Oya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa mashakani.
Kama mtu anaweza kujiua kisa tu Simba kamfunga yangu au Yanga kamfunga Simba, wewe unafikiri...
📖Mhadhara (71)✍️
Mbeya ni mkoa ambao unakabiriwa na matukio ya ajali za mara kwa mara. Maeneo ambayo ajali hutokea sana ni;
1. Mlima nyoka,
2. Mteremko wa Simike (Nzovwe), na
3. Mlima wa Mbalizi.
Licha ya ajali nyingi kutokea katika maeneo hayo hasa Mteremko wa Simike (Nzovwe), lakini mabus...
Katika mji wa kisasa wa Nairobi, Anna, msichana mwenye bidii na mpenzi wa teknolojia, aliingia rasmi kwenye ulimwengu wa sarafu za kidijitali unaojulikana kama cryptocurrency. Alikuwa amesikia hadithi nyingi za watu waliofanikiwa kwa kutumia Bitcoin na alihamasishwa na uhuru uliokuja na...
Kwamba alisikika Wenje, kutokea Arusha Lissu aliugua sana tumbo! Kwa maneno yake kuwa: "alikuwa ana drive."
Bila shaka alichokula Lissu alikula na wenziwe. Sasa kumbe vipi "food poisoning" kumuathiri mmoja tu katika kundi?!
Ogopa sana kanda ya ziwa na ile nyongo pendwa ya mamba!
Kwamba...
Sabato Njema!
Kambi ya Mbowe ingekaa ikatulia, ikatafakari, ikahesabu kila hesabu na chenchi zake. Hakika kama wangefanya hivi wasingemruhusu Mbowe Agombee tena.
Ningekuwa kwenye hiyo Kambi, ningewashauri; "Tunahitaji Kambi yetu iendelee kuongoza. Sisi ni wamoja. Nasema uongo?"
"Mbowe tayari...
Wakuu,
Kama mmeona sasa hivi karibu kila siku Lugumi yuko kwenye media, mara katoa msaada kwa watoto yatima, mara anajengea yatima nyumba, mara kaalika watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kufanya dua, mara sijui kaenda kulisha wapi, yaani ni heka heka mtindo mmoja.
Na Millard kama kawa...
Habari waungwana,Kuna hawa Askari wa kikosi Cha usalama Barabarani mkoa wa Mbeya wamezidi kuchukua Rushwa.
Muda huu Niko safarini kutoka Mbeya kuelekea mkoa wa Songwe tumekutana na Askari maeneo ya Ifisi na Songwe viwandani wao kazi Yao ni kuchukua Rushwa tu.
Wanasimamisha Magari lakini hakuna...
Kuna viongozi wengi sana ambao ni usalama wa taifa. Mmoja ambaye nina uhakika naye kwa 💯 ni Professor Mkumbo ambaye ni waziri kwa sasa. Miaka yote hata kabla ya kuingia Chadema alikuwa usalama wa taifa.
Miongo 4 iliyopita Tanzania imeshuhudia vyama vya siasa vyenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya nchi,vikiongozwa na viongozi wasomi Mfano TLP chini ya Mrema Na CuF chini ya Mwenyekiti Prof Lipumba lakini havikuweza kitimiza azima ya chama cha siasa kwa sababu za kiusalama au uoga.
Tumeshuhudia...
Bila kupiga chenga naingia kwenye mada na leo nazungumzia kujitambua kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA.
Mara kadhaa nimekuwa hapa JF nikiuponda upinzani khasa CHADEMA kwamba wapo kuisindikiza CCM kwenye siasa tangia mwaka 1992 upinzani ulipozaliwa rasmi kwa maana ya vyama vingi vya siasa...
Wadau hamjamboni nyote
Rais Asad amevunja ukimya na kusema hajakimbia Syria na kuwatelekeza watu wake ila warusi ndiyo waliomuhamishia nchini kwao baada ya kambi yao ya kijeshi kushambuliwa vibaya na waasi
Isingalikuwa warusi kumuondoa nchini Syria kwa nguvu basi angeliendelea kupambana hadi...
Kuna Daladala moja inayofanya safari zake Kijichi Spice kwenda Darajani imekuwa na huduma mbovu kwa Abiria wake na wakati mwingine kutishia usalama wa Watu waliomo ndani ya gari hilo na hata waliopo nje.
Dereva wa daladala hiyo amekuwa akiendesha ovyo kwa kutojali Sheria za Barabarani kiasi...
Imezoeleka Kwa wengi kutumia Namba ya simu kama 2FA.
Sasa tukija kuangalia usalama kawaida Huwa ni ndogo kwasabu zifuatazo.
Email inbox na outbox hazijifuti kama ilivyo kwenye WhatsApp.
Vyombo vya usalama vinaweza kupewa access ya jumbe fupi au calls unazotumiwa kwenye namba Yako ya simu...
Waziri Kombo aongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa...
Wanaukumbi Moscow anaomba msaada kwa Mturuki baada ya kuzingirwa na vikosi vya waasi.
==========
Russian troops have requested Turkey’s support for their safe exit from Syria following a lightning Islamist-led offensive that resulted in regime change, CNN Turk reported Sunday. The broadcaster...
Wale tunaokujaga dodoma nadhani tunaifaham bar maarufu kwa misosi ya Mwanga Bar iliyopo Jijini Dodoma, nikiwa natoka zangu safari kanda ya ziwa nikasema nipite kula hapo kilichonishangaza ni rundo la matakataka ambayo inaelezwa yapo hapo kwa siku ya tano leo uku uandaaji wa chakula ukiendelea...
NATO wamecheza mchazo mkali sana wa kisiasa dhidi ya MRUSI.
Mosi, wameanzisha mtafaruku Lebanon kwa kumtumia mshirika wao mkubwa Israel, jambo ambalo limepelekea vikosi vingi vya Hizbullah kuondolewa nchini Syria na kurudishwa Lebanon kuzuia uvamizi wa Israel. Jambo hili limechangia kwa kiasi...
Mahakama ya Rufaa ya D.C. imetangaza uamuzi wa kuunga mkono sheria inayotaka ByteDance, kampuni mama ya TikTok kutoka China, kuuza hisa zake za programu hiyo ifikapo Januari 19, 2025, la sivyo itakabiliwa na marufuku kote Marekani.
Sheria hiyo, inayojulikana kama Protecting Americans from...
Nchi yetu kadiri siku zinavyoenda mbele, imeshuhudia zikitungwa sheria nyingi za kuirudisha nchi nyuma, yaani sheria nyingi zimekuwa za kuwatesa na kuwaonea wananchi. Ni sheria za kuhalalisha uovu dhidi ya wananchi:
1.
Tulikuwa na sheria ya vyama vya siasa, lakini baadaye ikabadilishwa hiyo...