usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kauli ya Japan kuwa na silaha za nyuklia yatishia usalama wa dunia

    Afisa mwandamizi wa Ofisi ya Waziri Mkuu ya Japan hivi karibuni alisema hadharani kwamba, kutokana na mazingira magumu ya usalama yanayoizunguka Japani, nchi hiyo inapaswa kumiliki silaha za nyuklia. Baada ya hapo, Waziri wa Ulinzi wa Japan Shinjiro Koizumi alisema hakuna chaguo linaloweza...
  2. JamiiForums Tanzania Hongereni TRC kwa kuzingatia Usalama wa wasafiri

    Inajulikana kuwa waovu wanaweza kutumia janga la mvua kuhujumu treni ili kuleta maafa na taharuki. endeleeni kusimamia weledi wa kazi . Sio aibu na wala sio ajabu kwa kuhairishwa safari nyakati za majanga ya asili . Tuendelee kuzilinda roho zenye utu katika safari zenu
  3. JamiiForums Tanzania Marufuku ya ndege zisizo na rubani ni kitendo cha kujilinda kibiashara cha Marekani kwa kisingizio cha usalama

    Tume ya TEHEMA ya Marekani (FCC) hivi karibuni ilitangaza kuweka ndege zote zisizo na rubani na vipuri vyake vilivyotengenezwa nje ya nchi kwenye orodha ya kudhibitiwa, kwa kisingizio cha “tisho kwa usalama wa taifa”, na kupiga marufuku ununuzi wa aina mpya za ndege zisizo na rubani kutoka nchi...
  4. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tabora lawahakikishia ulinzi na usalama kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka

    Jeshi la polisi mkoani Tabora limewahakikishia wananchi ulinzi na usalama katika sherehe za Krisimasi na Mwakampya.. Akizungumza na Waandishi wa habari leo Disemba 24, 2025 Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa polisi, Richard Abwao amesema jeshi la polisi litaendesha...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Maelezo Yaliyotolewa na Malisa Ni Ya Uongo Na Uzushi Mkubwa. Wananchi Puuzeni Taarifa Hizo. Hali ya Usalama ni Shwari Kabisa

    Ndugu zangu Watanzania, Niliwaambieni humu kuwa habari na taarifa za Malisa zilikuwa ni za Uzushi ,uongo, uchonganishi na zenye lengo la kutaka kuleta taharuki na kuichafua serikali yetu chini ya uongozi mahiri,shupavu ,madhubuti na Imara wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
  6. JamiiForums Tanzania Tukubaliane, Watekaji wamemshinda Rais Samia, na vyombo vyote vya ulinzi na usalama Tanzania, Sasa nashauri tujilinde

    Tukubaliane watanganyika, nasema watanganyika, maana zanzibari sijasikia wakitekwa au lolote BAYA lililotokea kwao, Nasema tukubaliane Tanganyika RAIS wetu ameshindwa na tabaka la watekaji Sasa tujiamini na tujilinde sisi wenyewe. Je vyombo vyeti navyo vimeshindwa kutulinda Sasa tujirinde?
  7. JamiiForums Tanzania Hali ya usalama nchini inazidi kuwa tete

    Kilichokuwa kiwe uchaguzi mkuu Tanzania kwa mujibu wa katiba yake, kimepita na yaliyotokea sote tunayafahamu! Bado taifa halijatulia, bado fukuto lipo, la dhuluma, la maumivu, la ukatili mkubwa uliitokea nknk Hofu kwa upande wa pili ni kubwa zaidi.. Nadhani intelijensia inawapenyezea hali...
  8. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kauli za Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa; Tanzania kama nuru ya amani, umoja na usalama duniani

    TAFSIRI YA KAULI ZA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA: TANZANIA KAMA NURU YA AMANI, UMOJA NA USALAMA DUNIANI Na GULATONE MASIGA Kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. António Guterres, wakati akipokea ujumbe maalum wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan uliowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaharakati wanajali usalama wao bila kuthamini usalama wetu?

    Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ? Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki...
  10. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini vyombo imara na vya kisasa vya ulinzi na usalama Tanzania, havina mzaha, havioni aibu wala haya kuwashughulikia magaidi?

