ushamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wana hulka za ushamba na ujuaji?

    Watanzania wenzangu, mnisamehe kwa kuwaambia UKWERI huu. Nimetafakari na kufuatilia suala hili kwa muda mrefu sana na ninapokuja mbele yenu kwa 'conclusion' hii, naomba mchukue muda mjitafakari vizuri. Tukikaa wenyewe kwa wenyewe, tunasemana kuwa "kabila fulani ni washamba!". Wengine wanasema...
  2. JamiiForums Tanzania Kigezo kinachotumika kuaminisha Rolls Royce ya diamond ni feki ni ushamba wa magari

    Baada ya kelele nyingi mitandaoni zinazodai chuma kipya cha Daiaond ni feki, nikaamua kuingia mtandaoniili ili nicheki facts maana watalamu wanasema "No research, no data, no right to speak",,,,bila uchunguzi usio na taarifa huna haja ya kufungua mdomo. Muda sio mrefu nimeingia kwenye account...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Yanga na Simba acheni kuvaa fulana za timu zetu wiki nzima

    Wapenzi wa Yanga na Simba, Jezi zenu huwa zinavaliwa angalau siku moja kabla ya mechi,hadi siku ya mechi na baada ya mechi unaweza ukavaa kwa nusu siku hata kama umeshinda au umefungwa.Ushamba wenyewe unakuwa hivi aliyeshinda anavaa jezi wiki nzima asubuhi hadi wengine wanalala nazo,wakati...
  4. JamiiForums Tanzania Huu ni ushamba wangu, ama?

    Amani iwe nanyi! Ndugu zangu kuna hivi vihereni vya puani, dah yaani mdada akivaa nakosa kabisa ile kuvutiwa kukaa nae hata kupiga story tuu, yaani akinipikia naweza kabisa nisile alichokipika, kuna mama nilikua mteja wake mzuri sana wa chakula chake, kuna binti mzuri tuu alimleta, aisee akaja...
  5. JamiiForums Tanzania Diamond Ushakosa Tuzo, Jua Nafasi yako. Achana na Washamba

    DIAMOND ACHANA NA WASHAMBA/MALIMBUKENI. TAMBUA NAFASI YAKO. Na, Robert Heriel Kitu ambacho kinakwamisha Watanzania tuliowengi ni USHAMBA/ULIMBUKENI. Ulimbukeni ni like kitendo cha mtu kupata kitu Kwa kizuri au cha thamani Kwa mara ya kwanza, kitu kile kikamfanya atende kinyume na desturi na...
  6. JamiiForums Tanzania Wadada acheni ushamba kwenye Dating Apps

    Kusema kweli nashindwa kuwaelewa mabinti/wadada wa Kitanzania (sio wote) kwenye mitandao ya kutafta mahusiano ama dating apps. Sijui ni ushamba ama ugumu wa kuelewa. Mitandao kama Tinder, Badoo, Hitwe, Tantan, Match.com, na mingineyo ni mitandao mahususi kwa datings na inaitwa kabisa dating...
  7. JamiiForums Tanzania Ubishoo na Ushamba ndani ya Club House

    Salaam, Kuna hii App mpya ya ClubHouse ambayo imeanza kushika kasi ya watumiaji wengi bapa nchini na Duniani kwa ujumla, nadhani baadhi yetu tunaifahamu. Sasa kuna kitu ninachokiona kwa watumiaji wengi wa Kibongo ni Ubishoo uliopitiliza kama ule wa enzi za BBM pamoja na ushamba wa kitu Kipya...
  8. JamiiForums Tanzania Ni ushamba na ulimbukeni

    Siku hizi tukipata watoto tu cha kwanza ni IG account,bank account atajijua mwenyew.Likes za ndugu zetu zitawasomesha nadhani. Halaf account ya mtoto inapost I LOVE YOU DAD-unacoment I LOVE YOU TOO MY SON/DAUGHTER....STUPIDITY!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…