ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania yanga wasije sema barua ya kumkataa manara mashabiki hatukutuma wala kutoa ushauri. barua hii hapa

    as young Africans fans we did our work. the management shouldn't come forward we did advice them or sent letter of concern. if chaos happens. it's Hersi and management fault.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu ushauri wa bure, ukitaka kwenda morogoro tafadhali panda treni SGR usipande bus. Epuka usumbufu

    Wadau hamjamboni nyote? Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza. Mchana mwema
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa 'Wanawatumbua' Wenzao hapa duniani

    Basi jitahidini mkijua kuwa fulani mnaenda kuwala Vichwa ( Kuwatumbua ) muwe mnawaambia kabla ili wawe wanajiandaa Kisaikolojia pamoja na Familia zao halafu na hata wasiwe wanapoteza muda Wao kwenda Kuwajibika kwa Siku hiyo kwani kuna Watu mmewaumbua vibaya sana hivi karibuni kwa Kuwatumbua huku...
  4. JamiiForums Tanzania Kama unapojenga kuna chemi chemi basi pita hapa chukua ushauri usifanye kosa kabisa usije ukapata hasara

    Leo napenda kuwasiliana na wewe mchakalikaji popote Tz na nje ya nchi .Kama unajengaKujenga nyumba katika eneo lenye chemchemi ya maji au eneo lenye asili ya maji kunahitaji tahadhari maalum kutokana na hatari za kimaumbile na za kimuundo. Hapa kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia: 1...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nifanyeje nirudie mwili wangu wa awali? Nimenenepa

    Mimi nataka kupungua nirudie upotable wangu sasa nitafanyaje niwe kadogo tena, sina mtoto mie kanene tu.
  6. JamiiForums Tanzania Mshahara wa Dhambi; Nimepata ndoa lakini mtoto wangu akageuka mlemavu!

    Huyu kaka ni jirani yangu, wakati namaliza chuo ndiyo walihamia hapa karibu na kwetu wakiwa na nyumba kubwa kuliko sisi. Mwanzo mke wake alikuwa ni rafiki yangu na katika kuongea niligundua kuwa kumbe wana miaka 7 kwenye ndoa yao lakini hawana mtoto. Nikimuangalia kaka ana kazi nzuri TRA na...
  7. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu mahuiano na mwanamk aliyenizidi umri

    Shalom shalom. Mwanamke aliyenizidi umri ananitaka mana nilikuwa nikimsalimia shikamoo anakwepa, ni limwalim wa secondary kanizidi kama miaka 15 hivi. muda wote anataka kuchat usipochat ananuna. Ushauri wenu wanazengo
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wasabato

    Nimehudhuria ibada za Wasabato mara kadhaa. Mara zote nimeona msisitizo mkuu wa mahubiri yao ni kuhusu siku ya Sabato. Lakini pia niliona kuwa mahubiri yao kwa sehemu kubwa yanatoka kwenye vitabu vya Agano la Kale. Hakuna ubaya kwa mahubiri kutoka kwenye Agano la Kale, lakini endapo hawasomi...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaume wenzangu

    Tunatakiwa kutambua kuwa viumbe KE hata wafanyiwe kitu gani hawaridhiki. Jambo la kufanya ni ku-focus na maisha yako, jipende, kula bata, jali watoto wako (kama unao). Wanaume tunakufa mapema kutokana na stress za wake zetu, kelele nyingi, kuchapiwa n.k Ili tuishi maisha marefu tu-focus na...
  10. JamiiForums Tanzania Jamani asanteni kwa ushauri 🙏🙏

    Huku mmenishauri nitumie dish la DSTV, kwakweli mwana kafurahia sana nasi tumefurahia . Inavipindi vya kidhungu dhungu, unajiona wewe ni wewe tu kati ya majirani wenye azam na startimes. Startimes ni kama simu za techno au itel , na azam kama infinix , na vitu visivyo na mvuto . ILa dstv ni...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wanajamiiforums mnaotukana na kudhalilisha wenzenu bila sababu kisa Footbal

