ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni mijadala ya kurejeshwa kwa Covid 19, Msigwa au Slaa. Hao sio wenzenu, ni wasaliti, hawahitajiki popote, wanasaka fursa tu.

    Nimekuwa nikishangaa mnoo mara kwa mara kusikia mijadala ya kujadili namna ya kuwarejesha au kuwakataa wabunge wa Covid 19, Mchungaji Msigwa na Dr. Slaa. Hizi hoja zilishika kasi kipindi cha uchaguzi wa mwenyekiti ndani Chadema na zinaendelezwa hadi sasa huku upande wa wapambe wa Mbowe ukipiga...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kisheria hapa.

    Kuna sehemu nilipata kazi private sector sasa yapata mwezi mmoja umepita,mkataba nilisaini sehemu yangu ile ya employee ila employer hakua amesaini,nikamkabidhi HR wa kampuni na taratibu nyingine za kuwa on borded zikafuatwa.sasa mpaka Leo hr hajanipa copy ya mkataba wangu ambayo imesainiwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wahitimu wa kidato cha 4 (O-Level)

    Huu ni ushauri kwa mliomaliza kidato cha 4 (O-Level) mwaka huu na mnafikiria kujiunga na chuo japokuwa mna ufaulu mzuri wa kujiunga A-Level. Kama ni mzazi una mtoto aliyemaliza masomo hayo na ana wazo hili unaweza kumpatia ushauri huu. Natoa ushauri huu from experience na niliyoyaona baada ya...
  4. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaopata ufaulu wa Division One Point 7, kama hawakukariri wapelekwe University moja kwa moja

    Nchi hii ina miujiza mingi sana Nimeona shule moja ina watoto almost wote wamepata Division One Point 7 Mtoto anayepata distinction, straight 7 As, au kwa lugha nyingine mtoto ambaye ni A material, hapaswi kuachwa kwenye darasa ambalo analiweza. Anapaswa apelekwe kwenye darasa ambalo litampa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Iundwe ofisi ya mshauri Mkuu wa Taifa ambaye atawajibika kwa Baraza la Mawaziri.

    Kwako Rais wa JMT, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutujalia kufika muda na wakati tukiwa tu wazima wa afya na kuendelea kulijalia Taifa letu amani, umoja na mshikamano. Pia, nakupongeza kwa kuteuliwa kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kuuza mali zangu polepole nifurahie maisha urithi kwa watoto ni elimu niliyowasomesha mnasemaje?

    Sina mali nyingi ila nashukuru Nina nyumba kadha wa kadha, viwanja , mashamba na mifugo kijijini kwetu. Watoto wangu wanasoma na watamaliza bila shaka. Nimetafakari haya maisha hayana garantii naweza kufa saa yeyote je kwanini nisianze kula mali zangu taratibu kabla sijafa? Naombeni ushauri.
  7. JamiiForums Tanzania Tahadhari na ushauri

    Ndugu zangu nawashauri kuwa makini sana na kupenda kwenda hospitali kwanza kama unashida ya kiafya ambayo unahisi ukianzia duka la dawa hutopata matibabu sahihi. Hiyo picha ni picha ya majibu ya kipimo cha sphymomanometer kinachutumika kupima presha ya damu. Hapo kwenye picha chini ni majibu ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri: Niende Serikalini au nibaki private sector

    Wakuu habari, niliomba kazi taasisi flani ya umma (utumishi) sikupata nafasi jina langu likahifadhiwa kwenye database juzi kati kuna mkeka wa kuitwa kazini umetoka na jina langu likiwemo kwenye kazi za halmashauri. Ila kwa sasa kuna taasisi binafsi nafanya kazi ambayo nalipwa vizuri sana...
  9. JamiiForums Tanzania Wajasiriamali wenzangu naomba ushauri kwenye hili

    Hapa dukani kwetu tuna binti mmoja ambaye mwaka jana alipata ujauzito. Ulipofika muda wa kujifungua tulimpa likizo ya miezi 3 ambapo pia tuliendelea kumlipa. Mwezi huu wa kwanza tarehe 1 alirudi tena kazini ila akiwa na mtoto wake. Binafsi nilidhani baada ya miezi 3 angeweza kurudi na kuchapa...
  10. JamiiForums Tanzania JE UNAJUA WA KUKUSAIDIA KWENYE UWEKEZAJI NA USHAURI WA KIFEDHA, Mfahamu MWAKAWASILA

