Huu ni mwaka wa 30 tangu China ilipoanza kupeleka vikosi vya kulinda amani kwa nchi za nje. Ikiwa moja ya nchi kubwa zaidi duniani, katika miaka 30 iliyopita, China imetekeleza kikamilifu wajibu wake wa kimataifa, na kutoa mchango muhimu katika kudumisha amani na utulivu duniani, hasa barani...