    Every body is entitled to freedom of expression, this is a constitutional rights.Ipo kwenye Bill of Rights. Kutoa maoni ni haki ambayo nobody huwezi kuichukua, ndio maana Rais anavumilia watu wakimkosoa na wengine wakimkejeli. Mtu anapotoa mawazo yake sio lazima ww uyakubali au uyapende...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kati ya Toyota landcruiser yenye engine ya 1HZ au 1GD-FTV

    Ushauri kati ya Toyota landcruiser yenye engine ya 1HZ au 1GD-FTV Habari wana JF Naombeni ushauri wenu je kati ya Toyota landcruiser yenye engine ya 1. 1HZ-manual cc 4,164 CC au 2. 1GD-FTV automatic 2755 CC ni ipi bora kwa maana ya 1. matumizi ya barabara ambazo sio za lami kwa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kuwekeza kwenye saluni ya kunyoa

    Wakuu kwema Kijana niko na 350k , kuna jamaa yangu kaniambia anauza saluni yake kwa hio bei. Vinyozi wanampa 4k per day, na kodi wanalipa wao, nataka kuinunua . Naombeni ushauri pia kama mna idea nyingine. Asanteni.
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mh Nape Nnauye, Waziri wa Habari na Mawasiliano kuhusiana na Starlink

    Mh Nape Nnauye Waziri wa Habari na Mawasiliano vijana wengi tunakupenda sana kwasababu wewe ni msikivu sana. Kuna haja ya kuwakaribisha Starlink Tanzania kwasababu zifuatazo 1: Starlink wanatoa huduma nzuri lakini ni ghali sana kulinganisha na makampuni yetu ya simu hapa Tanzania kwahiyo wao...
  15. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bingwa wa Masuala ya Umma alitoa Ushauri wa Kukuza Uandishi wenye Tija nchini Tanzania kwa kutumia Akili Mnemba

    UTANGULIZI Mnamo tarehe 30 Juni 2024, Bingwa wa Masuala ya Umma alitoa ushauri muhimu kuhusu njia za kuongeza matumizi ya Akili Mnemba katika kuchochea uandishi wenye tija kwa maslahi ya umma katika miaka 5-25 ijayo na kujenga 'Tanzania Tuitakayo'. Mtaalamu alisisitiza kuwa kwa kufuata mikakati...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kununua laptops hizi.

  17. JamiiForums Tanzania Ushauri: Walimu wote waanze na mishahara sawa, mwalimu wa science kuanza na mshahara mkubwa ni dharau kwa walimu wengine

    Leo tena nimekuja kulalamika, Hivi mwaka 2019 serikali iliona nini? Ilijisikiaje au kwakuwa head alikuwa mwalimu wa science akaona awabebe wenzake? Najua lengo ni kuwatia motisha walimu wa science, Sawa. Lakini je ili iweje? Kwa faida ipi? Shule ni zile zile, Wanafunzi wale wale, Tena wakifika...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu tablets zenye keyboard na mouse.

    Je, ni ipi Ni imara na inafaa kwa kazi ndogondogo za Ofisi, kama typing na internet? Ikiwezekana na bei zikoje? Asante.
  19. JamiiForums Tanzania Naomba mnipe ushauri wa sehemu gani nzuri na affordable ya kuweza kupata eneo zuri la kujenga makazi kwa ajili ya kuishi

    Ndugu zangu hongereni kwa majukumu ya kujenga uchumi wenu kwa manufaa ya familia zenu bora. Mimi naomba mnipe USHAURI wa sehemu gani nzuri na affordable ya kweza kupata eneo zuri la kujenga makazi kwa ajili ya kuishi mimi na familia yangu ambayo Mungu atanibariki hapo baadae. KUSUDIO: Ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…