used

  1. JamiiForums Tanzania Natafuta PS 2 USED

    Wakuu habari. Natafuta PS 2 used kwa walioko Dodoma. Tuwasiliane....
  2. JamiiForums Tanzania TV4Sale Used Smart TV inch 43 na Dish la Azam

    used smart tv : inch 43 imetumika miezi 3 Kampuni: homebase Ina :warranty,boksi,stand ya ukutani na chini, remote na waya zake Eneo: Dar-es-Salaam, Ubungo Riiverside Bei: 650,000 Contact: 0712518770.
  3. P

    JamiiForums Tanzania INAUZWA 4TB Transcend External HDD used but in mint condition

    4TB Transcend External HDD used but in mint condition. Ipo Dar Es Salaam. Call: 0712198128 Price: 250,000
  4. JamiiForums Tanzania NATAFUTA CAMERA NZURI USED BAJETI YANGU 800K

    Mwenye camera nzur used naomb tuwasiliane wakuuu bajet yangu 800k
  5. M

    JamiiForums Tanzania Friji used linahitajika...

    Wakuu, FRIJI liwe na sifa zifuatazo Used kubwa 1.5 au 2 size Lisiwe chakavu Lisiwe na hitilafu yoyote Linaweza kuwa Aina ya Boss and the like but the Boss much prefered.. Uwe tayari kunisafirishia Malipo baada ya makubaliano. Inbox Ahsante..
  6. JamiiForums Tanzania Unahitaji Coaster Used? Njoo Kwa Tukushauri

    Stop over auto parts, wataalam wa kuuza spares za Coaster aina zote na magari aina ya Coaster used,tumekuwa tukiwasaidia wanunuzi wa Coaster Used mambo muhimu ya kujua kabla hujanunua Coaster used. Mambo hayo ni pamoja na kukagua gari ukiwa na fundi mzoefu uliyenaye au ukitaka tutumie mafundi...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Tractors zilizotumila Afrika Kusiniin South Africa

    Kuna makampuni mengi South Africa yanauza matekta na zana za kilimo kwa bei ambayo sio mbaya sana huku yakiwa kwenye ubora mzuri. Kwa wenye ujuzi au waliowahi kununu vip ubora wake upoje na pia kuna changamoto gani kwenye hizo zana za kilimo.?
  8. P

    JamiiForums Tanzania 230,000/= 3TB Transcend External HDD - used mint condition

    Used but in mint condition. Call 0734846322
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania's tourvan model "warbus" to be used in Kenya's election 2022

    Homeboyz donates cars to Raila Odinga Friday, October 01, 2021 ODM Leader Raila Odinga (centre) when he received vehicles donated by Homeboyz Entertainment in partnership with Mombasa-based businessman Bernard Odhiambo at Chungwa House on October 1, 2021. Courtesy | ODM Samwel Owino...
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji mashelf used kwa ajili ya kajiduka kadogo

    Nahitaji mashelf used kwa ajili ya kajiduka kadogo tu. Mashelf ya mbao used namaanisha toka kwenye Duka lililofungwa labda. thanks.
  11. JamiiForums Tanzania Kama una magazeti used mengi ninanunua

    Habari wakuu wale wazee wa maofisini ambao kila gazeti lazima mnunue, usilimbikize gazeti ulizosoma ofisini, ninanunua Gazeti used kwa kilo moja shilingi elfu moja 1000/TZ SH. Hata kama una kilo 1000 niambie nitanunua zote, hata ukiwa na tan 10 za gazeti ninanunua kwa kilo shilingi elfu moja...
  12. JamiiForums Tanzania Tunauza na kununua bidhaa zilizotumika

    je una bidhaa ambayo unataka kuiuza? karibu tukuuzie bidhaa yako iliyotumika , jiunge na group letu la whatsapp https://chat.whatsapp.com/FVBnU70HjaE2pyVxB7nTth
  13. JamiiForums Tanzania A syringe used to treat syphilis in 1545

    Suffering from a case of Syphilis? Don’t worry, the Tudor’s got you🥺 Syringe recovered from Henry VIII’s ship the Mary Rose which sank in 1545. These syringes were often times used to treat syphilis by injecting mercury. Syringes were used as urethral syringes, for treating diseases such as...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta PS 2 used

    Wakuu Natafuta PS2 used. Kwa walioko Dodoma, tuwasiliane hapa
  15. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung A72 used inauzwa

    Samsung A72 RAM :8GB STORAGE: 128GB SIMU HAINA TATIZO LOLOTE-IMETUMIKA MIEZI MIWILI TU, FULL BOXED INCLUDING RECEIPT NAIUZA KUTATUA CHANGAMOTO LOCATION :DAR ES SALAAM- UBUNGO SURVEY PIGA SIMU: 0658323300 750,000TZS
  16. JamiiForums Tanzania Kituo cha mbezi wanagawa used receipt kwa wateja ??

    TUKIWA TUNAENDELEA NA KODI YA MSHIKAMANO KUNA HAYA MALALAMIKO TRA NI YA KWELI HAYA ?? "This is what taasisi zinatakiwa kudhibiti kuhakikisha kodi zinakusanywa sawa sawa, tulikosea njia tukaingia kituo cha mbezi mwisho, kwenye kutoka tukalipishwa buku but wametupa risiti iliyotumika huku...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania SOLD: Used Simtank 5000Litres yanauzwa Magomeni

    Used Simtanks mbili za Lita 5000 Kila mmoja yanauzwa Magomeni Mikumi. Kila mmoja linauzwa kwa 250,000. Kwa mawasiliano Zaidi piga namba 0687320462 au 0693890769.
  18. JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata AVR amplifier used kwa bei nafuu??

    wakuu babari, nikipita kwenye maduka ya bongo ya electronics naona zimejaa subwoofer za mchina tu na hometheter za mchina na sio malysia wala japan. kwa sisi wanazi wa.mziki ningependa nipate walau mashine ya avr amplifier 7.2 channel yenye bluetooth,usb na walau inasukuma kuanzia 150watts...
  19. JamiiForums Tanzania Nahitaji King'amuzi cha Azam Used

    Habari wakuu. Mwenye king'amuzi cha azam used tuwasiliane hasa kama upo Dar au Kibaha Simu 0713-039 875
  20. W

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaa mbalimbali vya magari

    Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…