usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Mbeya:Askari wa kikosi Cha usalama Barabarani njia ya Mbeya Tunduma wamezidi kuchukua Rushwa

    Habari waungwana,Kuna hawa Askari wa kikosi Cha usalama Barabarani mkoa wa Mbeya wamezidi kuchukua Rushwa. Muda huu Niko safarini kutoka Mbeya kuelekea mkoa wa Songwe tumekutana na Askari maeneo ya Ifisi na Songwe viwandani wao kazi Yao ni kuchukua Rushwa tu. Wanasimamisha Magari lakini hakuna...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wengi ni Usalama wa Taifa!?

    Kuna viongozi wengi sana ambao ni usalama wa taifa. Mmoja ambaye nina uhakika naye kwa 💯 ni Professor Mkumbo ambaye ni waziri kwa sasa. Miaka yote hata kabla ya kuingia Chadema alikuwa usalama wa taifa.
  3. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Lissu hatoshinda nafasi ya uenyekiti kwa sababu za usalama na nguvu ya Dola

    Miongo 4 iliyopita Tanzania imeshuhudia vyama vya siasa vyenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya nchi,vikiongozwa na viongozi wasomi Mfano TLP chini ya Mrema Na CuF chini ya Mwenyekiti Prof Lipumba lakini havikuweza kitimiza azima ya chama cha siasa kwa sababu za kiusalama au uoga. Tumeshuhudia...
  4. Richard

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Ushauri wangu kuhusu upinzani kujitambua umesikika. Tundu Lissu ndiye kiongozi sahihi wa upinzani. Vyombo vya usalama vimuache afanye siasa

    Bila kupiga chenga naingia kwenye mada na leo nazungumzia kujitambua kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA. Mara kadhaa nimekuwa hapa JF nikiuponda upinzani khasa CHADEMA kwamba wapo kuisindikiza CCM kwenye siasa tangia mwaka 1992 upinzani ulipozaliwa rasmi kwa maana ya vyama vingi vya siasa...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Asad asema hakuwa na mpango kukimbia na kuwatelekeza watu wake ila Jeshi la urusi ndilo lilimuondoa nchini Syria kwa ajili ya usalama wake

    Wadau hamjamboni nyote Rais Asad amevunja ukimya na kusema hajakimbia Syria na kuwatelekeza watu wake ila warusi ndiyo waliomuhamishia nchini kwao baada ya kambi yao ya kijeshi kushambuliwa vibaya na waasi Isingalikuwa warusi kumuondoa nchini Syria kwa nguvu basi angeliendelea kupambana hadi...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mamlaka zifuatilie Daladala zinazohatarisha usalama wa Abiria kwa uendeshaji mbovu na Askari hawachukui hatua

    Kuna Daladala moja inayofanya safari zake Kijichi Spice kwenda Darajani imekuwa na huduma mbovu kwa Abiria wake na wakati mwingine kutishia usalama wa Watu waliomo ndani ya gari hilo na hata waliopo nje. Dereva wa daladala hiyo amekuwa akiendesha ovyo kwa kutojali Sheria za Barabarani kiasi...
  7. snipa

    JamiiForums Tanzania Jinsi vyombo vya usalama vinavyoweza soma email zako kwa kutumia Namba ya simu kama security uliyoweka kwenye email yako

    Imezoeleka Kwa wengi kutumia Namba ya simu kama 2FA. Sasa tukija kuangalia usalama kawaida Huwa ni ndogo kwasabu zifuatazo. Email inbox na outbox hazijifuti kama ilivyo kwenye WhatsApp. Vyombo vya usalama vinaweza kupewa access ya jumbe fupi au calls unazotumiwa kwenye namba Yako ya simu...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aongoza Mkutano wa dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC

    Waziri Kombo aongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Urusi inaomba Msaada wa Uturuki ili kuwaondoa wanajeshi wake kwa usalama nchini Syria

    Wanaukumbi Moscow anaomba msaada kwa Mturuki baada ya kuzingirwa na vikosi vya waasi. ========== Russian troops have requested Turkey’s support for their safe exit from Syria following a lightning Islamist-led offensive that resulted in regime change, CNN Turk reported Sunday. The broadcaster...
  10. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Bar maarufu ya Mwanga Bar Dodoma wanatuuzia chakula na mataka yakiwa mbele ya jiko. Usalama wetu walaji uko wapi?

