used

  1. D

    Nahitaji radio calls used

    Habari wadau . Kwa mwenye mali tajwa hapo juu naomba tuwasiliane. Iwe inafanya kazi au haifanyi bado Nina uhitaji nayo. Pia radio calls za kwenye magari nazo pia nahitaji pamoja na antena zake. Kama unazo karibu.
  2. Kabla ya kununua land cruiser used hapa bongo Nini chakuzingatia?

    Habari wakuu nimetembelea mtandaoni nimeona Wanauza magari bei chee used from hapa hapa Tanzania je kitu chakuzingatia kabla ya kununua?
  3. Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie vizuri ushuru wa Nissan Leaf 2019 EV nataka ivuta Februari!

    Najua kwa namna moja au nyingine muhusika atapata huu ujumbe, na sio tu kwa hii chuma na kwa vyuma vingine. Kwa mfano Nissan Leaf 2019 naona kwenye kikokotoo chenu mme-estimate kwamba CIF yake ni $16,600 kitu ambacho sio kweli, market price sahivi ya hii gari kwa huo mwaka ni CIF ya $8,000...
  4. M

    Wapi nitapata jenereta nzuri ya 25kVA mpya au used

    Habari wakuu! Nahitaji kupata jenereta nzuri ya 25kVA – mpya au used. Kama kuna mtu anafahamu wapi naweza kupata na bei zake zinavyorange, tafadhali naomba ushauri wenu. Asante!
  5. S

    Wauzaji wa vifaa vya magari used kutoka Dubai

    Husika na mada tajwa hapo juu , naomba muuzaji wa spear za magari used au mpya kama ipo spear hii naomba uniambie bei yako hapa nahitaji rejeta full pamoja na caulling yake na reserve tank ya coolant ni shilingi ngapi ukiwa mpya au used ya Japan au Dubai ,gari aina ya Toyota Brevis 1JZ FSE
  6. INAUZWA Kuna Heavy duty balance scale tonnes 80 used na tonnes 60 new karibu sana

    Heavy Duty Scale Balance 1. 80 Tonnes (Used) - Tsh 76.3M 2. 60 Tonnes (New) - Tsh 81.75M Karibu
  7. Simu zinazodaiwa ni Used kutokea Dubai na Korea ni nzima au tunapigwa?

    Habari za Leo Wana jamvi. Hivi simu hizo wanazotuambia wanaagiza from Dubai Korea Japan n.k hivi Zina uhai wowote au tunapigwa tu. Nataka ninunue Samsung note 10 au Aquos R6 hiz wanazosema ni used from Dubai. Au kama Kuna link ya kununua Moja Kwa Moja kutoka Dubai mnipe hapa Naombeni mawazo yenu
  8. Container used ft 20 linahitajika

    Salaam, Nahitaji kontena la futi 20 lililotumika liwe Mkoa wa Dsm. Liwe katika hali nzuri (halivuji, halina kutu) Mwenye nalo njoo DM.
  9. Wana Teknolojia nina Swali: Bora kununua mid-ranger smartphone mpya au flagship used ya miaka 2 iliopita?

    Nna swali kidogo. Kwa mwaka huu mfano 2024, ukawa una Million 1 tu ya kutumia kununua simu. Ni bora kununua hizi simu za uwezo wa kati (mid-rangers) mfano Samsung Galaxy A55 mpya kabisa…au ni bora kwa gharama iyo iyo ukanunua flagship (high performance smartphone) ila used ya miaka miwili au...
  10. O

    Nani aniuza printer yenye uwezi wa kuprint a3 used lakini mfukoni Sina pesa ndefu yaani mamilioni

    Mwenye printer used inkjet yenye uwehio karibu
  11. Naenda Dar kununua pikipiki used mbagala zakhiem nina kesh ya 1.2m

    Wakuu msaada kwa wazoefu wa dar tafadhali kuna jamaa najiita mwanapunda org. Ni kampuni maaulumu ya kuuza na kununua pikipiki. Kuna chuma 1 inauzwa m. 1 nimeona kunitumia wanaweza nibadilishia pikipiki. Kimbembe wakati wa kurudi nisaidieni usafiri mzuri wa kuipakilisha pikipiki yangu TVS...
  12. "Religion should be used to maintain peace, when it gets involved in Political it can confuse believers"

    The Deputy Speaker of the Parliament of the United Republic of Tanzania, Mussa Azzan Zungu, has called on the Ahmadiyya Muslim Community to continue collaborating with society to maintain peace in the country and to avoid individuals with personal grudges who aim to disrupt peace. Zungu who is...
  13. A

    Tunauza Photocopy machines Canon Ir 2525i Used

    Tunauza Photocopy machines Canon Ir 2525i Used Bei ni 2,500,000/- kwa moja Tupo Zanzibar, tunaweza tuma Dar na hata mikoani ila gharama za utumaji zitakuwa juu ya mnunuzi.
  14. Natafuta amplifier used nina 150,000

    Wakubwa nina 150,000 mwenyewe anayo AMPLIFIER used nataka kuitumia kwenye movies library office.
  15. Nahitaji Starlet Used

    Habari wakuu Nahitaji starlet used ,iwe kwenye hali nzuri. Niko Kibaha Maili moja piga 0713 039 875
  16. M

    Anaejua soko la simu used bei kitonga

    Nataka kuanza kuuza simu used, anayejua soko au wapi wanauza bei ya jumla iwe ndani ama nje ya nchi anipe A to Z....🙏🙏🙏🙏
  17. FOREIGN USED EXCAVATOR FOR SALE

    PRICE 208.000.000 BEFORE VAT KOMATSU PC360-7 FOREIGN USED WITH GOOD CONDITION 9000 WORKING HOURS LOCATION TEGETA FOR MORE INFORMATION 0768 432 891
  18. Kwa mnaohusika na kubomoa magorofa kariakoo naombeni connection ya vifaa jenzi used

    Habari zenu wanajamvi, kama nilivosema Nahitaji vifaa jenzi used lakini vilivyo katika hali nzuri kama vile bati za migongo mipana, nondo ml.12, gypsum, tofali n.k Kwa bomoa bomoa inayoendelea kariakoo vitu hivyo vinaweza kupatikana kwa bei rahisi naomba mwenye connection ani-pm au aweke hapa...
  19. Utanunua Refublished au Used?

    ...wakubwa naomba shule kidogo. Assume nahitaji kununua flagship phones (sina pesa ya kununua mpya) let us say Samsung Note 20, je utanishauri nichukue refub or used? Mwenye shule poa atusaidie kuzielewa hizi products faida na hasara zake. Je performance zake mf kwa picha zina ubora gani? Asante
  20. TV4Sale LG Smart TV inch 40 used from UK

    LG SMART TV INCH 40 USED FROM UK YOUTUBE NETFLIX TV ORIGINAL 485,000 0744680670
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…