    MWAKAWASILA CONSULTANT Ni mshauri wa kifedha ni mtaalamu anayetoa ushauri wa kitaalamu kuhusu usimamizi wa fedha, uwekezaji, na kufanikisha malengo ya kifedha. Huduma zake mara nyingi hujumuisha: 1. Mipango ya Uwekezaji Kushauri kuhusu hisa, mifuko ya uwekezaji wa pamoja (mutual funds)...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lema anahitaji ushauri wa saikolojia, hayupo sawa. Atunga kitabu kuhusu Mbowe

    Huyu jamaa kama kachanganyikiwa. Sasa Mbowe akimshtaki mahakamani amlipe faini? Akili hizi ni za kuchanganyikiwa sio za mtu mwenye akili
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa Mbowe, Lissu, na wanaCHADEMA wote wakiwamo Chawa na hata wabangaizaji. "Mbowe aachiwe uenyekiti hadi atakapojichokea!"

    Hii sasa ni 20/1/2025 siku moja kuelekea uchaguzi mkuu. Kwamba mwamba angali kakomaa, hasikii wala haoni miito yote iliyotolewa. Kwamba imekuwa ni kumpigia mbuzi gitaa. Kwamba alipo ni heri chama kife ila hang'oki hata iweje! Looh! Roho za namna gani hizi? Kwamba ni kwa sababu anajitolea mno...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Polen na majukumu naomba ushauri nasumbuliwa na mbaa matangotango ni dawa gan nzuri kat ya sindano na vidonge nipate matokeo ya haraka
  14. JamiiForums Tanzania Habari ndg sorry naomba ushauri nasumbuliwa na mbaa/matangotango

    Polen na majukumu na week end ya jpili nilikuwa nauliza ni dawa gan nzuri kati ya sindano na vidonge nasumbuliwa na mbaa matangotango. Plz naomba ushauri wenu ndg zangu nipote ili tatzo n muda...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nina udomo zege pro max, nahitaji ushauri

    Habari Wana JF hope mko poa. Hakuna kitu kinaumiza hapa duniani Kama unampenda mwanamke na yeye anaonesha kabisa kukuelewa lakini unashindwa kumwambia. Ni mwaka wa tatu toka ni fall in love kwa huyu mtoto ebanaee. Huwezi amini in all that year nimeshindwa kumwambia kwamba nampenda japo najua...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wapendanao hawa!

    Angalia video hii kwa makini ,weka maoni yako
  17. JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri: Utaratibu wa kuuza bidhaa Nje ya Nchi.

    Good morning wadau, Happy New Year, Mimi nina wazo la kuuza viungo( spices) Nairobi na nimeshafuatilia soko kuwa ipo vizuri. Sasa, sijui nianzie wapi kuhusu utaratibu wa kufuata. Sitaki kufanya hii biashara kiholela but nifanye kwa ustadi mkubwa and in a professional manner. Hivyo, naombeni...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanachama wa TLS

    Nawashauri watokee wanachama wa TLS wajitokeze hadharani kumkosoa Rais WA TLS wa sasa ili tuone nini kitatokea. Naandika hivyo kwa sababu yeye mkosoaji mkubwa wa viongozi wa chadema waliopo madarakani dhidi ya kundi la Lissu. Hii itatupa tumpime uwezo wake ktk masuala ya uongozi
  19. 4

    JamiiForums Tanzania Ushauri; CCM mleteni mh Mwaniri kama Makamu Mwenyekiti, mtanishukuru baadae

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu. Mzee Mwaniri amekua mkuu wa Mkoa Tabora ila pia ameshika nyadhifa Mbali Mbali ndani ya nchi yetu, Uyu mzee anamapigo ya G z , siasa za nchi hii zinazidi changamka Sana , nami ni ombi langu ziendelee changamka . Mleteni uyu mzee kama makam wa ccm ...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure: Lissu, akishachukua chama, aanze na haya yaliyomshinda Mbowe kwa miaka 21!

    1. Uchawa kama profession CHADEMA, ni marufuku! 2. Aanzishe vita dhidi ya ruzuku za vyama: Vyama vyote viendeshwe na wanachama, si huu upigaji wa pesa za wananchi kwa jina lingine lolote! "Pesa za ruzuku zielekezwe kwenye ajira mpya za vijana wanaohitimu masomo, itapendeza zaidi!" 3...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…