utakufuru...bro! Haya mambo ni makubwa sana... Na kadhalika. Nisikilize! Hii dunia ina siri kubwa sana. Ina siri kubwa ambazo ukizisikia...
Back
Top Bottom