    Wale tunaokujaga dodoma nadhani tunaifaham bar maarufu kwa misosi ya Mwanga Bar iliyopo Jijini Dodoma, nikiwa natoka zangu safari kanda ya ziwa nikasema nipite kula hapo kilichonishangaza ni rundo la matakataka ambayo inaelezwa yapo hapo kwa siku ya tano leo uku uandaaji wa chakula ukiendelea...
  11. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Changamoto kubwa ya Kiusalama kwa Urusi na hatma ya Usalama barani Ulaya

    NATO wamecheza mchazo mkali sana wa kisiasa dhidi ya MRUSI. Mosi, wameanzisha mtafaruku Lebanon kwa kumtumia mshirika wao mkubwa Israel, jambo ambalo limepelekea vikosi vingi vya Hizbullah kuondolewa nchini Syria na kurudishwa Lebanon kuzuia uvamizi wa Israel. Jambo hili limechangia kwa kiasi...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TikTok yapewa muda hadi Januari 19, 2025 iwe imeuza hisa zake kwa mwekezaji wa Marekani au ifungiwe

    Mahakama ya Rufaa ya D.C. imetangaza uamuzi wa kuunga mkono sheria inayotaka ByteDance, kampuni mama ya TikTok kutoka China, kuuza hisa zake za programu hiyo ifikapo Januari 19, 2025, la sivyo itakabiliwa na marufuku kote Marekani. Sheria hiyo, inayojulikana kama Protecting Americans from...
  13. Bams

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sheria za Tanzania zinalenga zaidi kulinda uovu badala ya kutetea Haki?

    Nchi yetu kadiri siku zinavyoenda mbele, imeshuhudia zikitungwa sheria nyingi za kuirudisha nchi nyuma, yaani sheria nyingi zimekuwa za kuwatesa na kuwaonea wananchi. Ni sheria za kuhalalisha uovu dhidi ya wananchi: 1. Tulikuwa na sheria ya vyama vya siasa, lakini baadaye ikabadilishwa hiyo...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dar es Salaam: Kituo cha Mafuta Oasis - Mwenge kimegeuka kuwa kituo cha daladala na bajaj

    Kituo cha Mafuta cha Oasis kilichopo Mwenge kimegeuka Kituo cha Daladala na Bajaj kiasi cha kuhatarisha maisha na kuwa kero kwa watumiaji sahihi wa kituo hicho. Mamlaka husika shughulikieni hili kabla majanga hayajajitokeza, kwani sehemu moja iwe kituo cha vyombo vyote hivyo huku vingine...
  15. Damaso

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kukata Funguo Afrika na Hatari zake kwa Usalama

    Biashara ya kukata na kuchongesha funguo ni shughuli muhimu katika maisha ya kila siku, hususani katika miji mikubwa ya Afrika. Hata hivyo, biashara hii, kama nyingine yoyote, inaweza kutumiwa vibaya na watu wenye nia mbaya. Ni muhimu kufahamu jinsi biashara hii inavyofanya kazi na hatari pamoja...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Usalama barabarani Tanzania, iwe mada ya lazima kufundishwa na maswali yake yajibiwe kwa lazima na kila mtahiniwa kwa ngazi zote za elimu nchini

    Kutokana na ongezeko kubwa la vyombo vya moto, vyombo vya usafirishaji na mitambo mbalimbali inayotumia barabara, ipo sababu ya mitaala na miongozo ya ufundishaji au utoaji mafunzo yoyote nchini kujumuisha mada ya usalama barabarani ili kupanua wigo katika uelewa wa matumizi sahihi ya barabara...
  17. Membe S K

    JamiiForums Tanzania Zielewe kazi za Usalama wa Taifa (TISS) na mipaka yake

    ZIELEWE KAZI YA USALAMA WA TAIFA (TISS) NA MIPAKA YAKE Leo tuongelee TISS au USHUSHU au UNYOKA au IDARA au KITENGO. Kwasababu uelewa mdogo kwa idara hii na kazi zake miongoni mwa wananchi unafanya watu wengi wakose amani wanapokuwa na watu wanaowahisi ni mashushushu, na wakati mwingine...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Zaidi ya Wananchi 200 wakimbilia porini wakihofia Usalama wao

    Zaidi ya watu 200 wakazi wa kijiji cha Kagunga, Halmashauri ya wilaya ya Kigoma, mkoani Kigoma wako mafichoni/ porini huku usalama wao ukiwa shakani kutokana na kile kinachodaiwa uwepo wa oparesheni 'isiyo salama' inayoendeshwa na Jeshi la Polisi dhidi yao kijijini hapo Akizungumza na Jambo TV...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwanza: Askari wa Jeshi la Polisi Wafanya doria kuimarisha Usalama wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu Hizi ni picha mbalimbali zikiwaonyesha askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza wakifanya doria katika maeneo mbalimbali ikiwa ni kuimarisha hali ya ulinzi na usalama mkoani humo.
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 DC Chamwino: Hakutakuwa na viashiria vya changamoto ya Usalama wakati wa Uchaguzi

    Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Janeth Mayanja amesema kuwa hali ya usalama ni shwari katika vituo vyote vilivyopo katika vijiji 107 na vitongoji 813 katika Wilaya Hiyo ya Chamwino Mhe. Mayanja ameyasema hayo Leo Nov 27,2024 wakati akizungumza na Wasafi Media kwenye kituo Cha kupiga kura Cha...
Back
Top Bottom