    Hebu tazama Tanzania inavyopendeza kwa ulinzi na usalama wa kutosha kila kona ya nchi. Usalama ni wa uhakika na hakikisho la amani kwa waTanzania wote dhidi ya vitisho vya kigaidi kutoka kwa maharamia na mamluki wanaofadhiliwa na mabwenyenye ya magharibi hakuna tena. Ndugu mdau wa JF, ukipata...
  11. JamiiForums Tanzania CGI Anna Makakala ndio Mkuu pekee wa Chombo cha Ulinzi na Usalama aliyebaki mwenye uteuzi wa hayati Magufuli

    Rais Samia alipoingia tu madarakani 19 March 2021 alianza taratibu kuwaondoa Wakuu waVyombo vya Ulinzi na Usalama na kuweka wakwake. Ndio, wengine walikuwa washakaribia kustaafu kama Jenerali Mabeyo, ila wengine waliondolewa kabla ya kustaafu kwao kama vile DGIS Diwani Athumani pamoja na IGP...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Heche angalia usalama wako maana umewataja wenye bunduki , risasi, vifaru, magari ya deraya na zana zote za maangamizi duniani

    Just kutoa tahadhali! Angalia maisha yako, chukua tahadhali. Tetesi: eti wa kule wamemkolimba kuficha ushahidi wa MO 29!
  13. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi La Polisi: Tunaimarisha Zaidi Ulinzi Na Usalama Usiku Huu

    Ndugu zangu Watanzania, Jeshi letu la Polisi limesema ya Kuwa Limeimarisha na linaimarisha zaidi ulinzi na Usalama Usiku huu. Ambapo Doria kali zitapigwa usiku kucha kuhakikisha amani na utulivu vinatamalaki na hakuna uhalifu wa aina yoyote ile unaofanyika wala kutokea. Rai yangu kwenu...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hali ikiendelea hivi, hata vyombo vya usalama vitachoka kumlindia ugali wake

    Haya mambo yakiendelea angalau mara tano ,sita , nawakikishieni hata vyombo vya usalama vitachoka kumlinda. Leo watu wameandaa maandamano hewa jamaa wamejaa kwenye mfumo , wamepoteza pesa kizembe na wameishia kujichosha. Hata hivyo vyombo vya usalama wanachoka kuzurula na hayo magari, siku kuu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Vyombo vya ulinzi vikiendelea kufanya ukaguzi wa usalama kwa nyia ya anga

    Ukaguzi wa Usalama kwa Njia ya Anga, Helkopta ya Kijeshi Ikizunguka Maeneo mbalimbali ya Dar Es Salaam wakiangalia Usalama. Vipi hali huko mitaani wakuu?
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 ICC wakitoa Arrest Warrant ya Samia na wenzake tutawaomba Marekani na EU waombe Baraza la Usalama UN likubali kuundwa Taskforce kufanya ukamataji

    Hili lilishawahi kufanyika huko nyuma wakati Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Yugoslavia ilipotoa amri za kuwakamata Washtakiwa waliohusika na Mauaji ya Kimbari kwenye vita ya Yugoslavia. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha kuanzishwa kwa Taskforce ya kijeshi ambayo ilifanya kazi...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Rioba wa TBC: Niko tayari kuomba silaha kulinda Taifa langu dhidi ya tishio lolote la usalama na amani ya Tanzania

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook amesema yupo tayari kuomba silaha kwaajili ya kuilinda Tanzania dhidi ya tishio lolote la usalama na amani kwani aliwahi kufanya hivyo mwaka 1990. "Mwaka 1990 nikiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Minnesota Mji Uliojaa Wasomali, Kiasi cha kuhatarisha Usalama wa Marekani, Trump Awapelekea Moto

    Kwa sasa kuna mvutano mkubwa Minnesota kati ya jamii ya Wasomali (ambayo ni karibu 80,000 wenye asili ya Kisomali) na serikali ya shirikisho na ya jimbo. Hii imetokana na madai madhubuti ya udanganyifu mkubwa wa fedha za umma pamoja na hatua za Rais Donald Trump kuongeza ukaguzi wa uhamiaji na...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chombo pekee kinachopaswa kutamka maandamano tar 9 Dec ni halali/si halali ni Mahakama, Vyombo vya Ulinzi/Usalama kazi yenu ni usalama bila kupendelea

    Ninashangazwa na matamko ya baadhi ya viongozi wa Serikali na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhangaika kudhibiti Maandamano, Je, Hiyo ndiyo kazi yao kuamua kama maandamano ni sahihi au si sahihi? Serikali ambayo ndiyo inayolalamikiwa eti ndiyo inakuwa wa kwanza kupinga kulalamikiwa! Vyombo vya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mzee mmoja alinisimulia kuwa zamani Idara ya Usalama wa Taifa (special branch) ndio ilikuwa inampangia Rais nani awe kiongozi

    Mzee huyu ni marehemu. Alifanya kazi na mwalimu Nyerere. Alisema kila suala linalohusu kiongozi ni special branch. Ilikuwa ikimpatia rais taarifa za mtu yoyote anayefaa kuwa kiongozi. Leo hii hakuna special branch. Kuna Tiss. Sidhani kama wanafanya kama enzi za Nyerere. Wangekuwa wanafanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…